Punyeto ni nini na nini madhara yake?
kweli najaribu kutumia biology yangu ndogo niliyonayo sioni uhusiano hata kidogo
 
upo tatizo unapokea ushauri kwa watu ambao hawajawahi kupiga nyeto upo tena wa wazi kabisa km ushawahi kua mpiga nyeto wa kila siku.... tiba acha nyeto miezi 4 thn njoo inbobo otherwise siwezi kukufanyia mpango wa dawa
 
Nimekua nikisikia kuwa moja ya madhara ya punyeto ni maumivu kwenye magoti.
Sasa ningependa kujua uhusiano uliopo kati ya punyeto na maumivu hayo? Nini hasa chanzo cha maumivu hayo?na tiba yake nini?

Asante
Madhara ya kupiga punyeto

Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama “Kupiga punyeto” in English “Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua.

Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:

1. Upungufu wa nguvu za kiume:

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.

2. Kutofurahia tendo la ndoa:

Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.

3. Madhara ya ndani ya sehemu za siri:

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.

4. Kupunguza uwezo wa kufikiri:

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

5. Kukosa nguvu katika magoti:

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana. Fanya haya yafuatayo:

  • Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbuka kuwa matamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.
  • Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.
  • Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.
  • Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.
  • Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.
  • Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.
  • Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.
  • The negative effects of masturbation on your brain:

The Side Effects of Masturbation
- how it affects your personality

The side effects of masturbation may be more than you bargain for.

What few people realize is that chronic masturbation will change the physical structure of your brain and can actually change your personality.

Thankfully, your brain is neuro plastic. It is moldable and changeable. You are not stuck with habits, addictions or personality those addictions have shaped. Behaviors you have learned you can unlearn and replace with healthy behaviors.

The Candeo program below will help you understand how your brain works and how to get your personality back to how you really want to be. Click below to find out more.

A man who viewed pornography and masturbated for 20 years was told by his doctor:

"You've destroyed your mind by fantasizing. You've dug a deep channel going in one direction. The rest of your mind is atrophied!"

He literally developed a “one track mind.” Sadly, he had a high level engineering brain and held a professional management position.

His habit was so neurologically destructive that he couldn’t remember anything and had to pack bags of chocolate for minimum wage. 5

Characteristics of chronic masturbation:
  • Given to extremes
  • Absent-mindedness
  • Nervous in social settings, conversations are awkward
  • Desire for isolation, yet has feelings of loneliness
  • Easily irritated
  • Can’t focus on work because their mind is elsewhere, daydreaming
  • Does poor work because of inattentiveness but makes excuses
  • Forgetfulness (poor retention leading to difficulty in school)
  • Reluctance to engage in active labor
  • Poor follow through (perseverance) on projects or tasks which require mental or physical strength
  • Lazy
  • Gloomy sadness upon the countenance
  • Moodiness and depression
  • Suicidal thoughts
  • Easily excited to jealousy
  • Generally pessimistic
  • Sensitive to correction
  • Little self-respect
Excessive masturbation: One man's testimony
“I discovered this fantasy at the age of puberty when I was 16 and I am still doing it at the age of 27.

If I had spent my precious time doing something more important I would have been a great successful person now. However, now I am a pathetic loser. I don't have a life, no girlfriend, no friends, no job, no nothing.

All I have are the symptoms of my stupid little habit, which are:

memory loss and very poor concentration, fatigue all the time, muscle cramp in legs and arms, short body, short and thin penis, lack of sleep, semen leakage, pain in testicles and abdomen, poor eye sight, fuzzy vision and eye floaters, back pain, shoulder pain, thin sperm, falling and thinning hair, weak bones, lack of interest in anything, guilt and shame, regret, depression, low self esteem and poor confidence to name but a few, although the list is too long;

the western scientists and doctors chat bulls shit that its perfectly fine to do it every now and again and it helps you keep healthy and learn the pleasure of sex.

But trust me, I am a living experienced addict and I know what it is like to have the symptoms of over-masturbation and sexual exhaustion.

They support the idea that it is harmless only to promote and encourage the use of pornography, which is a multi-billion business. Every day hundreds and millions of videos are produced for fools like me who spend their money and waste their precious life for a few moments of pleasure.

Trust me all my brothers who are reading this: I am now a living dead. I only eat, sleep and walk and that's it. I'm not capable of doing nothing. But if you want to [have] success, do not masturbate. Good luck to everybody.”6

See here for more testimonies that will make you feel the urgency to begin overcoming masturbation.

If you are feeling as hopeless as this man, click on the Candeo link above and begin this excellent program for recovery. You can remain anonymous and have the help of trained coaches along with easy to watch videos about brain science and more. Don't delay. Get your life back and reverse the negative effects of masturbation!

The negative effects of masturbation on your brain:
As if that weren’t enough, add the moral dimension.

Side effects of masturbation on the soul
- moral effects

  • Increase of disobedience
  • Manifestations of ingratitude
  • Impatience under restraint
  • Disregard of parental authority – especially when it comes to relationships
  • Overpowering disposition to be in premature relationships
  • Obsessive talk about crushes on the opposite sex
  • Lying to parents so they can be in relationships against their parent’s wishes
  • Controlled by lust and infatuation leading them to make foolish marriage commitments.
  • Licentiousness – having sex outside of marriage or just fooling around
  • Dead to spiritual things – little motivation for goodness, beauty of character and holy purposes
  • Lose their soul – you cannot follow Christ and serve Satan at the same time.
  • Temptation to commit sex crimes
If you want to glorify God, honor Him with your body and develop your mind and character to be a blessing to society and your future family, make an earnest resolution to begin overcoming masturbation today.

Side effect of masturbation
- how it hurts your future spouse

Thinking about another woman (or man) lustfully in your heart is adultery (Matthew 5:27-28). You are setting yourself up for infidelity.

It sets you up for unrealistic expectations in marriage of how your husband or wife should perform in bed. You will inevitably be disappointed.

It decreases your ability to perform when you do get married because your body develops a need for certain stimulation which is unrealistic in marriage (you need something more exciting, more provocative or more dangerous to be aroused. Also the friction of your hand is more abrasive than the friction of intercourse which leads to sexual frustration in marriage.)

Masturbation is often used as an escape or coping activity for stress, anger, loneliness, tiredness, or fear, keeping you from developing a dependency on Christ to minister to you in difficult times through His word.

It fuels a feeling oriented (not principle oriented), self-indulgent (not self sacrificing)attitude of life. A good marriage (or any relationship for that matter) grows and thrives when both parties look for opportunities to give, not take.

Your husband or wife will feel hurt, rejected, replaced, betrayed, and deceived if you carry this on into marriage. Without trust there can be no true intimacy.

Bila punyeto ningekuwa nishakufa na ngoma kwa malaya wa Jozani Zanzibar. Niliacha baada ya kuoa. Hata wakati nafanya hiyo punyeto nilikuwa na uwezo wa kupiga bao nne hadi tano. Nimekuja kuoa uwezo ukashuka lakini nahisi na kuongezeka uzito kunachangia (kunenepa). Ni bora punyeto kuliko kurisk maisha yako. Mbona sigara ina madhara na hamuachi!?
 
Hili hata ungeandika kwa Kihispania sikubaliani na wewe.
 
Hakuna madhara ya punyeto kiafya "OVER"
Ngojea Wakati utakapo taka kuowa au kuwa na mpenzi wako chumbani Dushelele lako linasinyaa utakuja hapa kulalamika jamani kwanini Dushelele lako linasinyaa? ndipo nitakapo kwambia unitafute ili nipate kukupa dawa na utaipata bei ya dawa yake nitakayo kupa gharama yako utajuta kwanini umepiga Punyeto.Piga Punyeto kwa raha zako usiogope maneno yangu.
 
Mzizi mkavu unazeeka vibaya. Kazi kukopi tu hao nguruwe (wazungu) huku wakihimiza ndoa za jinsia moja na wanakuambia hazina madhara!
mimininapenda watu wabishi kama nyinyi kwani utakapo athirika na ukosefu wa nguvu zako za kiume mimi nitakupata nipate kukuzia dawa zangu.mkuu usiache kupiga Punyeto hakuna kitu kitamu kama kupiga punyeto na ukizoea kupiga kwanza huwezi kupata maradhi ya Ukimwi wanawake siku hizi wana maradhi piga punyeto Kwa Raha zako usiache mkuu.
 
Ngojea Wakati utakapo taka kuowa au kuwa na mpenzi wako chumbani Dushelele lako linasinyaa utakuja hapa kulalamika jamani kwanini Dushelele lako linasinyaa? ndipo nitakapo kwambia unitafute ili nipate kukupa dawa na utaipata bei ya dawa yake nitakayo kupa gharama yako utajuta kwanini umepiga Punyeto.Piga Punyeto kwa raha zako usiogope maneno yangu.

Acha kutisha watu, mm nimesoma form one mpk six boys nimepiga nyeto sana na nilimaliza form 6 2007 na mpaka leo nina mke na mtt 1, nagonga ngozi kwa kwenda mbele sijui hayo madhara yanatoka wap labda ukiniambia upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na vyakula vya siku hiz nitakubali lakin siyo punyeto acha kudanganya watu
 
Uogo mtupu, shemeji yako hadi huwa anaomba usiku usiingie kwa ligi ninayompa. Wewe baki na video zako za YouTube. Kuna siku walikuja watu wa kutoa elimu kuhusu UKIMWI nikiwa Zanzibar kazini. Wote kwa pamoja walishauri bora punyeto kuliko hata Condom
 
Acha nae huyu jamaa atakuwa tapeli anawadanganya watu tu ili apige biashara zake eti unaona bango limeandikwa"tunauza dawa za nguvu za kiume" wiz mtupu,
 
mishipa na viungio lazima vitakuuma kwa sababu unapungukiwa na ule ute unao lainisha viungo.
 
Uogo mtupu, shemeji yako hadi huwa anaomba usiku usiingie kwa ligi ninayompa. Wewe baki na video zako za YouTube. Kuna siku walikuja watu wa kutoa elimu kuhusu UKIMWI nikiwa Zanzibar kazini. Wote kwa pamoja walishauri bora punyeto kuliko hata Condom
Wewe ndio muongo mimi karibu wateja wangu wengi wa upungufu wa nguvu za kiume sababu ni ndio hiyo ya kupiga punyeto wewe hupigi punyeto ungelikuwa unapiga punyeto usingesema hivyo.Wengi wa vijana siku hizi wana upungufu wa nguvu za kiume na mimi ninapata pesa toka kwa hao wanaopiga punyeto ndio maana nikakwambia wewe hupigi punyeto laiti ungekuwa unapiga punyeto usingenibishia maneno yangu ninayo yasema.Haya kama ni kweli wewe unapiga punyeto niambie chama cha kupiga punyeto Tanzania kinaitwaje kwa jina?
 
Acha kutisha watu, mm nimesoma form one mpk six boys nimepiga nyeto sana na nilimaliza form 6 2007 na mpaka leo nina mke na mtt 1, nagonga ngozi kwa kwenda mbele sijui hayo madhara yanatoka wap labda ukiniambia upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na vyakula vya siku hiz nitakubali lakin siyo punyeto acha kudanganya watu
Ninakusubiri bado utakuja kuelezahapa madhara ya kupiga punyeto muda sio mrefu kuanzia sasa bwana mdogo endelea tu kupiga punyeto madhara yake utakuja kuyaona mbele. Na utavuna kile ulicho kipanda.
 
Back
Top Bottom