Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wazee wa kutumia fursa haooo....
Wazee wa kutumia fursa haooo....
Screenshot_2017-01-08-10-27-30.png
nifatilie na kazi zangu ipo siku utapenda na kunielewa mimi ni msaada mkuu kwa watu
 
Wenzako punyeto tunapiga pale inapobidi.unakuta kwa.miezi miwili mara moja.sasa kama wewe ulikuwa unapiga kila siku basi pole zako.huo ugonjwa hauna dawa wala kidhibiti,bora ya ukimwi kuna ARVS ila huo ugonjwa wa nyeto hauna tiba yoyote,hospital utadanganywa tu,we jikubali na tatizo lako tu na endelea kupiga nyeto kaka
Katika jamii Watu kama nyinyi ni wabaya sana, na hampaswi kuishi na jamii unapaswa uishi dunia yako maana wewe sio binadamu, mwnzako anapokua na tatizo hayo sio majibu ya kumpa
 
Katika jamii Watu kama nyinyi ni wabaya sana, na hampaswi kuishi na jamii unapaswa uishi dunia yako maana wewe sio binadamu, mwnzako anapokua na tatizo hayo sio majibu ya kumpa
Mkuu kuna vitu havihitaji uongo,ni bora umpe tu mtu ukweli
 
Ila nashukuru tangu mwaka huu uanze sijawahi kupuchuka....Mungu nisimamie niimalize january bila kupuchuka.. amen
 
Ingia google uulizie PC musle exercises utayakuta mengi tu hata michoro mkuu
uko sahihi hiyo pelvic nilitumia kuunganisha mazoez saba ya pc ili kutibu matatizo ya watu watu wanaishiaga kusema fanya mazoez lakin hawasem mazoez gan mazoez lazima yaww ya pc
 
uko sahihi hiyo pelvic nilitumia kuunganisha mazoez saba ya pc ili kutibu matatizo ya watu watu wanaishiaga kusema fanya mazoez lakin hawasem mazoez gan mazoez lazima yaww ya pc
Ni kweli mkuu kama mtu akiyafuatilia vizuri haya mazoezi yanasaidia sana kuongeza nguvu za uume kusimama vizuri
 
punyere balaa, unapoteza nywele na kumbukumbu na uume unakuwa mwembamba.
 
Hii ni wiki ya 2 tangu nianze huu mchezo na najilaumu kwanini nimechelewa kuanza kufanya huu mchezo maana unajipa raha kwa kujitosheleza.Sasa nirudi kwenye mada inakuaje nashndwa kupga bao zaidi ya 1
 
Hii ni wiki ya 2 tangu nianze huu mchezo na najilaumu kwanini nimechelewa kuanza kufanya huu mchezo maana unajipa raha kwa kujitosheleza.Sasa nirudi kwenye mada inakuaje nashndwa kupga bao zaidi ya 1
[emoji23][emoji23][emoji23]lazimisha[emoji2] ila tambua ubongo wako utakua damaged na nyeto
 
Back
Top Bottom