Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hivi naomba ufafanuzi kuhusu hiyo kegel maana sielewi
Aya ni mazoes mazuri sana ambayo husaidia kukaza misuri ya uume iliyo legea na uume ambao unawahi kufika kileleni na mengine pia husaidia kwa wanawake wenye uchi mkubwa kuubana ili uwe mdogo na kupunguza majimaji mengi ukeni so kuna mazoezi mengi tu
Kwa msaada zaidi ingia youtube search kegel exercise for hapk andika jinsia yako itakuonesha kila kitu na inavyo fanya kazi
 
du 22 tu ushazidiwa round 4 utafika kwel kwa masaa 2
 
habari wana jamiiform mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kaxi naombeni mnisaidie kwani sasa naisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii
Ulianza ukiwa na miaka mingapi?


Ulikuwa unatumia nini kujiridhisha ?

Mkono, mafuta au kitu gani


Ulikuwa unafanya mara ngapi kwa siku ?

Uliwezaje kuacha ? Je ulipitia njia za kitaalamu au uliacha kulupu kulupu ?
 
Hilo tatizo ni mental illiness hapo inatakiwa ui-condittion akili yako mpaka uone huna tatzo mana wewe ni mraibu(teja ) wa nyeto...kujicondition ndo rehabu yako...na ikibid kamwone daktari kwa ushauri zaidi....
 
Back
Top Bottom