Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pengine. Never say never.

Kuna jambo la mahusiano huwa hata nikikaa na wadogo zangu nawashauri.

Wanawake wameumbwa tofaut sana, kuwajua inahitaj kuongea na hiyo type unayoishi nayo. Ili uilewe..

Wakat wa uchumba, pamoja na kufanya mara kadhaa, na kujitamba nimemridhisha mdada, na kwa miaka 4 hiv, kumbe hajawah hata siku moja kuridhika.

Ni siku ya HoneyMoon, tuliongea meng, akaniambia ya kwakwe mengi(ambayo yanafanana kwa wanawake weng), kiufup alinipa codes za kwake za kumridhisha.

Kutokea siku hiyo, the rest is history in making.

So kama anapiga nyeto pamoja na kunipa K yake na mm naona namridhisha , well. It's up to her...





Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Codes zake zilikuwa zimefichwa na wewe huzijui [emoji1787][emoji1787]
 
Kwema wapendwa, leo ktk kuvinjari kwangu mtandaoni nimekutana na hoja ambayo imenifanya nijiulize swali hili. Hivi ni kweli waliopo ktk ndoa wanaongoza kwa kupiga nyeto kuliko wasio katika ndoa?

Mliopo katika ndoa halafu mna kadi za kudumu za uanachama CHAPUTA mnatafuta nini huko CHAPUTA?

Nasubiri majibu. View attachment 1989746
any gist of research and evidence?
 
Uongo.
Ukweli ni kuwa hakuna kipimo maalum, mahususi na fanisi kinachotoa takwimu za ngono, kuridhishana na muda wa umwagaji wa mabao huko mavyumbani mwa watu. Kama kipo kitaje.....

Wanaume nguvu tunazo za kutosha na KAZI ZINAENDELEA, hata baba yako ni shahidi ndo maana lilipigwa bao zito ukazaliwa wewe.

Kupiga bao na kumaliza haraka au kwa kuchelewa ni suala la hisia na binadamu wapo tofauti linapokuja suala la ni mambo gani yanapandisha hisia zao kwa haraka.
Atakaye thibitisha Nguvu unazo au lah!

Ni mwanamke unayesex naye TU, sisi wengine hata hatuwezi kukuamini ata uongee mpaka kamasi zitoke
 
Kama unatatizo lolote kati ya hayo niulize.

Leo ni weekend na kuna muda mwingi wa kusaidiana baada ya kumaliza shift. Nitakuwepo hapa kutwa nzima kujaribu kukusaidia kwenye janga lolote kati ya hayo.

Karibuni wenye uhitaji.
 
Punyeto ni uraibu kama uraibu mwengine tu na wengi hutamani kuacha ila hawajaamua!!.

Ipo hivi nilichogundua wengi wanaofanya huu mchezo Kuna walioona madhara na ambao hawajaona,walioona madhara baadhi wamejitoa na wengine bado wanahangaika na hili jinamizi punyeto!.

Kwa ambao hawajaona madhara wamekuwa sugu na wanaitetea nakuona ni njia salama na nzuri ya kujiridhisha kihisia.

Ktk ufanyaji wa mchezo huu hutegemea mtu na mtu na njia azitumiazo ktk ufanyaji,zipo njia ambazo huumiza kiungo husika na hichi ndicho kinacholeta kundi la walioopata madhara!,lakini ktk kundi la pili la wasioona madhara ni wale wanaoutumia njia ambazo zimepunguza uathiri wa kiungo uzazi mfano wale wanaoutumia punyeto ya nzi,hii haiathiri sana misuli ya kiungo husika hivyo hata kuona madhara si rahisi.

Hata hivyo,pamoja na hayo yote wapiga punyeto wengi bado wamekuwa wakihitaji kuuacha huu mchezo ila isipokuwa aidha mazingira muda mwengine huwafanya kujikuta wakijilipua!.

Inawezakuwa economic status,udomo zege, sometimes gundu la kukataliwa n.k sababu ni nyingi ila sababu kuu ni kushindwa kuzimudu nyege(tamaa mwili).

Ukweli ni huu punyeto inamadhara isipokuwa inategemea namna ya ufanyaji na njia,madhara yenyewe yapo ya kisaikolojia na hadi kimwili pia.

Punyeto husababisha hofu!,wapiga punyeto hukumbwa na hali ya hofu pale wanapikuwa ktk real sex kwa wanaume hupelekea hadi dudu kulala!. Hii huwatokea sana wale waliopiga kwa muda mrefu ieleweke si kwa wote.

Hulegeza misuli ya kiungo chako,kutokana na njia husika punyeto huweza kuleta athari ya ulegevu wa kiungo uzazi chako na hii hali ikimkuta mhusika huanza kufikiri anamatatizo ya nguvu za kiume na Kama itaendelea huleteleza hofu hivyo kushindwa kabisa kumudu tendo.

Sitaorodhesha athari nyingi maana naongea na wapiga punyeto wanaweza kujiangalia na wakaona athari walizopata na hata hivyo zimeshaorodheshwa nyingi humuhumu jukwaani. Nisiegamie upande mmoja pia zipo faida kama kujiepusha na magonjwa pamoja na husaidia pia kwenye swala la kutunza kipato chako ambacho ungeweza kukitumia pindi utakapohitaji huduma husika kwa mtu n.k

Lengo la uzi lipo kwa wale wanaotaka kuacha,naomba niandike hivi na wasomaji wote muelewe kwanza mtu yoyote anaetaka kuacha uraibu wowote ule ni dhamiri.

Mtu aliedhamiria kuacha ndie anafaa kupewa kipaumbele na ndie atakaweza kuacha!,hivyo basi hapa naongea na wale waliodhamiria kuacha kabisa.

Kuacha punyeto hakuhitaji nguvu kubwa Sana kwa mtu anaehitaji kwasababu kukataa kwake hakutoki mdomoni bali hutoka akilini maana hata uraibu huu huanzia hukohuko akilini.

Najua wengi wameshaandika kuwa ukitaka kuacha uraibu punyeto ati uache kutazama x,uache kukaa peke yako na brabra nyengine. Ipo hivi kwa mtu aliedhamiria kuacha huitaji nguvu kubwa kuacha huu mchezo hata iwekwe x utaangalia na hautafanya huu sio muujiza bali ni namna unavyoweza kuendesha akili yako ifanye nini na nini usifanye!.

Sikuzote hutaweza kukaa na watu tu yapo mazingira utakaa peke yako na Kama hujimudu kiakili utapiga punyeto tu!.
Kwa waliodhamiria hili ni zoezi jepesi sana na ukiweza kumudu kwa waliopata madhara wataona mabadiliko kadri wanavyokaa bila kufanya.

Ukidhamiria kuacha huhitaji kuhesabu umetumia siku ngapi bila kupiga punyeto!,usitumie nguvu we jua umeshaacha inatosha kuhesabu si chochote we ishi tu.

Tao mawazo ya kupiga nyeto yanapokuja kichwani na wala usitumie nguvu just relax unaweza kufanya meditation au kitu chochote kitakachochukua attention narudia tena usitumie nguvu ni brain game tu!.

Unaposisimka Kama ni uume ukisimama usiushike just deal na kichwa chako huko ndo Kuna kila amri,kwa aliedhamiria hili ni zoezi jepesi sana.. nb sio kusisimka ni vibaya hapana kunaonyesha uzima wako so si kila muda upambane na hizo hisia mfano asubuhi kwa sisi me ni kawaida kusimamisha nchi so take it easy iache iwike fanya mambo yako ikichoka italala.

Anaeweza kumudu kuacha punyeto ni yule anaeweza kukaa hata mazingira hatarishi na asifanye huyo ndie aliemua kuacha kikubwa umudu akili yako tu.

Ifike hatua ujifikirie utaendelea kujiharibu mpk lini?

Huoni aibu kushindwa kujimudu?

Tafuta mtu wa kutulia nae ujifaidie tunda halisi dunia inayo unayoyata kazi kwako kujitafutia.
 
Punyeto haina madhara, bali kufanya punyeto uku unaangalia picha za porn ndo kuna madhara,
Nilkuwa napenda kufanya hvyo kabla cjaenda kwa dem mpya, iliniserv kupunguza idadi ya madem wa ajabajab na maamuz mabaya yatokanayo ya nyege,
 
Back
Top Bottom