Punyeto kwa wanawake. Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.
Haya ni baadhi ya madhara 10, awezayopata mwanamke anayejichua;
1.Inaharibu kizazi.
2.Inakufanya kua mvivu mara kwa mara.
3.Unakuwa unakosa hamu ya tendo.
4.Maumivu ukeni yasiyo na sababu.
5.Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto.
6.Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.
7.Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto wewe dada.
8.Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko.
9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara.
10.Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Dr_Seifu. (Social media)
Nimekutana nayo mahali nikasema si vibaya ku-share nanyi kwa asiye jua basi ndivyo nakujuza na ujuaye nakujuza zaidi.
===========
Maswali mbalimbali yanayoulizwa kuhusu Punyeto
Ni kweli Punyeto ni hatari kwa afya,
Je, uthibitisho kamili UPI kwa upande wa wanawake?
Habari wandugu?
Hivi unakumbuka ulianzajeanzaje kupiga punyeto? Ulifunzwa au ulijikuta tu umeanza automatically?
Hii ni kwa wote sasa yaani me na ke maana nyeto halibagui jinsi.
NB: Ambaye hujawahi usithubutu kufanya hivo....hasa mwanaume please.