Punyeto inaweza isiwe na madhara yoyote kama wanazuoni wengi wanavyotoa hoja zao kulingana na tafiti mbalimbali. Ila madhara yapo kwenye vitu vifuatavyo
1. VICHOCHEZI VYA PUNYETO
Mara nyingi punyeto haianzi tu ghafla bin vuu, La hasha huwa inaanzia kwenye fikra, kwenye mawazo. Mawazo hayo yanasababishwa na akili kuwa loose au idle. Baada ya fikra kutawala kwenye akili ya mtu anayetaka kupiga punyeto kinachofuata ni kutafuta vichochezi zaidi kama
Pornography videos. Ambazo zina madhara makubwa ki-saikolojia, maana huleta addiction, pia hukaa mda mrefu kwenye ubongo na kuweza kuharibu uwezo wa kufikiri. Pia pornography humfanya mtu kuwa teja wa mapenzi, mbali na hilo kuwa katili kwa mpenzi wake kutokana na kutaka kuiga kila kitu anachokiona kwenye video za pornography.
Pia kama kichochezi kikiwa ni reflection ya mtu halisia ambaye umemwona kwa macho, basi hii husababisha kumtumia kama image ya kufanyia punyeto, na thamani ya mtu huyu hupungua baada tu ya mshindo.
Kichochezi kingine kinaweza kuwa kupashana stori au habari za ngono, hii huifanya akili na mwili vipate ushawishi wa kupiga punyeto, mara nyingi stori hizo hukaa akilini kwa mda mrefu zaidi kuliko, na madhara yake hupunguza uwezo wa akili kutunza taarifa/ memories.
2. NYENZO ZA KUFANYIA PUNYETO
Hapa nitagusia makundi mawili tofauti, kwa wanaume nyenzo za punyeto ni mikono ikiambatanishwa na viambata vingine kama sabuni, mafuta, n.k , mikono mara nyingi ni migumu kuliko uhalisia wa uke, pia kuna hatari ya kulegeza mishipa ya damu iliyopo kwenye uume kwa kuushikilia kwa nguvu kipindi cha kufika kileleni au kuusugua kwa kwa nguvu hadi kusababisha madhara.
Kwa wanawake hutumia matango, ndizi, karoti, bamia na vifaa vingine kama DILDOS ili kujiridhisha kimapenzi hivi vingine huwa vinawaachia madhara ya mda mrefu kuliko wanavyofikiria.
Hivyo Punyeto ina madhara. Haiwezi ikawa safe 100%.