Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
Mnaisingizia tuu nyeto..wee ulionaje mtu akaenda mwenye mechi bila mazoezi. Kwanza ukipiga nyeto ndio unakuwa fit bwana.
 
Haya, umeshajua tatizo. Lirekebishe.

Huu sio muda wa kujilaumu. Ni muda wa kurekebisha ulipokosea. Ukilia haitobadili lolilotokea. Ni vema ukaacha nyeto na anza kuimarisha afya yako ili siku nyingine yasijirudie.

Hesabu kama ni ajali kama zilivyo ajali nyingine. Kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa.

Kama kakasirika acha nae. Kwani ulipenda hiyo hali? Kwanza kosa moja haliachi mke.
 
Asantee sana
Tatizo vijana hamna plan B... Ukiona hiyo hali imekutokea ilitakiwa uache kwanza gemu halafu ujikite kumpiga romansi na kumchezea chezea demu wako. Chezea kiharage cha Mbeya kwa utaalamu mkubwa huku unapiga finga mpaka G spot mpaka akojoe raundi mbili. Katika hizo hizo harakati hata kama gari linachelewa kuwaka walahi litawaka, hasa kama demu ni mkali na taa hujazima. Yaani wewe gari kuwaka mpaka lisukumwe halafu ile mmeingia room unarukia juu?? Unashindwa hata na beberu bwanaaa! Ushawahi kuona beberu anarukia jike bila kumbeleza na kumzunguka zunguka ili kumsisimua??
 
Haya, umeshajua tatizo. Lirekebishe.

Huu sio muda wa kujilaumu. Ni muda wa kurekebisha ulipokosea. Ukilia haitobadili lolilotokea. Ni vema ukaacha nyeto na anza kuimarisha afya yako ili siku nyingine yasijirudie.

Hesabu kama ni ajali kama zilivyo ajali nyingine. Kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa.

Kama kakasirika acha nae. Kwani ulipenda hiyo hali? Kwanza kosa moja haliachi mke.
hadi wewe shetani unatoa ushauri mzuri hivi 😂😂 hongera zako ila bado moto wako upo palepale
 
Punyeto ni chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume,ingawa madhara yake yanachukua muda mrefu kugundulika,nakushauri Tafuta na usome kitabu cha JITIBU MWENYEWE:kwa tiba hizi ukiwa nyumbani kwako.
Kitabu kinakuelekeza njia za jinsi ya kuacha punyeto, kuacha sigara, madawa ya kulevya, nguvu za kiume nk.
Kama unakihitaji Piga simu 0756625286
 
Aka kamchezo kakishetan sana mm ninamiez 5 cjagusa kbs Ila Jana nimekaa kimasihara nikaw naangalia wanawake wa insta wakikata mauno na vyupi vyao nikajikuta nimepiga tatu chap chap mungu anisaidie kijana wa watu tu Leo nisije piga maana kuna kitu kinanishaur piga mbili za mwisho Leo usiku
Kijana wa Hovyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakushauri.
1.tumia simu ya kitochi. achana na smartphone, achana na laptop.
2. futa video zote za ngono ulizodownload.
3.epuka kukaa mwenyewe kila wakati.
4. fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni yasiwe chini ya saa moja.
5. kula vyakula vyenye afya na maji ya kutosha.
Sasa akiachana na smartphone & PC huku JF atashiriki vipi sasa mijadala [emoji1][emoji1] au ndiyo ajitoe kabisa kwenye hii mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet!
 
Back
Top Bottom