Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mimi najiuliza hawa wanaosema Puli inamaliza nguvu za kiume, mbona mimi napiga puli tangu mwaka 2005 lakini last week demu wangu baada ya kunisumbua sana kuwa anaumwa tumbo nikampeleka kucheki kwenye ultra sound akakutwa na na mimba ya watoto mapacha? Au mimi Mungu amenijalia nguvu za kipekee?
Mkuu waongo tu nyeto haizuii chochote ni self unapiga nyeto na game unapiga fresh na watoto unapata.
 
Mimi najiuliza hawa wanaosema Puli inamaliza nguvu za kiume, mbona mimi napiga puli tangu mwaka 2005 lakini last week demu wangu baada ya kunisumbua sana kuwa anaumwa tumbo nikampeleka kucheki kwenye ultra sound akakutwa na na mimba ya watoto mapacha? Au mimi Mungu amenijalia nguvu za kipekee?
Kumpa mwanamke mimba hakuhusiane na ukosefu wa nguvu za kiume
 
Nlikuwa Nje Ya chama for almost 9 months, ila jana nimerudi sijui ndo rasmi ama kwa muda.
Hii ni kutokana na mamito kwenda uni nimejikuta Jana nkijilipua nyeto twice a day na Leo tena asubuhi nkiwa nakoga,.

CHAPUTA IHESHIMIWE HAUWEZI IKIMBIA MAZEE, NSAMEHENI KWA KUSALITI CHAMA👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Nlikuwa Nje Ya chama for almost 9 months, ila jana nimerudi sijui ndo rasmi ama kwa muda.
Hii ni kutokana na mamito kwenda uni nimejikuta Jana nkijilipua nyeto twice a day na Leo tena asubuhi nkiwa nakoga,.

CHAPUTA IHESHIMIWE HAUWEZI IKIMBIA MAZEE, NSAMEHENI KWA KUSALITI CHAMA[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Msamaha wako umepitishwa pasi na shaka kwa Niaba ya mwenyekiti na wajumbe wa chama tunakukaribisha sana kundini pia tunakuomba uchukue na form ya kugombea nafasi iliyoachwa wazi ya katibu mwenezi wa chama.
 
Msamaha wako umepitishwa pasi na shaka kwa Niaba ya mwenyekiti na wajumbe wa chama tunakukaribisha sana kundini pia tunakuomba uchukue na form ya kugombea nafasi iliyoachwa wazi ya katibu mwenezi wa chama.
Pamoja mkuu zero IQ, fomu napata wapi???
 
naona kama napata mchanganyiko wa mawazo, lakini from what i see, it sounds like madhara ni mengi kimtindo, labda niulize, kama unahisi nguvu zako za kiume zinapungua je hakuna dawa ambayo imedhibitishwa inayoweza kusaidia? achilia izi za kibongo Mkuyati na nyingine nyingi ambazo waganga wetu wa kienyeji wa kibongo wanatangaza kila kukicha.
Hospital hawana dawa za nguvu za kiume ...tatzo hili n hta la uzazi waweza kulitibu via dawa za kisunna n mchanganyiko wa vyakula me natoa hizo dawa si kuuza nazjuwa tu n friends wengi huwä wananunua vifaa nawatengenezea n in sha Allah s tatzo kupon .......
 
Dawa ya kujitoa Chaputa
5ae4bfe66e664a4c07a474ffad4c1a79.jpeg
 
ACHA ACHA ACHA KUJICHUWA UTAPATA AIBU NA MADHARA KATIKA MAISHA YAKO

ALJALILA HERBAL AND HIJAMA CLINIC

HAYA NDO MADHARA 36 YA PUNYETO YAANI KUJICHUWA KWA WANAUME

PUNYETO.

Ni kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.

MADHARA 36 YA PUNYETO.

1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.

2.Kitendo hiki huondoa baraka na neema za Allaah kwani kinamuudhi sana Allaah.

3.Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.

4.Husababisha uchovu muda wote.

5.Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.

6.Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka wakati wa tendo la ndoa.

7.Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)

8.Husababisha mtu kukosa hamu kabisa Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.

9.Husababisha ukhanithi

10.Humfanya mtu ambae hajaowa ashindwe kuowa

11.Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.

12.Huzidisha woga kwa wanawake.(kuogopa ).

13.Humfanya mtu ashindwe kuona umuhimu wa wanawake.

14.Inaweza kumfanya mtu kukonda na mifupa ya mashavu kutokeza.

15.Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.

16.Ni maasi na athari ya kudumu inayouwa afya ya mwili na akili.

17.Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.

18.Maumivu ya mgongo.

19.Kusinyaa kwa nywele.

20.Maumivu ya makende.

21.Maumivu ya kiuno.

22.Pia inaweza kusababisha umasikini kwa sababu mtu hupoteza nguvu,kumbukumbu, na kuwa mlegevu na mvivu.

23.Inachangia kushindwa kufikia malengo kwa sababu huuwa mfumo wa fahamu na uwezo wa kufanya jambo kwa makini.

24.Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi

25.Huondoa nuru ya macho.

26.Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.

27.Hufanya ngozi ionekane kama ya mzee.

28.Husababisha kuvunjika kwa ndoa.

29.Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake, na pia kutazama sana picha na video za ngono.

30.Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.

31.Kukosa nguvu kwenye jointi za magoti.

32.Kupungukiwa mbegu katika mfuko wa uzazi.

33.Kuharibika kwa mishipa ya fahamu na uti wa mgongo.

34.Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.

35.Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.

36.Ni aibu kubwa sana kwa jamii

Baadhi ya watu wengi hawajui faida za nafaka zisizokobolewa kama mtama,ulezi,uwele,mahindi,soya,karanga.

Sasa ni wakati wa kujuwa faida za nafaka hizi ambazo ni muhimu katika miili yetu
Kwani nafaka hizi ni Tiba na lishe toshaa kabisaaaaa

Kaa tayari inshaallah so muda mrefu tutaelezea faida za nafaka hizi uzionazo pichani

Tunaomba ucoment na kushare ili tujuwe tuna compony inayo tu support ALJALILA HERBAL AND HIJAMA CLINIC

TUFUATILIE KATIKA CHANEL YETU YA YOUTUBE SASA BONYEZA MAANDISHI YA blue https://www.youtube.com/results?search_query=aljalila+tiba
usisahau kusabscribe na kubonyeza kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa zetu za kitiba

LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UZIDI KUELIMIKA JUU YA MARADHI BONYEZA HAYO MAANDISHI YA BLUE UJIUNGE
33417826755097/

NJOO UPATE TIBA YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI, KUKOSA UZAZI, GESI,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,KISUKARI,
UTI,MARADHI YA ZINAA PUMU,VIDONDA VYA TUMBO NA NYENGINEZO NYINGI.

OFISI ZETU ZIPO
DARESALAAM MAENEO YA KARIAKOO MSIKITI WA MANYEMA PIGA NO 0659625151
AU 0778888987

UNGUJA TUPO MWANAKWEREKWE MUEMBE DEZO PIGA NO 0772878788

PEMBA TUPO CHAKE CHAKE SOKONI PIGA NO 0776478788

KARIBU TUKUHUDUMIE

DAWA POPOTE UTATUMIWA.

TAFADHALI SHARE MADA HII ILI WATU WAELEMIKE JUU YA MARADHI YANAYOWAKABILI BINADAMU.
 
Nimesoma heading tu lakni siachi ng'o hata madhara yawe bukujero never!!!🤕🤕🤕no one can stop nyetoo🎶🎶🎸🎸🎹🎹🔊🔊🎤🎤
 
Back
Top Bottom