Mhh kuna tofaut gani kupiga kawaida na kupiga huku unaangalia porn
Kupiga punyeto kwa kuangalia porn kuna madhara zaidi. Hii ni kwa sababu za kisaikolojia zaidi kama ifuatavyo:
1. Kwenye porno si uhalisia ni fantasy. Wale wanawake wa kwenye porno wapo trained kufanya ngono kwa mtindo ambao kwa maisha halisi ngono haifanyiki. Mfano kuna category mbali mbali. Kuna hii inaitwa incest imeshik hatamu sana, kunacategory ya Anal sex, kuna threesome, kuna teen, milf, double penetration na kadhalika. Hii hupelekea mtu kutofurahia kuangalia normal porn na kufuata category inayomsisimua zaidi ili apige punyeto.
Kwa hiyo siku mtu akikutana na mwanamke atakosa yale matamanio yanayompa nguvu za kusimamisha uume vema ili ufanye mapenzi na mwanamke kwa sababu ubongo umeshazoea yale yanayoonekana kwenye porno. Mtu amezoea kuangalia porno na kule wanawake wanajua kujitega, kuvua nguo taratibu, blowjob, yaani wamefunzwa kuteka akili ya watazamaji. Halafu unakuta mpenzi wako siyo mjuzi sana, amevua nguo amekutengea lazima utajikuta mkongojo hausimam kabisa.
2. Addiction ya porno inahatarisha afya ya akili. Huku kwetu Tanzania watu wengi hawafuatilii au hawajatambua umuhimu wa afya ya akili. Kwa hiyo unavyokuwa unaangalia porno na kupiga punyeto kuna athari nyingi kwenye afya ya akili, kama vile uoga (anxiety) sonona (depression), stress. Kwa hiyo siku ukikutana na demu unaweza shangaa unapata anxiety ya ajabu, ukaperform performance mbovu sana mpaka ukajishangaa.
Vilevile kuna ile hali ya hatia (guilty conscience) baada ya kupiga nyeto ile ndiyo mbaya sana. Bora utafute mwanamke wa kukupa pussy na siyo kuangalia porno na kupiga nyeto.