Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Jibu langu liko hapo. Effects za masturbation ni complex issue. Soma comment yangu vizuri nimegusia.bt wahanga wamo humu na wanatoa testimonies vp kuhusu hawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu langu liko hapo. Effects za masturbation ni complex issue. Soma comment yangu vizuri nimegusia.bt wahanga wamo humu na wanatoa testimonies vp kuhusu hawa?
Umeshindwa kuelewa kuwa tiba ya ugonjwa huwa haipo moja kama unavyodhani. Hivyo, hauna sababu ya kukataa hizo njia za kuacha kupiga punyeto hata kama wewe unajua nyingine. Acha watu waondokane na tatizo hilo nasio kuwatisha bila ufumbuzi.Hakuna kitabu. Huyu jamaa amekomalia hii ishu comments karibu zote za kwake halafu nyingi pumba tupu anatumia nguvu nyingi, vitisho na unscientific observations. Papara hizi ni opposite ya misingi yote ya ushauri nasaha kwani ukitumia nguvu nyingi hivi hutaponya hata mtu mmoja na actually utaongeza madhara zaidi.
Ngoja nikipata muda nitaweka hapa njia sahihi za Kisaikolojia na ushauri nasaha ZILIZOTHIBITISHWA kusaidia watu wenye addiction mbalimbali ikiwemo chronic masturbation. Kwa sasa napenda tu niseme kwamba mbali na sense of guilty na hopelessness kwa baadhi ya watu, masturbation haina madhara yo yote kimwili ikifanywa in moderation (1-2 times/week). Hii imethibitishwa kisayansi. Halafu madhara ya punyeto yanatokana pia na afya ya mtu, lishe, physical fitness ya mtu na jinsi anavyoifanya hiyo punyeto yenyewe. Nitarudi ngoja nitafute link yenye pfd file ya misingi ya kufuata. It is a psychological issue than physical na wataalamu wengi wanakubaliana kuwa madhara ya kisaikolojia ni makubwa zaidi kuliko ya kimwili. TUACHE KUDANGANYANA NA KUTISHANA BILA SABABU!!!
Mimi nawatisha kwa lipi mkuu? Wewe si ndiyo Umejaza pumba thread nzima mambo ya kuokoteza mtandaoni tu kukopi na kupesti? Mimi nimesomea haya mambo ya ushauri nasaha na nimeshasaidia watu wengi sana kuachana na addiction za aina mbalimbali. Unachofanya wewe hapa ni opposite kabisa na japo pengine unadhani kuwa unasaidia watu, unaweza kuwa unachochea moto wa guilty na hopelessness zaidi na hivyo kuwadidimiza zaidi. Mtu mwenye addiction kamwe usimtishe na kumsakama kisaikolojia kama unavyofanya. Addictions are very complicated and no two addictions are the same. Ni vizuri kukaa na kila addict na kuelewa historia yake, maisha yake, lishe na mengineyo. Hii ya kuweka mambo haya ya kuokota okota Google wengi watajaribu yatawashinda na watadidimia zaidi. Tuwe sensitive na haya mambo na tuache kudanganya watu. Nimeshasaidia watu wengi wenye addiction hapa JF na mimi huwa siwatozi pesa wala kufahamiana nao. What you are doing is wrong na unatumia nguvu nyingi mno. Anyway endelea sikuzuii na siko hapa kubishana nawe. Ubarikiwe!Umeshindwa kuelewa kuwa tiba ya ugonjwa huwa haipo moja kama unavyodhani. Hivyo, hauna sababu ya kukataa hizo njia za kuacha kupiga punyeto hata kama wewe unajua nyingine. Acha watu waondokane na tatizo hilo nasio kuwatisha bila ufumbuzi.
Mkuu nenda kwa watoa huduma za jadi. Usitumie dawa za kisasa hakataamka kabisa baadae. Mimi nilikuwa napiga puli mara 2 hadi 3 kwa siku mnamo 2013, 2014 na 2015. Mara ya mwisho kupiga puli ilikuwa mwezi wa 11 mwaka 2015 nashukuru Mungu kanisaidia nimeacha kabisa. Madhara yake ni kusimamisha kidogo au kuacha kabisa. Kuna demu alinivulia chupi yaana ni sexy mbaya niliishia kuikodolea macho tu mwaka jana. Sasa hivi naweza pangwa kama kiungo mshambuliaji kwenye timu ya mapenzi baada ya kuacha kabisa kwa kipind kirefuBasi sasa tumeona madhara yake
Suluhisho la kudumu kwa mpigaji aliyeacha anataka kifaa chake kiwe na kinanyanyuka na kufanya kazi yake afanyeje?
Tuache mambo ya kina dokta sjui nani wa Rafio flani,Yaani wewe uliyeacha ulifanyaje kurudisha nguvu ?
Hakuna mtu alizaliwa na elimu lakini kila mtu amezaliwa na uwezo wa kupata elimu (cognitive ability), kitendo cha kusoma na kuleta hapa nilichosoma (kwa msemo wako wa ku-copy na ku-pest) ni kitendo kinachodhihilisha hiyo elimu sio yangu sababu sikuzaliwa nayo bali nimesoma. Hata wewe unavyosema umesomea hayo mambo pia inadhilisha kuwa hukuzaliwa na hiyo elimu bali umekopy na kupest.Mimi nawatisha kwa lipi mkuu? Wewe si ndiyo Umejaza pumba thread nzima mambo ya kuokoteza mtandaoni tu kukopi na kupesti? Mimi nimesomea haya mambo ya ushauri nasaha na nimeshasaidia watu wengi sana kuachana na addiction za aina mbalimbali. Unachofanya wewe hapa ni opposite kabisa na japo pengine unadhani kuwa unasaidia watu, unaweza kuwa unachochea moto wa guilty na hopelessness zaidi na hivyo kuwadidimiza zaidi. Mtu mwenye addiction kamwe usimtishe na kumsakama kisaikolojia kama unavyofanya. Addictions are very complicated and no two addictions are the same. Ni vizuri kukaa na kila addict na kuelewa historia yake, maisha yake, lishe na mengineyo. Hii ya kuweka mambo haya ya kuokota okota Google wengi watajaribu yatawashinda na watadidimia zaidi. Tuwe sensitive na haya mambo na tuache kudanganya watu. Nimeshasaidia watu wengi wenye addiction hapa JF na mimi huwa siwatozi pesa wala kufahamiana nao. What you are doing is wrong na unatumia nguvu nyingi mno. Anyway endelea sikuzuii na siko hapa kubishana nawe. Ubarikiwe!
papuchi a.k.a mbunye haifatiPuchu tamu jamani ohooo;!!!
Asante. Endelea kutoa mishipa ya shingo ndugu. Ni haki yako! Hukujipa muda hata wa kuelewa kiini hasa cha hoja yangu. Ni thread yako na ni lazima ujibu na ku-dominate!Hakuna mtu alizaliwa na elimu lakini kila mtu amezaliwa na uwezo wa kupata elimu (cognitive ability), kitendo cha kusoma na kuleta hapa nilichosoma (kwa msemo wako wa ku-copy na ku-pest) ni kitendo kinachodhihilisha hiyo elimu sio yangu sababu sikuzaliwa nayo bali nimesoma. Hata wewe unavyosema umesomea hayo mambo pia inadhilisha kuwa hukuzaliwa na hiyo elimu bali umekopy na kupest.
Pia, hakuna mtu amekuuliza umesoea au la. Katika jamii ya watu waliondelea kielimu huwa mtu ajisemi kuwa amesoma bali vitendo vyake ndio udhilisha kuwa amesoma au la. Ulichopaswa ni kutoa ushauri na tiba kwa addicts ili waweze kunusulika na janga hili na sio kuwatisha eti mpaka ukae na kila addict wakati unajua kukaa nao haiwekani.
Umesoma Arts ukajitahidi unasoma Guidance and Counseling alafu leo unajidangaja ni mtalaam wa afya. Teh teh teh teh teh..... nyie wa staili yako ndio mnasababisha elimu ya Tz idharauliewe!Asante. Endelea kutoa mishipa ya shingo ndugu. Ni haki yako! Hukujipa muda hata wa kuelewa kiini hasa cha hoja yangu. Ni thread yako na ni lazima ujibu na ku-dominate!
Afanyeje basi mtu mwenye uoni kikiki anapomuona kipofu mwenye uoni mdogo akimkokota kipofu mwenziye kuelekea kunako korongo angamizi; na akatoa tahadhari asiitikiwe?
Have a good day sir. Endelea kucopy na kupesti hizi "rumours" za mtandaoni. Hutakosa "waathirika". NSHAKUAGA!!!
Nshakuaga ndugu yangu. Wewe endelea na copy and paste zako za Google, kudanganya na kutisha watu. Hii ni thread yako na naona mishipa ya shingo imekusimama ukikimbia huku na huko kutetea pumba zako. Elimu yangu naitumia kwa faida ya jamii na imesaidia watu wengi tena bure kabisa bila vikwazo. Iwe ni Arts au Sayansi hayo hayakuhusu. Japo si mwajiriwa na sihitajiki kufanya lolote lakini huwa naona kama ni wajibu wangu kusaidia binadamu wenzangu. This is my obligation and I take it seriously sir. Jioni njema!Umesoma Arts ukajitahidi unasoma Guidance and Counseling alafu leo unajidangaja ni mtalaam wa afya. Teh teh teh teh teh..... nyie wa staili yako ndio mnasababisha elimu ya Tz idharauliewe!
Ahsante! Naimani dawa imekuingia.Nshakuaga ndugu yangu. Wewe endelea na copy and paste zako za Google, kudanganya na kutisha watu. Hii ni thread yako na naona mishipa ya shingo imekusimama ukikimbia huku na huko kutetea pumba zako. Elimu yangu naitumia kwa faida ya jamii na imesaidia watu wengi tena bure kabisa bila vikwazo. Iwe ni Arts au Sayansi hayo hayakuhusu. Japo si mwajiriwa na sihitajiki kufanya lolote lakini huwa naona kama ni wajibu wangu kusaidia binadamu wenzangu. This is my obligation and I take it seriously sir. Jioni njema!
NB: Halafu yaani ni kama vile nakuona utakavyokurupuka kuja kunijibu huku mapovu yamekujaa na mishipa ya shingo imekutoka. Molla na Atusaidie!
Sitakujibu tena kwani nilichotaka kusema nshakisema na nimeshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani. Relax Amigo and go enjoy your life...
Ni kweli waifu! Pumba zimeniingia. Na wengine zitawapumbaza. Hao ndio nina wasiwasi nao. Allah na Awasaidie!Ahsante! Naimani dawa imekuingia.
Ngoja nikuache nisije kuwa sababu ya kukuharibia funga yako maana umepaniki,unatukana, umekosa hoja ya msingi.Ni kweli waifu! Pumba zimeniingia. Na wengine zitawapumbaza. Hao ndio nina wasiwasi nao. Allah na Awasaidie!
Nitajie tusi angalau moja nililokutukana? Nikutukane ili iweje? Wewe si ndiyo umenitukana eti nadharaulisha elimu ya Tanzania. Mara nimesoma Arts. Ad Hominem attacks tena za kitoto.Ngoja nikuache nisije kuwa sababu ya kukuharibia funga yako maana umepaniki,unatukana, umekosa hoja ya msingi.
Now we are talking. Nyeto (au uraibu mwingine) ni tatizo la kisaikolojia zaidi na kutoa masuluhisho ya kimwili tu haisaidii sana. Mtazame masikini Ray C anavyohangaika. Masuluhisho ya kimwili hata yawe mazuri namna gani bila kushibisha kwanza nafsi ya kiroho na kisaikolojia haitasaidia sana. Ndiyo maana program nyingi za kuondokana na uraibu (mf. Alcoholics Anonymous) zinahusisha pia mambo ya kiroho na kisaikolojia. Kuna hatua fulani kisaikolojia/kiroho mwathirika akiweza kuiona basi kunakuwa kama vile kaona ufunuo fulani hivi. Hapo ndipo masuluhisho ya kimwili kama kufanya mazoezi na mengineyo yaliyopendekezwa hapa yanaweza kufanya kazi vizuri na kwa urahisi sana. Vinginevyo mwathirika atajaribu atashindwa halafu ndipo atazidi kudidimia zaidi na kuingia katika depression kali kwani kila anapojaribu kimwili na kushindwa ile sense of guilty na hopelessness inaongezeka. Ndiyo maana nikasema ishu hii ni complicated kwani ina variables nyingi na suluhisho lake siyo rahisi tu kama kufanya mazoezi, kujipaka pilipili mikononi n.k. Kwanza mwathirika awe amegusika kisaikolojia/kiroho na awe ameshakata shauri kuacha kabisa kabisa. Vinginevyo atatoka gym akiwa hoi huyo anaishia kuungurumisha punyeto. Na pilipili mikono ataiosha mwenyewe ili aende akajirahatupuishe. Asante sana mkuu kwa mchango wako.Nyeto msiichukulie kirahisi namna hvyo...kuandika umeandika hongera lakini Kiukweli punyeto ni uraibu/addiction ambayo inahitaji malezi ya kiroho na imani kubwa ili kujinasua, punyeto ni sawa na teja wa ngada kwa hiyo kuhubiri tu hivi itasaidia asilimia ndogo sana. Tatizo la nyeto ni mbadala wa tendo la ndoa ambalo ni starehe kubwa kimwili.
Tiba kuu ni kujua kuwa kila ulipo Mungu anakuona popote ulipo hata ukijificha upige anakuona, na punyeto inahesabiwa ni dhambi ambayo utahukumiwa siku ya mwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine wanandoa zao ila wananyetuka.... Wife akisafiri tu ni shida
Kweli kabisa mkuu, kuorodhesha madhara ya punyeto pekee hakumsaidii mwathirika kuacha, it needs a close care physically and mentally or spiritually, addiction is a mental problem rather than physical, to avoid this catastrophe there must be a very close counselling to an affected person in order to rehabilitate the situation.Now we are talking. Nyeto (au uraibu mwingine) ni tatizo la kisaikolojia zaidi na kutoa masuluhisho ya kimwili tu haisaidii sana. Mtazame masikini Ray C anavyohangaika. Masuluhisho ya kimwili hata yawe mazuri namna gani bila kushibisha kwanza nafsi ya kiroho na kisaikolojia haitasaidia sana. Ndiyo maana program nyingi za kuondokana na uraibu (mf. Alcoholics Anonymous) zinahusisha pia mambo ya kiroho na kisaikolojia. Kuna hatua fulani kisaikolojia/kiroho mwathirika akiweza kuiona basi kunakuwa kama vile kaona ufunuo fulani hivi. Hapo ndipo masuluhisho ya kimwili kama kufanya mazoezi na mengineyo yaliyopendekezwa hapa yanaweza kufanya kazi vizuri na kwa urahisi sana. Vinginevyo mwathirika atajaribu atashindwa halafu ndipo atazidi kudidimia zaidi na kuingia katika depression kali kwani kila anapojaribu kimwili na kushindwa ile sense of guilty na hopelessness inaongezeka. Ndiyo maana nikasema ishu hii ni complicated kwani ina variables nyingi na suluhisho lake siyo rahisi tu kama kufanya mazoezi, kujipaka pilipili mikononi n.k. Kwanza mwathirika awe amegusika kisaikolojia/kiroho na awe ameshakata shauri kuacha kabisa kabisa. Vinginevyo atatoka gym akiwa hoi huyo anaishia kuungurumisha punyeto. Na pilipili mikono ataiosha mwenyewe ili aende akajirahatupuishe. Asante sana mkuu kwa mchango wako.
Kwa wenye tamaa ya kuacha punyeto kwanza wajisaili. Ni kweli wamedhamiria kabisa kabisa kuacha no matter what? Halafu wajieleze wenyewe ni kwa nini wameamua kuacha kabisa. Ni vizuri pia wakawa na plan watakayoifuata katika kufikia jukumu hilo both short na long term. Pia ni lazima wawe na mbinu itakayowasaidia kila wakishikwa na hamu kali ya kunyetoka. Wengine inaweza kuwa ni sala. Wengine ni meditation. Wengine ni kubadilisha physical setting n.k.
punyeto mi naapa sitorudia tokea nimeacha nimeona mabadiliko makubwa sana nguvu zimeongezeka na uwezo wa kufikiri piaHujaacha Mkuu, Umepumzika tu! Muda wowote Utarudi Ulingoni.