Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mwaka wa 10 huu napiga punyeto. Sijapata hayo madhara yako. Kutongoza wanawake niwapendao. Mwili wangu hauna madhara yoyote. Kiakili niko poa sana hata ofisini wananijua kwa outputs zangu. Na hapa nikiamua kupiga puchu naenda ndani ya gari langu napiga narudi ofisini. Wewe unapiga puchu huli vizuri hufanyi mazoezi mboga mboga unazionea kwa mama ntilie saladi hujawahi kula kazi kabeji. Push up 100 unaskiaga tuu. Mimi bao sijawahi kupiga moja ni nne na kuendelea. Tena nikipiga puchu na demu awe anamvuto bao saba hadi 10.
mhhh kakaaa acha kupiga puchu kaka
 
Punyeto haina shida...

Tatizi nyinyi mnapiga daily...

Piga kwa utaratibu..
 
Punyeto tamu shostii ataachaje
Dada acha mawazo potofu ...punyeto kwa wanaume ina madhara sana yaani mimi hapa ni mmoja wapo baada ya kutoswa na girls wengi nkashangaa naangukia huko sasa madhara yananipata sasa bora ningekuwa natafuta tuu wadada wanaojiuza maana walikuwapo toka enzi za yesu masiah
 
Kukojoa ni kule kule ama kwa mkono ama kwenye njia ya mwanamke. Madhara ya kweli ni ya kisaikolojia tu.
 
Hii ni baada ya kuona madhara yake
1. Goli moja chalii
2. Mwili kudhoofu ,
3. Uti wa mgongo kuuma
4. Mawazo kedekede ,
5. Kuchukia wasichana walio nikataa kushiriki nao tendo
6. Matatizo ya akili kama mwendawazimu

Ni hayo tuu ila mengine nimeyaacha maana siyo mazuri
Baada ya yote ninapenda kushukuru kwa yote hasa wale girls walo nitosa na kupelekea mimi kuji-selfie. Ndugu zangu wanaume ACHANENI NA PUNYETO NI HATARI SANA KWA AFYA.
Ni hayo tuu kwa leo.
Mkuu huna sababu za msingi kabisa..! Na bado hujanisawishi kuacha hii kitu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Thanks to #JF_moderators kwa kurekebisha makosa waliyoyaona hayafai...,much respect
To you.
 
Mkuu huna sababu za msingi kabisa..! Na bado hujanisawishi kuacha hii kitu! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Basi mm kama muathirika nimeleta hii ili kusaidia wengine sasa kama ww hutaki hata kuelewa hii basi sawa mkuu ww endelea tuu
 
Mkuuu nakushauri achana nayo ...acha kupiga punyeto janna nilisoma kwenye kitabu flani hivi kuwa kupiga punyeto ni sawa na kumdhalilisha mungu na uumbaji wake so ushauri wangu acha kupiga punyeto .pia tuungane tuka tubu dhambi ya udhalilishaji wa uumbaji wetu. Ni hayo juu
Hapo ndo uliposahau..! Hakuna any scientific facts zinazoonyesha ubaya wa puchu..! Jus ni religion garbage tu ndo zilizobakia..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Basi mm kama muathirika nimeleta hii ili kusaidia wengine sasa kama ww hutaki hata kuelewa hii basi sawa mkuu ww endelea tuu
Wewe kapime mambo mengine.. Usisingizie puchu! Angalia labda utakuwa unaumwa tezi dume..! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom