Najua ni kwa nia njema mkuu, na mimi nilipotaja majambazi ni kwa utani tu, najua huwezi nilitea majambazi kiukweli.Usihofu kijana ilikua ni kwa nia njema just talking nothing serious
Najua ni kwa nia njema mkuu, na mimi nilipotaja majambazi ni kwa utani tu, najua huwezi nilitea majambazi kiukweli.
Wala usiwe na hofu mkuu karibu sana, muda wowote
Ingia kwenye settings hapo juu chumba cha tatu kutoka kushoto, kisha nenda kwenye sehemu inayosema edit profile na mengineyo yote yapo, baada ya hapo utaona nini cha kufanya, mambo yote yako wazi kama - edit profile, edit signature nk.Tuko pamoja mimi nimeipenda hii statement yako ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia. UNAWEZAJE KUWEKA STATEMENT KWA KAMA SIGN YAKO KAMA HII ULIYOWEKA WEWE
Kweli wewe ni harufu,kwani unafanya shighuli gani maana ulivyotupia misifa
mkuu umeniwahi
Ingia kwenye settings hapo juu chumba cha tatu kutoka kushoto, kisha nenda kwenye sehemu inayosema edit profile na mengineyo yote yapo, baada ya hapo utaona nini cha kufanya, mambo yote yako wazi kama - edit profile, edit signature nk.
Majibu yamepatikana mkuu ila he is a good friend si umeona mazee
punyeto ni nini?
Pamoja sanaaaNimekusoma sasa nitafanyia kazi mkuu.mi naona hii topic haijakaa vizuri hivi cjui ww unaionaje??
ni mchezo wa kumaliza shida zako pasipo kuwa na mwingiliano na mtu mwingine
ni mchezo wa kumaliza shida zako pasipo kuwa na mwingiliano na mtu mwingine
Msubiri rais wa wapiga punyeto tanzania mheshimiwa Majigo atakupigia ameni pm kwamba ataagiza kontena zima kwa ajili ya wanachama wenzake,lazima uwe tajiri safari hii.
shida za kiuchumi??