Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Jamaa angu amkeuwa addicted na hii kitu inaitwa masturbation kiasi kwamba hafichi akienda kufanya vitu vyake husema kabisa. huanza na kuangalia picha za ngono kisha kutafuta faragha kwa ajili ya upuuzi huo.
  1. afanyeje iliaweze kuacha?
  2. nini madhara yake asipoacha?
  3. je, kuna dawa akitumia itamrejesha katika hali ya kawaida?
 
Data mwaka wa kumi sasa bado napiga najitahidi kuacha lkn nashindwa ..daaa shit I hate it ..jaman addiction yke ni hatar kama hujawah usijaribu
 
kumbuka hapahitaji nguvu za giza kuacha..

kama ulivoacha wizi ukowa utotoni na hyo utaacha hvyo hvyo..
 
Data mwaka wa kumi sasa bado napiga najitahidi kuacha lkn nashindwa ..daaa shit I hate it ..jaman addiction yke ni hatar kama hujawah usijaribu
Dah...Inategemea na ratiba yako...kila mwezi??kila wiki? kila siku? ...Kila saa?...kila dakika? au kila sekunde?.....😀😀😀😀
 
Tueleze jitihada ulizofanya na bado ukashindwa kuacha. Inaonekana umenogewa na wala huna mpango wa kuacha!
 
Back
Top Bottom