Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Aisee..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Huyu mwqmba ameshinda vita jamani, tumtie moyo...

Kwa hiyo wajumbe wa chaputa wanapungua..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nime read thread yako vzr Ila ujaeleza n mda gan ulikaa mwili wako ukarud normal?Kama kuwa nahisia na girl penis kuwa na nguvu.
Hapo kwenye nguvu itakuchukua muda kiasi. Mwazo nilitamani hata kutumia madawa yanayouzwa mtaani lakini sikuwahi kujaribu. Then nilijipa moyo kwamba mambo yatakuwa fresh na hivyo kujiweka sawa kisaikolojia, ndipo mabadiliko yakaanza mara moja, nguvu ikaanza kurejea, tena nikajikuta naweza kutumia muda mrefu kiasi kabla ya kumaliza.

Ni muhimu kujiweka sana kisaikolojia na kujiaminibkuwa erection itakuwa sana tu kwani mojawapo ya madhara makubwa ya punyeto ni semi-erection na kuwahi kumaliza ukiwa na mwanamke. Hali hiyo yaweza kwenda hataiezi kadhaa lakini kila siku utaona mabadiliko. Huna haja ya kutumia madawa bali jipe muda huku ukijizuia usirejee tena kwenye kujichua.
 
Kama kweli umeacha utaanza kuwa positive and active katika
  • Kufanya kazi za mwili
  • Kuwaza vizuri
  • Kujiamini
  • Kuwa na afya njema
  • Kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wako
Past is past, don't dwell on your past...usirudie matapishi Mkuu, Mimi nilishapiga nikiwa secondary nilipokuja kuamua kuacha sikurudi nyuma na wala hata sikumbukagi na ni muda sana sasa

NB: kuoa pia kunasaidia.
 
Kmmke mzee umetisha ko ulikuwa unafanyaje apo awal kwa mate au sabuni
 
Back
Top Bottom