KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Sawa mkuu mi nauza dawa.Kwan wanaouza dawa wakoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu mi nauza dawa.Kwan wanaouza dawa wakoje?
uoni hafifu sana sana husababishwa na ukosefu wa vitamins mwilini au magonjwa makubwa kama kisukari na shinikizo la juu la damu. Kwa punyeto hakuna details zinazo support hayo unayoyasemaKuna uhusiano gani kati ya punyeto na uoni hafifu( matatizo ya macho)?
Hujadhamiria kuacha sasa.Sema hizi mada ndizo zinachochea watu wasiache hii kitu...mtu umetulia zako umeanza sahau sahau nyeto ile ukiona tu neno nyeto unasisimuka
Goja nikapige Tena😎
Tulia ushaachika mzeePole sana...
Kupiga punyeto kwa kuangalia porn kuna madhara zaidi. Hii ni kwa sababu za kisaikolojia zaidi kama ifuatavyo:Mhh kuna tofaut gani kupiga kawaida na kupiga huku unaangalia porn
Je ni kweli punyeto hupunguza uume?Kama unatatizo lolote kati ya hayo niulize.
Leo ni weekend na kuna muda mwingi wa kusaidiana baada ya kumaliza shift. Nitakuwepo hapa kutwa nzima kujaribu kukusaidia kwenye janga lolote kati ya hayo.
Karibuni wenye uhitaji.
Acha uoga😃 Mkuu sio Mimi nilieliza mi nimemsaidia tu ilitakiwa huyo ndo uumjibu hivi na hujareply kwake! Buy anyway sawa.
Uoga upi mkuu mtu kaja kunijibu Mimi wakati Sina uhitaji..😂Acha uoga
Hiyo ni lack of vitaminKuna uhusiano gani kati ya punyeto na uoni hafifu( matatizo ya macho)?
Mazee mbona mmeiandama punyeto hivi?Je ni kweli punyeto hupunguza uume?
misuli ya uume huwa inasinyaa, hata ukisimama unakuwa hautanuki sana...so huwa unapunguaJe ni kweli punyeto hupunguza uume?
yeah nishamjibuHiyo ni lack of vitamin
sayansi ipi ? ukumbuke kuwa hata wakati tupo shuleni walikuwa wanatushawishi tufanye PUNYETO kama njia ya kujiepusha kuanza mapenzi tukiwa na umri mdogo...ili tusijichanganye na masomo. lakini madhara yapoKwanini science inasema punyeto haina madhara? Na kwanini nyinyi mnanadi madhara? Je mnapinga na na Science?
Ni kupunguza hamu za kibaiolojia tu. hakuna kingineNipe faida za upigaji puli