.ukitaka uache hii uwezi ukaacha kizembe zembe tu kama hivo..lazima upunguze kama ulikuwa unapiga mara 2 kwa siku basi fanya uwe unapiga mara 3 kwa wiki, kisha unashuka mdogo mdogo hadi mara moja..mwishoe unaacha kabisa.

Nikutakie mapumziko mema[emoji23]
 
Kitu ambacho sitaacha mpaka pale nitakapo oa ni Punyeto "Eeh, Mwenyezi Mungu Nisaidie"

CHAPUTA Msidanganyike na hawa Waganga feki wa Tanzania, kumbuka wanafanya hivi ili kuuza madawa yao ya kienyeji...
Siku ya uzinduzi naomba uruke LIVE mkuu tuone namna shughuli inavyoenda
 
Acha kukaaa peke yako muda mwingi, kuwa mtu wa kujichanganya na jamii yako

Acha kuangalia porn

Wengine wataongezea

NB:Mkuu huo mchezo sio mzuri hata kidogo

Kwanza unakufanya kuona wanawake kama hawana utamu yaani unakua una athirirka kisaikolojia
 
Tafuta kazi ambayo itakuweka busy masaa 10 kwa siku yani saa 2-12 na ukiimaliza ukirudi kwako uwe huna hamu ya kufanya chochote zaidi ya kula na kulala.

Mfano wa hizo kazi ni kubeba zege beba kwa mwezi mzima, utakuja kunishukuru.
 
Punyeto kwa wanawake. Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara 10, awezayopata mwanamke anayejichua;

1.Inaharibu kizazi.

2.Inakufanya kua mvivu mara kwa mara.

3.Unakuwa unakosa hamu ya tendo.

4.Maumivu ukeni yasiyo na sababu.

5.Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto.

6.Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7.Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto wewe dada.

8.Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara.

10.Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Dr_Seifu. (Social media)

Nimekutana nayo mahali nikasema si vibaya ku-share nanyi kwa asiye jua basi ndivyo nakujuza na ujuaye nakujuza zaidi.


===========

Maswali mbalimbali yanayoulizwa kuhusu Punyeto
Ni kweli Punyeto ni hatari kwa afya,
Je, uthibitisho kamili UPI kwa upande wa wanawake?

 
Ngoja waje wahanga wa hicho kitu.

Wakati ule au huu tusema hata nikiwa na hamu siwezi ingiza kitu hata kidole kwenye mashine yangu,

Nikigusa kisimi tu huwa nakojoa hadi kurusha maji.

Oooh wewe mzee inakuwaje unakojoa, tena mniache mumeshasema sie wahanga, komaeni na hao vijana wenzenu ambao bado ni teketeke.

Anyways they took my mobile phone and replied not me.
 
Hivi mwanamke akishikwa na hamu ya tendo na mwanaume yupo mbali naye bora nini?
-- atafute mlevi amsukumie mgegedo.

-- akamate mwanaume yeyote barabarani?

--au ajisuguwe kwa nyeto?

Kwangu mm ni bora ajisuguwe kwa punyeto kuliko kukamata mwanaume barabarani agegedwe.

Hivyo Mkuu,,,

Utafiti wako hauna mshiko wowote,,

Zaidi ya kuhamasisha uasherati na kuhamasisha wake za mabaharia kugegedwa hovyo na masela.
 
Always watu wazima watabaki kuwa watamu kuliko vijana.
 
Ukishikwa na nyege...unajizuia mkuuu...unafanya Mambo Mengine....

Mimi Muda wa kujishikashika Sina...Bora nilale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…