Kilichokusibu ni hamaki kwamba hauamini kama leo mtoto ndo katimba ghetto, pili ukaingiza miss kwamba je nitamuweza kweli? Presha ikapanda joto la mwili nalo likapanda kuupimia mpini hofu imetawala ngoma ikaenda arijojo. Ukapaniki zaidi na haiwezi kuamka tena, ilikuhitaji ulale usingizi kabisa ili ubongo ufanye cancelling ndipo iweze kuamka tena.

Sasa Siku nyingine akija awe huyo au mwingine yeyote kwanza akishaingia gheto nenda kaoge kwanza kushusha joto la mwili ikiwezekana jipake colgate kwenye kichwa cha mbo robo saa kabla ya kuoga, baada ya kuoga kama una tangawizi tafuna kipande kidogo kusaidia mfumo wa damu kuzunguka vizuri isikupungukie kwenye kichwa cha chini. Halafu kunywa maji kiasi baada ya hapo anza safari ya kumfikisha kileleni. Utakuja kunishukuru. Ataomba mapumziko.
 
Mkuu unayopitia hayo sio ya pekeyako nawengine tupo tunakomaa nayo.

Kama umefikia hiyo Hatua, nadhani huitaji ushauri we mwenyewe wajua lakufanya.

Anza punguza mdogo mdogo mwishowe utakuwa fit, fanya mazoezi, kula tangawizi, vitunguu swaumu, matunda, mboga mboga na maji ya kutosha LAMWISHO kuwa na confidence.
 
Mkuu Colgate kwenye kichwa cha chini ina kazi gani ??
 
Msongo wa mawazo tu ulikukabili nw kimuhemuhe cha new bae,punyeto haina uhusiano na hicho kilichokutokea,tena wengine ili kwenye show aombe poo unaanza na goli la mkono kwanza,ukirudi kwenye realgame anakasirika anaona humalizi haraka wakati yeye kasharudi zaidi ya mara 3
 
nakushauri.
1.tumia simu ya kitochi. achana na smartphone, achana na laptop.
2. futa video zote za ngono ulizodownload.
3.epuka kukaa mwenyewe kila wakati.
4. fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni yasiwe chini ya saa moja.
5. kula vyakula vyenye afya na maji ya kutosha.
 
usiwaze sana mkuu. nitamuelewesha. namba rusha inbox
 
Inazuia kichwa kupata moto kwa haraka wakati wa tendo hivyo inakusaidia kuchelewa kumwaga.
Kwasababu ili umwage ni kichwa kipate moto wa kutosha kuruhusu manii kutoka.
Hivii hiii Colgate ni kweliii au tunazinguana????
 
Inazuia kichwa kupata moto kwa haraka wakati wa tendo hivyo inakusaidia kuchelewa kumwaga.
Kwasababu ili umwage ni kichwa kipate moto wa kutosha kuruhusu manii kutoka.
Asante mkuu, sikuwahi kufahamu hili.
 
Pole asee, ila hilo n swala la psychologia. Mchezon relax

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yaaani uache punyeto? si Bora ufe asa
 

[emoji23][emoji23][emoji23] hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…