Mbona wengine tunaweza kuishi huku nje ya Tanzania bila familia zetu kwa muda mrefu? Jaribu kuwa busy tu.
 
Hivi kumbe hata wanawake wanafanya haya mambo, dah!!!....Amakweli ukionja asali lazima uchonge mzinga.

Ila pole sana kwa hilo, ngoja wenye experience na hii mambo wakusaidie.....
 
Kumbe ni impossible kuishi bila ya kufanya sex??
Hawa masista makanisani ambao hawaguswi, wanaishi vipi!!!
 
Kumbe ni impossible kuishi bila ya kufanya sex??
Hawa masista makanisani ambao hawaguswi, wanaishi vipi!!!

kitu unapokuwa hukijui ndo unakifuatilia, ila kama unakijua u dnt mind, hebu changanua hyo sentensi
 
Mh ! mimi hapo nashindwa kuelewa, je hiyo si ni sawa na kupigwa katerelo? maana na yenyewe si inasugua kisimi? maana ukizoea kufanyiwa katerelo alafu siku usipofanyiwa unaona kama vile hujalala na mwanaume, maana unakuwa adictable na hiyo kitu. mm naona ni sawa na mwanamke anavyojisaidia mwenyewe. ingawa nilikuwa sifahamu kama na sisi tunaweza kujifanyia wenyewe.:becky::becky::becky:,

Naomba ufafanuzi kwenu kaka Kiiza, kaka mtambuzi,rutashubanyuma , watu nane ,na wengine
 
Fikiria ni vitu gani vinavyokupelekea mpaka unaingia kwenye hiyo shughuli ya kujichua?? try to avoid them!! jiweke busy na mambo yako.. SASA hv umeoa, i believe una majukumu, think about your future,, your family...u know something to distract you when you think of masterbating
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni mvulana wa miaka 24, nina tatizo la kuwahi kufika kileleni. Tangu shule ya msingi hadi Sekondari nimesoma shule ya boarding ila ya sekondari ilikuwa ni boys school.

Muda wote huo hadi nafika miaka 23 sikuwahi kufanya tendo la ndoa, hivyo nimekuwa nikipiga punyeto tangu darasa la 6 hadi nilipofika form four. Mwaka mpya nilibahatika kupata mwanamke. Katika kutaka kukutana naye kimwili kilichoniumiza ni kuwa nilimuandaa vizuri lakini ile kutaka tu kumuingilia hata dakika haikuisha nikamaliza na kushindwa kuendelea.

Juzi tena tumejaribu na hali imejirudia hiyo hiyo. Naomba ushauri wenu nifanye nini ili niwe nachelewa kumaliza? Bila kwenda hospitali mazoezi yanasaidia? Tafadhali nisaidieni mawazo katika hili tatizo langu.

Asanteni.
 
hahaha....duh nyeto mbaya...mambo ya kujipimia utamu mwenye....baba K huwezi jipimia mnato hahaha
 
Rtd

Kijana wewe ni dume la mbegu kabisa na haujaathirika na kitu chochote kile. Kwanza kupiga Punyeto haina madhara yoyote. Pili kuwahi kumwaga haina uhusiano na punyeto ulizopiga kipindi kilichopita.

Ushauri wangu ni huu. Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa hakuna kitendo kinachofanyika katika mwili wako bila kuongozwa na fahamu zako. Ukijamba ni fahamu zako zinazotoa ruhusa kufanya kitendo hicho. Ukikooa ni fahamu zako zinazofanya hivyo. Hivyo basi hata kumwaga wakati wa tendo la ndoa kunaongozwa na fahamu zako.

Kwa mtaji huu ni lazima u-control fahamu zako wakati unafanya wa tendo ndoa. Ukianza kwa juhudi kubwa na kupoteza fahamu mapema, utamwaga mapema. Lakini uki-control mapigo yako na ya mwenzako na vilevile kutopoteza fahamu, utaelewa ni kipindi gani mwafaka uongeze juhudi hili na wewe ufike kileleni.

Kufanya mazoezi kunaongeza stamina na kuongeza mzunguko wa damu, ni baadhi vitu muhimu katika masuala ya mchezo wa ndoa. Hivyo fanya mazoezi na kula vyakula vizuri kwa afya yako. Pamoja na hayo uwe unaongea na mpenzi wako kuhusu jinsi ya kufanya mapenzi hili wote mridhike. Usifanye tendo la ndoa kama kumkomoa mtu.

So long,

Z10.
 
Last edited by a moderator:
Xaxa wewe Xi uache tu hayo maXuala ya mademu?-- Kwa uandishi kama huu? No wonder unajikoboa hadi miaka 23.
 
Jipake mafuta ya Simba kwenye uume wako kabla ya kila tendo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…