Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
kuhusu nyeto .... wanao tangaza kuwa waliacha na hawajawahi fanya ndio addictive na wapigaji wakubwa.
........nyeto ni hatua ya ukuaji kama hatua nyingine ndio maana hakuna darasa wanalo fundisha ila ni mtu mwenyewe hujukuta anajua kuzibatua.....
.........Na hakuna anae Acha nyeto hakuna mjanja huyo labda yatokee matatizo ya kuathiri viungo visiweze kufanya nyeto ila kama vipo active ndugu yangu wewe umepumnzika tu [emoji3][emoji3]
........halafu vijana wanaweza wakazani wao ndio wanapiga nyeto sana ila ukweli ni kwamba waliopo kwenye ndoa ndio wanaongoza kupiga nyeto wakifuatiwa na wazee.
......ndio maana kitakwimu vijana wanaongoza kufanya ngono kuliko watu waliopo ndoani.....