Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mi sijaomba njia za kuacha kupiga hii kitu,sihitaj kuacha maana najiepusha na zinaa,nachoomba kujua ni madhara yapi nitapata maana ni miaka mingi imepita sioni madhara nadhan miaka 14 sasa
asante na hongera kwa kauli ya kishujaa wewe ni shujaa wa chaputa subiri zawadi yako
 
Watafiti wanasema ,punyeto ni tamu kuliko papuch,
Kufanya pungeto unatumia nguvu nyingi kuliko kufanya na mwanamke,

MADHARA
-ukikutana na mwanamke utafanya muda mrefu bila ya kufika kilele,ni sawa na MTU aliezoea kunywa gongo au konyagi,ukimpa bia au mbege ni kama unampotezea muda tu.

Ndio maana unasema ukikutana ns mwanamke anaisoma namba ,
Maana yeye anatama umalize lakini ww huwezi kwasababu hujisikii raha kama kwenye punyeto.
Kwa hali kama hiyo hata ukikesha na mwanamke ,asubuhi ukibaki pekeako utapiga punyeto tu.
umeongea point kubwa sana huwa nawashangaa wanaosema ukipiga puli eti ukikutana na dem unawahi kumwaga. huo ni uzushi maana mimi huwa nachukua dakika 50-60 kupiga goli la kwanza
 
Nimekua shabiki wa huu mchezo tangu 2003 nilipoanza form one,lakini tangu nimeanza kupiga hii kitu kimb** changu hakikui wala kupungua yani kiko palepale ila kikisimama kina urefu nchi 6.2 sasa sijui ndo kibamia au ni saiz ya kat,au labda badae kitakua sigara kabisa

Kuacha haka kamchezo siwez ila nikiwaga na dem napiga mpaka ananyoosha maelezo,wengine wanasema kamchezo haka kana madhara lakini nafikiria Mimi tangu 2003 mpaka leo nakafanya na sioni madhara au kwakua situmii kemikali,sabuni hata vilainishi,then kako very active yan hapa nikiona paja la binti tu kinasimama mpaka nakosa poz,na kamchezo naendelea nako

Labda niulize madhara yanatokea baada ya muda gan ?

maana Kama ni watoto nimeshafyatua wa kutosha na wengine wanakuja
Mi sidhani kama kunamadhara yoyote we piga nyeto usiogope
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshirika hebu mwambie huyo maana haelew
huyo ni wa kumpuuza me nimeanza tangu 2006 mpaka leo sijaona madhara yoyote. tena nikipiga dem lazima amsahau bwana ake. kwangu punyeto ni kawaida sana huwa napiga pale ninapozidiwa na nyege au nikitaka kuenjoy sio nianze kuhangaika na madem mara kuhonga mara kubembeleza,akikubali uanze kutafuta geto au gesti. mkisex anataka umfikishe kileleni tena bila shukrani anakuachia na gonjwa la zinaa. hiyo kazi yote ntamfanyia mke wangu tu. wasikutishe ukuaji wa mboo ni vichocheo vya asili ndo vinaongeza maumbile. so wakati unabalehe uume unakua haraka
 
Haya bhana vijana endeleeni tu na hako kamchezo kenu ,nilipitia humu nikidhani mnataka ushauri jinsi ya kuacha kumbe ..............
 
huyo ni wa kumpuuza me nimeanza tangu 2006 mpaka leo sijaona madhara yoyote. tena nikipiga dem lazima amsahau bwana ake. kwangu punyeto ni kawaida sana huwa napiga pale ninapozidiwa na nyege au nikitaka kuenjoy sio nianze kuhangaika na madem mara kuhonga mara kubembeleza,akikubali uanze kutafuta geto au gesti. mkisex anataka umfikishe kileleni tena bila shukrani anakuachia na gonjwa la zinaa. hiyo kazi yote ntamfanyia mke wangu tu. wasikutishe ukuaji wa **** ni vichocheo vya asili ndo vinaongeza maumbile. so wakati unabalehe uume unakua haraka
Support % 100
 
Back
Top Bottom