Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kutoa manii nyingi kwa mshindo mmoja kunasababishwa na nini?
N.B wanawake zaidi ya 5 baada ya kushiriki nao waliniambia kuwa ninatoa manii nyingi sana.
 
Mkuu kilichnifanya niache kwa iyo miez mitatu nilipata dem nikashindw yaan uume uligoma kabsa kwanzia hapo ckuwai kupiga tena mpak sasa nahisi kilich changia ile hali ni punyeto na ule uvivu wang wa kula
Pole mkuu. Jitahidi urejeshe hali yako pambana na hofu pia mazoezi pia usisahau kegel exercise nimeona humu wengi wakiizungumzia
 
Je maradhi ya hernia yanachangia Kwa kiasi Gani upungufu wa nguvu?
sana sana ni maumivu uuume ukisimama, au maumivu wakati wa kumwaga. Na hapa tunazungumzia zile hernia zinazohusisha maeneo ya karibu na uume...either inguinal or femoral..ukifanyiwa upasuaji utakua poa
 
Me nilikuw natumia iyo namba mbili mkuu
sasa hili ni tatizo la kimkakati zaidi...maana yake unahitaji kutibu saikolojia yako, then uje kuandaa mchakato wa kuacha kuangalia punyeto kisha ndipo tuutibu uume ili kuurudisha kwenye hali yake ya mwanzo. Nikuambie tu, haitakuwa rahisi. ila it is possible
 
Back
Top Bottom