Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hiyo ni hari inayojitokeza kwa mwanaume hasa pale unapokuwa na wacwac au woga! Ukihingiwa na hofu hata kwa dawa huwez kucmamisha! Na historia inajionesha kuwa bado ni mgeni katika mmb hayo hivyo bado unaogopa.ushauri,jiamini chukua muda kabla ya tendo lenyewe ili upate muda wa kumzoea mwenzio. Na jipe maandalizi binafsi lakini pia muandae mwenzio au muandaane ili kuleta hisia karibu na kufanya tendo huku akili zenu zikiwa katika hiyo hari ya kujamiiana. Fanya hayo, utapata matokeo mazuri. Wengi tumetokea huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu unakikimbuka ambacho kinakutia jamba jamba au kinakutia wasiwasi ...hapo huwez kusimamisha ndg .... Sio kila Demu akija getho lazima ulambee... Fanya kuzoeana kwanza

Motivation_Ba.D
 
Yani we jamaa unaandika NEWS ALERT halaf unatuandikia Ujinga mtupu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom