ACHA ACHA ACHA KUJICHUWA UTAPATA AIBU NA MADHARA KATIKA MAISHA YAKO
ALJALILA HERBAL AND HIJAMA CLINIC
HAYA NDO MADHARA 36 YA PUNYETO YAANI KUJICHUWA KWA WANAUME
PUNYETO.
Ni kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.
MADHARA 36 YA PUNYETO.
1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.
2.Kitendo hiki huondoa baraka na neema za Allaah kwani kinamuudhi sana Allaah.
3.Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.
4.Husababisha uchovu muda wote.
5.Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.
6.Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka wakati wa tendo la ndoa.
7.Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)
8.Husababisha mtu kukosa hamu kabisa Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.
9.Husababisha ukhanithi
10.Humfanya mtu ambae hajaowa ashindwe kuowa
11.Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.
12.Huzidisha woga kwa wanawake.(kuogopa ).
13.Humfanya mtu ashindwe kuona umuhimu wa wanawake.
14.Inaweza kumfanya mtu kukonda na mifupa ya mashavu kutokeza.
15.Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.
16.Ni maasi na athari ya kudumu inayouwa afya ya mwili na akili.
17.Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.
18.Maumivu ya mgongo.
19.Kusinyaa kwa nywele.
20.Maumivu ya makende.
21.Maumivu ya kiuno.
22.Pia inaweza kusababisha umasikini kwa sababu mtu hupoteza nguvu,kumbukumbu, na kuwa mlegevu na mvivu.
23.Inachangia kushindwa kufikia malengo kwa sababu huuwa mfumo wa fahamu na uwezo wa kufanya jambo kwa makini.
24.Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi
25.Huondoa nuru ya macho.
26.Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.
27.Hufanya ngozi ionekane kama ya mzee.
28.Husababisha kuvunjika kwa ndoa.
29.Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake, na pia kutazama sana picha na video za ngono.
30.Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.
31.Kukosa nguvu kwenye jointi za magoti.
32.Kupungukiwa mbegu katika mfuko wa uzazi.
33.Kuharibika kwa mishipa ya fahamu na uti wa mgongo.
34.Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.
35.Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.
36.Ni aibu kubwa sana kwa jamii
Baadhi ya watu wengi hawajui faida za nafaka zisizokobolewa kama mtama,ulezi,uwele,mahindi,soya,karanga.
Sasa ni wakati wa kujuwa faida za nafaka hizi ambazo ni muhimu katika miili yetu
Kwani nafaka hizi ni Tiba na lishe toshaa kabisaaaaa
Kaa tayari inshaallah so muda mrefu tutaelezea faida za nafaka hizi uzionazo pichani
Tunaomba ucoment na kushare ili tujuwe tuna compony inayo tu support ALJALILA HERBAL AND HIJAMA CLINIC
TUFUATILIE KATIKA CHANEL YETU YA YOUTUBE SASA BONYEZA MAANDISHI YA blue
https://www.youtube.com/results?search_query=aljalila+tiba
usisahau kusabscribe na kubonyeza kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa zetu za kitiba
LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UZIDI KUELIMIKA JUU YA MARADHI BONYEZA HAYO MAANDISHI YA BLUE UJIUNGE
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.
33417826755097/
NJOO UPATE TIBA YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI, KUKOSA UZAZI, GESI,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,KISUKARI,
UTI,MARADHI YA ZINAA PUMU,VIDONDA VYA TUMBO NA NYENGINEZO NYINGI.
OFISI ZETU ZIPO
DARESALAAM MAENEO YA KARIAKOO MSIKITI WA MANYEMA PIGA NO 0659625151
AU 0778888987
UNGUJA TUPO MWANAKWEREKWE MUEMBE DEZO PIGA NO 0772878788
PEMBA TUPO CHAKE CHAKE SOKONI PIGA NO 0776478788
KARIBU TUKUHUDUMIE
DAWA POPOTE UTATUMIWA.
TAFADHALI SHARE MADA HII ILI WATU WAELEMIKE JUU YA MARADHI YANAYOWAKABILI BINADAMU.