Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini baada ya miaka 20 hakuna makuaji tenaHIli ni pepo kabisa, kama unafanya hivyo,omba Mungu akusaidie uache. ni roho, inaweza ikakaribisha hata roho chafu wenzie, ukajikuta haujakuwa mtu wa kueleweka kabisa. its sin and I rebuke it in the Mighty Name of Jesus Christ. Amin.
Heshima kwenu wadau.mchezo niliunza mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha nilishindwa....nilivyooa nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo takriban miez 2..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?
Hapo pamenifanya nicheke saaaana. Dah pole sana ndugu yangu.
kama ni computer ningesema you are running in low disk space, umri wako plse? . halina haja ya kulileta hapa vijana wote wa mashuleni ,vyuo ndiyo kamchezo kao hako inabaki tu ni siri zao . wewe ungetulia tu unafikiri kuna atakayekupa advice hapo? , ukikua utaacha
ndugu yangu dunia ya leo ukikosa majibu kwa mambo mepesi jua una uvamizi ambao siyo rasmi , na mara nyingi huwa uvamizi huo unaanza muda mrefu kidogo , basi haraka tafuta njia ya mungu , ndiyo silaha pekee kwa kujitoa kuwa mtumwa wa shetani , fikiria na jitambuempaka sasa nina 28yrs....tatizo ni kwamba anapokuwepo wife huwa napunguza kasi mpaka 1 kwa siku na zilizobak anabeba wife.....sasa najiuliza kwa nini najitesa....nakosa majibu..
duh! mkuu dawa yako mpaka tuiagize ulaya so nenda kamalize la tano kwanza
mpaka sasa nina 28yrs....tatizo ni kwamba anapokuwepo wife huwa napunguza kasi mpaka 1 kwa siku na zilizobak anabeba wife.....sasa najiuliza kwa nini najitesa....nakosa majibu..