Punyeto ni nini na nini madhara yake?
SEX is in your MIND,
you erect your penis by usimg imagination of a DISTANT , WOMAN
Dont ler your mind to believe that situation.

WEWE NI MZIMA HUNA TATIZO
Aiseeeeee.......yaaani we jamaaa ungekuwa karibu ningekuagiza uende dukani kwa Mangi ukaagize chochote unachotaka bili ntalipa........yaani umeongea kitu sahihi kupita maelezo.........umefafanua vizuri........huyu bwana mdogo anahisi au anaamini kuwa hali aliyonayo sasa ni matokeo ya matatizo ya kimaumbile kumbe ni ndani ya ubongo ama fikra zake.......Kuna mwanamke au wanawake huwa anafanya nao katika hisia......na hao humpa speed ya kumaliza haraka.......kinga itabidi ni kuwa aache kuilisha akili yake mawazo na taswira za ngono za wanawake ambao hakutani nao kimwili live.......
 
habari wana jamiiform mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kaxi naombeni mnisaidie kwani sasa naisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii
Tatizo linalikusumbuà wew ni uwoga sasa fanya hiv kama mashine ikilala mwambie dem wako aishike shike itasima tena
 
Aiseeeeee.......yaaani we jamaaa ungekuwa karibu ningekuagiza uende dukani kwa Mangi ukaagize chochote unachotaka bili ntalipa........yaani umeongea kitu sahihi kupita maelezo.........umefafanua vizuri........huyu bwana mdogo anahisi au anaamini kuwa hali aliyonayo sasa ni matokeo ya matatizo ya kimaumbile kumbe ni ndani ya ubongo ama fikra zake.......Kuna mwanamke au wanawake huwa anafanya nao katika hisia......na hao humpa speed ya kumaliza haraka.......kinga itabidi ni kuwa aache kuilisha akili yake mawazo na taswira za ngono za wanawake ambao hakutani nao kimwili live.......
Mkuu tupo pamoja
 
Jamani hii ni shida kweli msione ni kitu cha utani imekuwa shida kwa wanaume wengi sasa ambao walisha wai piga nyeto ( ila wanaume wote nyote tumepitia so shida je ni muda umefanya hii kitu) me nashauri kwa yoyote anafanya hii kitu aache mara moja maana ina madhara makubwa sana.. na njia za kuondoa tatizo ni nyingi
Kuna kegel exercise hii husaidia sana ukifuata masharti
Pia acha nyeto
Penda kunywa chai ya tangawizi
Pia tumia asali na mdalasini
 
Mimi nimeanza kupiga punyeto namiaka 15 sasa nina 28. Nimekuwa addicted na punyeto kiasi kuwa sioni raha ya mwanamke kivile. Kwa sasa kila siku lazima nipige ndyo nilale. Ila nina stail yangu mjarabu ya kupigia nyeto.

Mi nachoshangaaa nyeto inafanya nikikutana na mwanamke nachelewa sana kukojoa. Na hata nikikojoa mkulu halali. Hulala baada ya mabao matatu nakuendelea.

Side effect nyingine. Nyeto inanifanya nimchoke mwanamke mapma sana.
 
miaka 22...punyeto ulianza ukiwa na miaka 15...22-15=7...miaka saba ya kupiga punyeto itakutesa miaka yote iliyobaki...pole utamu wa papuch utausikia kwenye redio
 
Itaisha Tu, tatizo hamfuati masharti tuliyojiwekea CHAPUTA, mtu unapiga bao tatu punyeto unatafuta nn? Itabidi tukutafitie counselor mwanachama mwenzetu. Pole sana, vumilia baada ya muda utarejea na kuwa simba
 
Hiyo ndio laana ya kugeuza Kiganja cha Mkono kuwa Uchi

Pamoja na Mthani huo nakupongeza kwa ujasiri wa kuwa wazi wengine wakija humu wanakuja na story za uongo eti kuna Rafiki yangu anatatizo hilo badala ya kusema Direct kuwa wao ndio waathirika!
Mimi nlipiga hiyo ktu miaka 12, I mean tangu 2004 hadi 2016 October nlipooa, still nauwezo wa kupiga bao 6 kwa night 1,
 
Punyeto haifanyi uume kushindwa kusimama, utakua una matatizo ya saikolojia... Wewe miaka 7 tu, kuna wengine wana miaka zaidi ya 15 kwenye fani na bado wanagegeda vizuri tuu....
Kweli aisee, mi nimepga miaka 12
 
Mimi nimeanza kupiga punyeto namiaka 15 sasa nina 28. Nimekuwa addicted na punyeto kiasi kuwa sioni raha ya mwanamke kivile. Kwa sasa kila siku lazima nipige ndyo nilale. Ila nina stail yangu mjarabu ya kupigia nyeto.

Mi nachoshangaaa nyeto inafanya nikikutana na mwanamke nachelewa sana kukojoa. Na hata nikikojoa mkulu halali. Hulala baada ya mabao matatu nakuendelea.

Side effect nyingine. Nyeto inanifanya nimchoke mwanamke mapma sana.

Mkuu wewe inabidi tukuweke kwenye case study.
 
Back
Top Bottom