Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Tafuta mpenzi kama huna kabisa

Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

Punyeto inasaidia kuepukana na magojwa ya zinaaa,
Sasa kipi bora, punyeto au magojwa?
Hilo nalo neno.
 
kEssy wa Kilimanjaro tunashuku sana kwa kuelimisha kaka zetu kwa kiasi.
Pia dada mvulana wangu anapiga sana hii punyeto,Yani mpaka saa nyingine tumelala gesti anapiga kwanza alafu ndo anaingia kwangu.,mi nilifikiri ni ugonjwa kumbe ni tabia.
Duh! Uyo katoa kali ya mwaka.
 
Constructive tupe solution bhana
FAIDA ZA KUPIGA PUNYETO.
1 . Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka (fanya mapenzi)
2 . Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3. Kujua "vipele vyako viliko".
4. Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa
muda.
5. Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine
yanayotokana na ngono zembe.

Hizi ni baadhi tu ya faida zipo faida nyingi.

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO.
Ifahamike kuwa kuna watu wengi sana wanatumia mikono yao kujisaga katika sehemu nyeti, Jambo hili linamadhara makubwa sana kwa binaadamu, Jambo hili kwa lugha ya kiingereza wanaliita Masturbation (Manual erotic stimulation of the genitals or other erotic regions, often to orgasm, either by oneself or a partner.) ni kitendo cha mwanaume kujisugua uume wake.

Licha ya tafsiri ya punyeto kuwalenga wanaume zaidi lakini kuna Usagaji na madhara yake kwani hili linahusu wanawake na hili la usagaji linaingizwa na punyeto kwani madhara yake yanakaribiana lakini tofauti inakuja jinsi ya kujirizisha.

Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo zaidi (anayemjua au alimuona sehem akampenda) kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwa kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa hasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushindwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.

Hii yote madhara ya hapa duniani lakini kwa MUNGU amesema
''Amelaaniwa mtumiaji mkono kwa kujisugua uume wake (Punyeto)

Kujichua kwa kutumia sanamu kunaweza sababisha kulegea(kutepeta) kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea dubwana hizo, kifo kutokana na mshituko ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha hilo sanamu kuingia.

SULUHISHO
Ni kuacha kupiga punyeto kwa kuzingatia njia hizo saba.
 
Nikijipa hope ili kuacha ni kuwa na demu utayesex naye anytime jogoo akisimama.... Hii imenilazimisha niwe Bazazi sasa kama siku NNE hivi nyuma nilikuwa na demu, kesho yake nikawa na mwingine, siku ya tatu ile kulala tu mwenyewe ikawa shida nikapunyetika, imenilazimu Jana niite demu mwingine kujiokoa na punyeto.....

Yaani kuacha punyeto kazi sana
Kweli ni changamoto, lakini inawezekana kuacha kabisa.
 
FAIDA ZA KUPIGA PUNYETO.
1 . Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka (fanya mapenzi)
2 . Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3. Kujua "vipele vyako viliko".
4. Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa
muda.
5. Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine
yanayotokana na ngono zembe.

Hizi ni baadhi tu ya faida zipo faida nyingi.

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO.
Ifahamike kuwa kuna watu wengi sana wanatumia mikono yao kujisaga katika sehemu nyeti, Jambo hili linamadhara makubwa sana kwa binaadamu, Jambo hili kwa lugha ya kiingereza wanaliita Masturbation (Manual erotic stimulation of the genitals or other erotic regions, often to orgasm, either by oneself or a partner.) ni kitendo cha mwanaume kujisugua uume wake.

Licha ya tafsiri ya punyeto kuwalenga wanaume zaidi lakini kuna Usagaji na madhara yake kwani hili linahusu wanawake na hili la usagaji linaingizwa na punyeto kwani madhara yake yanakaribiana lakini tofauti inakuja jinsi ya kujirizisha.

Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo zaidi (anayemjua au alimuona sehem akampenda) kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwa kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa hasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushindwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.

Hii yote madhara ya hapa duniani lakini kwa MUNGU amesema
''Amelaaniwa mtumiaji mkono kwa kujisugua uume wake (Punyeto)

Kujichua kwa kutumia sanamu kunaweza sababisha kulegea(kutepeta) kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea dubwana hizo, kifo kutokana na mshituko ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha hilo sanamu kuingia.

SULUHISHO
Ni kuacha kupiga punyeto kwa kuzingatia njia hizo saba.
Unaweza nipa kitabu kipi katika Bible huo msitari unatoka??
 
Ktk ratiba za maisha yetu tujitahidi kuingiza ratiba za mazoezi. Ingawaje mazoezi huongeza hamu ya kufanya mapenzi mara dufu, basi ni vyema kuingia mkataba na binti yeyote wa kuridhishana kwa ratiba inayoeleweka, make kiukweli wadada wanatoa kama vile tannesco, yaani kwa mgao na penyewe mpaka uweke order mapema labda week kabla na bado unaweza ukakosa, na hicho ndicho chanzo cha kujichua, kwa sababu unakuwa umeishajiandaa kufanya kisha binti anaingia mitini, inakuwa inaumiza sana na kwa hali hiyo kujichua hakuepukiki
 
Hakuna kitabu. Huyu jamaa amekomalia hii ishu comments karibu zote za kwake halafu nyingi pumba tupu anatumia nguvu nyingi, vitisho na unscientific observations. Papara hizi ni opposite ya misingi yote ya ushauri nasaha kwani ukitumia nguvu nyingi hivi hutaponya hata mtu mmoja na actually utaongeza madhara zaidi.

Ngoja nikipata muda nitaweka hapa njia sahihi za Kisaikolojia na ushauri nasaha ZILIZOTHIBITISHWA kusaidia watu wenye addiction mbalimbali ikiwemo chronic masturbation. Kwa sasa napenda tu niseme kwamba mbali na sense of guilty na hopelessness kwa baadhi ya watu, masturbation haina madhara yo yote kimwili ikifanywa in moderation (1-2 times/week). Hii imethibitishwa kisayansi. Halafu madhara ya punyeto yanatokana pia na afya ya mtu, lishe, physical fitness ya mtu na jinsi anavyoifanya hiyo punyeto yenyewe. Nitarudi ngoja nitafute link yenye pfd file ya misingi ya kufuata. It is a psychological issue than physical na wataalamu wengi wanakubaliana kuwa madhara ya kisaikolojia ni makubwa zaidi kuliko ya kimwili. TUACHE KUDANGANYANA NA KUTISHANA BILA SABABU!!!
 
bt wahanga wamo humu na wanatoa testimonies vp kuhusu hawa?
 
Ktk ratiba za maisha yetu tujitahidi kuingiza ratiba za mazoezi. Ingawaje mazoezi huongeza hamu ya kufanya mapenzi mara dufu, basi ni vyema kuingia mkataba na binti yeyote wa kuridhishana kwa ratiba inayoeleweka, make kiukweli wadada wanatoa kama vile tannesco, yaani kwa mgao na penyewe mpaka uweke order mapema labda week kabla na bado unaweza ukakosa, na hicho ndicho chanzo cha kujichua, kwa sababu unakuwa umeishajiandaa kufanya kisha binti anaingia mitini, inakuwa inaumiza sana na kwa hali hiyo kujichua hakuepukiki
Duh!
 
Back
Top Bottom