Mnaisingizia tuu nyeto..wee ulionaje mtu akaenda mwenye mechi bila mazoezi. Kwanza ukipiga nyeto ndio unakuwa fit bwana.
 
Haya, umeshajua tatizo. Lirekebishe.

Huu sio muda wa kujilaumu. Ni muda wa kurekebisha ulipokosea. Ukilia haitobadili lolilotokea. Ni vema ukaacha nyeto na anza kuimarisha afya yako ili siku nyingine yasijirudie.

Hesabu kama ni ajali kama zilivyo ajali nyingine. Kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa.

Kama kakasirika acha nae. Kwani ulipenda hiyo hali? Kwanza kosa moja haliachi mke.
 
Asantee sana
Tatizo vijana hamna plan B... Ukiona hiyo hali imekutokea ilitakiwa uache kwanza gemu halafu ujikite kumpiga romansi na kumchezea chezea demu wako. Chezea kiharage cha Mbeya kwa utaalamu mkubwa huku unapiga finga mpaka G spot mpaka akojoe raundi mbili. Katika hizo hizo harakati hata kama gari linachelewa kuwaka walahi litawaka, hasa kama demu ni mkali na taa hujazima. Yaani wewe gari kuwaka mpaka lisukumwe halafu ile mmeingia room unarukia juu?? Unashindwa hata na beberu bwanaaa! Ushawahi kuona beberu anarukia jike bila kumbeleza na kumzunguka zunguka ili kumsisimua??
 
hadi wewe shetani unatoa ushauri mzuri hivi 😂😂 hongera zako ila bado moto wako upo palepale
 
Punyeto ni chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume,ingawa madhara yake yanachukua muda mrefu kugundulika,nakushauri Tafuta na usome kitabu cha JITIBU MWENYEWE:kwa tiba hizi ukiwa nyumbani kwako.
Kitabu kinakuelekeza njia za jinsi ya kuacha punyeto, kuacha sigara, madawa ya kulevya, nguvu za kiume nk.
Kama unakihitaji Piga simu 0756625286
 
Kijana wa Hovyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa akiachana na smartphone & PC huku JF atashiriki vipi sasa mijadala [emoji1][emoji1] au ndiyo ajitoe kabisa kwenye hii mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…