Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Jina la Bwana Lipewe sifa wakati wote!.

Habarini wana Jf doctors! Poleni na majukumu mazito ya kuhakikisha shibe inapatikana kwa kila MTU!
Nianze kwa kusema namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya na nguvu ya kuendelea kulitumikia taifa langu pendwa Tanzania.

Leo nimeamka nikiwa na tabasabu la furaha kwa kufikisha siku 365 na robo tangu niache kujihusisha na mchezo wa kupiga punyeto. Mchezo ambao nimeutumikia kwa kipindi kisichopungua miaka 6.

Nakumbuka niliuanza huu mchezo wakati nikiwa kidato cha tatu kutokana na makundi rika nikaamua nami nijue utamu wa punyeto. Siku moja nikiwa pekeangu mtoni naoga nikaamua nijaribu, kweli nilifanya, aisee nakumbuka nilitumia kama dakika 26 hivi hadi kupizi nilipata shida kweli, nakumbuka siku ya pili naniliu ilivimba na nikahisi maumivu kwa ndani. nikatulia baada ya siku 2 nikafanya tena nikawa naanza kuuzoea mpaka ikawa desturi kila siku lazima nifanye.
Hadi naingia chuo nilikuwa muumini niliyezoea zaidi .

Shidaah ilianza nilipoanza kudate na wanawake yani kula papuchi ngozi laini, daah nilipata aibu sana mashine ilikuwa haiinuki ipasavyo naishia kupiz before sijaingiza kunako. Aibu niliyoipata ndo nikaamua kujaribu kuuacha huu mchezo nikawa nashindwa, nikiweza sana nilikuwa nakaa hadi wiki mbili bila punyeto ila siku nikitingwa nilijikuta nimefanya tena. nilihangaika sana kuacha lakini sikufanikiwa.

Nakumbuka ilikuwa 2016/May/06 baada ya kumaliza mitihani yangu ya chuo nikaamua kwenda bafuni kujipongeza kwa kazi ngumu. hiyo siku ndo ilikuwa siku yangu ya mwisho kupiga punyeto, hadi Leo naandika Uzi huu nimetimiza mwaka mmoja sasa bila punyeto. Namshukuru mwenyezi Mungu na hili jukwaa kwa ujumla mmefanikisha Mimi Leo kuandika hivi. Nasema asante sana!

Nafahamu wapo wengi wanatamani kuacha huu mchezo lakini wanashindwa kutokana na ugumu uliopo katika kuacha punyeto.
Binafsi sikufanya kitu kipya au kigeni sana hadi nimefanikiwa kutimiza mwaka mmoja bila kupiga punyeto, Nilichofanya Mimi ni kufuatilia mawazo ya wataalamu mbalimbali yaliyotolewa humu ndani jinsi ya kuacha punyeto nikauafanyia kazi kwa uaminifu ndo maana Leo naandika hivi.

Binafsi nitakumbushia machache ya kuyafanya kwa wale wanaohitaji kuacha punyeto.
1.Fanya mazoezi.
ufanye mwili wako muda wote ujisikie maumivu kwenye misuli na viungo vingine kwa kufanya mazoezi makali kila siku walao kukimbia uwanja mara 10,kuruka kichura umbali mrefu, pushup na yale mazoezi ya kukata tumbo. mwili ukiwa umechoka kwa kufanya mazoezi itasaidia kupunguza hisia za mapenzi, yaani badala ya kufanya punyeto utatamani zaidi kupumzika kitandani kutokana na mwili kuchoka sana,. walioenda jkt naamn tupo pamoja,
lakini pia kupitia mazoezi utaujenga mwili wako vizuri ikiwa ni pamoja na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea kutokana na punyeto.

2. Acha Kabisa Kuangalia Picha Na Video Chafu Zinazohamasisha Ngono, Pia Kama Unasite Za X Futa Kabisa Japo Wengi Wetu Huwa Tunasave Hizo Tovuti kichwani.

3. Usipende kukaka peke yako, jichanganye kwenye makundi ya watu, ikiwezekana nashauri hata wakati wa kulala/kuoga hakikisha upo na mtu wa kufanana na jinsia yako, ili uone aibu kupiga nyeto.

4.Epuka story za mahaba, huwa zinawashawishi sana punyeto.

5.kama upo kwenye makundi ya whatsapp/fb n.k ya x na ya ujinga mwingine jitoe kabisa.

6.ni vema kumshirikisha mwandani wako (umpendaye naye anakupenda kwa dhati) juu ya tatizo lako, ili naye a-play part yake kama mwanamke, mfano kama yuko mbali asikutumie picha zake za uchi, pia asikubanie sauti pale mnapoongea, maana sauti pia hushawishi punyeto,.

7.kuwa updated person all the time.
chunga muda ukiendekeza sana punyeto unaweza ukajikuta umezeeka na hujawahi kuigusa papuchu. ingia mtaani tafuta mtoto mzuri mwambie "mrembo njoo tujenge malengo baridi itaniua mwenzio, na we upo si utakuwa na dhambi Nikifa" mtoto anakuelewa unakula zako mzigo taratibu unasahau punyeto.

MAENDELEO YANGU YALIKUAJE BAADA YA KUACHA PUNYETO?

Baada ya miezi miwili kuacha punyeto nilikutana na demu yaani ckuweza hata kudindisha , demu anashka dushe limelegea hilo, mara wazungu wanatoka faster before hajaingiza kunako, nililala nae mpaka morning sikufanikiwa kufaid uzur wa yule demu, nilitaman kujiua maana asubuh ilipokaribia demu akanambia live "hujanifurahisha hata chembe" maneno yaliniumiza vibaya, kumbuka hapo ilikuwa miezi miwili sijapiga nyeto..
badae nikamwomba msamaha ,kwa kuwa demu alinipenda kwa dhat akapotezea huku akiniomba sex inayokuja nijitahid kumridhisha. (Mungu ambariki yule mwanamke maana si kwa kunivumilia kule)

baada ya hapo nilianza kufanya yafuatayo
1.niliendelea kuish bila kupiga nyeto wala kukutana na demu.
2.nilianza kunywa maji mengi yasiyopungua lita 4 per day coz maji yanaongeza mzunguko wa damu kuwa mzuri. na dushe ili lisimame vizur linahitaji damu ya kutosha isambae kwenye mishipa yake.
3.niliandaa mbegu za maboga nikatwangwa ziwe unga unga hafu nikawa nachemsha maji nayaweka kwenye kikombe cha chai hafu natia huo unga walao vijiko viwili nakunywa km uji asubuhi, mchana na usiku navyoenda kulala. mbegu za maboga huongeza uwingi wa sperms
4.nikaanza kulamba asali iliyochanganywa na mdalasini vijiko viwili asubuh mchana na jion. asali husaidia kuimarisha misuli ya kiumeni iliyolegea.
5.nilikuwa nachemsha tangawizi na kunywa maji yake asubuhi mchana na jion. tangawizi pia husaidia mzunguko wa damu kuwa mzuri.

haya mambo nilianza kuyafanya mwez wa nane 2016 ilipofika mwezi wa kumi (miezi mitano baada ya kuacha punyeto) nilikutana na demu nilifurahi kuona demu anakojoa mara tatu ndani ya round moja, ye mwenyewe ananiambia nimekojoa, mimi hata dalili napush mzigo tu mara tena demu anasema "nimekojoa tena" yaani ilifika kipind demu anasema "baby nimechoka naomba ujilazimishe ukojoe please , kumbe cku zote hizi ulikuwa unanibania why?" na kweli mm ilibid tu nijilazimishe nipiz ili demu apumzike coz ni demu niliyempenda sikuhitaj kumkomoa na alikuwa yule yule niliyeaibika kwake kipind kile nina miez miwili sijapiga nyeto..nilistaajabu sana hata sikuamin kama ni mimi.

Juzi nimekutana na mwingine naye kanielewa show ilikuwa vizuri.

Nilichogundua muda unahitajika zaidi Mara baada ya kuacha punyeto ili kupata matokeo tunayoyatarajia. pia kuna vitu inabidi utumie km asali na tangawizi ili kusaidia kurekebisha sehemu za ndani za uume zilizoathirika na punyeto.
Ilinichukua miezi mitano kuanza kumfurahisha mwanamke kitandani baada ya kuacha punyeto.

Saizi Niko safi, nakunywa maji mengi , pia kutumia asali,tangawizi na mdalasini ni sehemu ya maisha yangu kutokana na faida ya hivyo vitu katika mwili wa binadamu. kwa kumalizia huwa sipendagi boxers zinazobana dushe.

Ni hayo tu waheshimiwa, Mungu awabariki sana na mnisamehe kwa kuwachosha na huu uzi mrefu.
Mkuu hongera kwa kuacha kupiga Punyeto ingawa mwaka huu kuna uchaguzi wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania Chapuwata ungelikuwa bado unapiga wangekuchaguwa uwe kiongozi wao lakini umeacha umekosa uongozi wao. Hongera sana kwa kuacha kupiga punyeto ina madhara sana kiakili na kiafya punyeto sio kitu kizuri kiakili punyeto in haribu mfumo wa ubongo wako unakuwa una matatizo kifikra na kiafya Punyeto inaharibu mishipa ya nguvu za kiume una kuwa ukifanya mapenzi unawahi kukojoa haraka na uume wako kusinyaa wakati wote na hamu ya kufanya mapenzi unakuwa hauna tena.Ningewashauri Vijana muache kupiga Punyeto mutakuja kukimbiwa na wapenzi wenu watakuwa wanakwenda kwenye michepuko kwa sababu hamuwafikishi kileleni ukisha kumaliza wewe Dume haja yako hutaki tena kurudia kufanya mapenzi. Matokeo yake mwenzako aka mpenzi wako wa kike haumfikishi kileleni atakusaliti siku moja aende nje ya ndoa akamalizwe haja yake ya kufika kileleni shauri yenu vijana. Mukisalitiwa na wapenzi wenu wa kike mimi simo.
 
asante mkuu!
kuhusu maswali yako nitayajibu kutokana na experience sio kitaalamu. wataalamu watakuja kuongezea
1.asali mbichi inasemekana ni nzuri zaidi kuliko iliyochemshwa, mwenyewe natumia mbichi coz inakuwa na virutubisho vyote muhimu haijachakachuliws.
pia kuna asali ya nyuki wadogo na wakubwa, hapa nakushauri tafuta ya nyuki wadogo japo bei yake IPO juu.
2.mdalasini wowote ule ilimradi unavyoutumia uwe katika ungaunga, ko ukitaka kutwanga mwenyewe powa, uliotwangwa toka kiwandani ni sawa pia. kinachomata ni unga.
3.aisee hii njia sijawahi kuitumia japo kuna watu nimeona wanashauri hivyo ila binafsi sijawahi kuthubutu,, labda tumwombe Mzizi mkavu na wataalamu wengine watusaidie
Shukran saana Mkuu. Hakika kupitia Uzi waako nimejifunza mengi
 
Fanya mazoezi ya push up atleast 50 kwa siku...tena asubihi ukiamka tu
..sio push up za kuweka ngumi..weka mikono yako chini.. Ishike sakafu..halafu piga push up hizo.lala chini CHALI..sakafuni... UINUWE KICHWA Uguse MAGOTI kwa mikono yako.....ulale tena..fanya mara 20.. hyo inatengeneza mishipa ya tumbo..na kukaza misuli.. Ya kila kitu..kuanzia kiuno na tumbo....then pendelea kula mchele mbichi uweke na sukari kidogo upate appetite... Kaa week moja...then mtafute huyo dada MWAJUMA KANDAMBILI NDEFU..utanambiya..MTI NYAMA unakuwa kama MSUMARI....na hamu haaishi...
..
 
Fanya mazoezi ya push up atleast 50 kwa siku...tena asubihi ukiamka tu
..sio push up za kuweka ngumi..weka mikono yako chini.. Ishike sakafu..halafu piga push up hizo.lala chini CHALI..sakafuni... UINUWE KICHWA Uguse MAGOTI kwa mikono yako.....ulale tena..fanya mara 20.. hyo inatengeneza mishipa ya tumbo..na kukaza misuli.. Ya kila kitu..kuanzia kiuno na tumbo....then pendelea kula mchele mbichi uweke na sukari kidogo upate appetite... Kaa week moja...then mtafute huyo dada MWAJUMA KANDAMBILI NDEFU..utanambiya..MTI NYAMA unakuwa kama MSUMARI....na hamu haaishi...
..
Asante mkuu
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.nimekuwa na hili tatizo miaka kadhaa na nimejitaidi kuacha mara nyingi sanaa na hatimae nimeacha kabisa na ninakili hilo

Tatizo nililonalo saiv ni katka uume wangu kutoweza kusimama vizuri na kuplay mechi, yaani uume unasimama legelege ambavyo mimi siliziki ata kidogo kusimama kwa uume wang

Wana jf naomba msaada ili niweze rudisha hali yangu ya kawaida ili niweke heshima kwa mwanamke wangu. Msaada tafadhal hili tatizo linanisumbua sanaa na linanifanya nisiwe na raha kabisa
Note:naomba ushauri


Ukitaka uume wako urudi katika hali ya zamani inabidi ukubali kushikishwa ukuta kama mara tatu hivi kisha lamba koni kwa miezi miwili. Utapona ukizingatia haya.
 
Fanya mazoezi ,kula mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko kimoja cha chakula kwa siku ,kwa muda wa miezi 3 na kujisahaulisha kabisa punyeto nguvu zatarudi taratibu.
In kwery cha msing zingatia vyakula at unavyotumia pia na usipende vitu vya kupandikiza kama kuku Wa kizung mayai yake pia michips at
 
Jiandae vizuri kisaikolojia utapiga mechi na usikumbukie ile stimu itakuondoa kwenye mood.
 
Ukitaka uume wako urudi katika hali ya zamani inabidi ukubali kushikishwa ukuta kama mara tatu hivi kisha lamba koni kwa miezi miwili. Utapona ukizingatia haya.
Mhh huo ushosti wako kaupeleke mombasa jooh
Mungu ni mwema na anamkusudi yake kunifanya me mwanaume haya ni mapito we ndemwa nitarudi saw tu
Kashauri kizazi chako na wanao uone jinsi itavofaa zaidi
 
Mhh huo ushosti wako kaupeleke mombasa jooh
Mungu ni mwema na anamkusudi yake kunifanya me mwanaume haya ni mapito we ndemwa nitarudi saw tu
Kashauri kizazi chako na wanao uone jinsi itavofaa zaidi


Usitoke na povu kihivyo, umeomba ushauri nami nimekupa huo ushauri. Isitoshe, mimi ni mtalaam wa haya masuala kwani nimeshatibu watu kadhaa. Jaribu tu uone kama hauponi.
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.nimekuwa na hili tatizo miaka kadhaa na nimejitaidi kuacha mara nyingi sanaa na hatimae nimeacha kabisa na ninakili hilo

Tatizo nililonalo saiv ni katka uume wangu kutoweza kusimama vizuri na kuplay mechi, yaani uume unasimama legelege ambavyo mimi siliziki ata kidogo kusimama kwa uume wang

Wana jf naomba msaada ili niweze rudisha hali yangu ya kawaida ili niweke heshima kwa mwanamke wangu. Msaada tafadhal hili tatizo linanisumbua sanaa na linanifanya nisiwe na raha kabisa
Note:naomba ushauri


Ukate huo uume na uwe unavaa fake dushelele au la....badilisha jinsia tu. Nani kakuambia kupiga punyeto ndio mbadala wa gegedo? Mungu amekupa dushe na mwanamke papuchi ili zisuguane na kuridhishana wewe unatafuta njia ya mkato kwa kupitia kiganja chako, hauna haibu kweli?
 
Napenda kupewa ushauri kwa ari hii, kwani mimi nafanya Sex kwa week yaweza kuwa mara mbili au tatu ila cha ajabu na ambacho siwezi vumilia kuacha ni kupiga PUNYETO sasa nifanye nini ili niweze kuacha?

Note; ila bado sijaoa.
 
Back
Top Bottom