Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Siyo kila kinachosemwa ni salama ni salama kweli ndugu.Kuna wakati hata Biblia inataka Binadamu kutumia common sense na siyo kufuata mikumbo tu.
Rejea andiko linalosema ...sheria ya Mungu ipo katika dhamiri za watu.
Jiulize ukijichua dhamiri yako inakuelekeza vipi?
Rejea andiko linalosema ...sheria ya Mungu ipo katika dhamiri za watu.
Jiulize ukijichua dhamiri yako inakuelekeza vipi?