HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Najua ni kwa nia njema mkuu, na mimi nilipotaja majambazi ni kwa utani tu, najua huwezi nilitea majambazi kiukweli.Usihofu kijana ilikua ni kwa nia njema just talking nothing serious
Wala usiwe na hofu mkuu karibu sana, muda wowote