Punyeto ni nini na nini madhara yake?
madhara yapo...kwa kupiga PUNYETO tu...tayari akili yako ishaharibika.
Inategemea na akili ya anaepiga mkuu

Form 1 nimeanza hii kitu nikiwa na wanangu boarding
Tulikua tunajipanga kushindana Nani atapiga muda mrefu

Nimemaliza o level nikaingia advance mwendo ukawa ni ule ule mpaka nikaingia chuo nikiwa Bado napiga

Nimepiga hii kitu for 9 years mpaka nilipoamua kuacha miaka miwili nyuma.
 
PUNYETO ina madhara...na yatakuja kuonekana baadae...hata kama sasa hivi unajiona mzima
 
Kuna uwezekano wowote wa kusapoti kwamba kuna mwanaume hajawahi piga punyeto!? Kama upo ni upi na kwa nni!? Na kama haupo kwa nn!?
Nimeapitia baadhi ya scholars wanasema hii kitu ni "natural thing"
 
Kuna uwezekano wowote wa kusapoti kwamba kuna mwanaume hajawahi piga punyeto!? Kama upo ni upi na kwa nni!? Na kama haupo kwa nn!?
Nimeapitia baadhi ya scholars wanasema hii kitu ni "natural thing"
well ,hapa tunazungumzia in health field na sio mijadala na mitazamo ya kwamba mtu amewahi fanya au hajawahi fanya...maana hicho ni ngumu kujua...ni privacy ya mtu.
 
sasa hili ni tatizo la kimkakati zaidi...maana yake unahitaji kutibu saikolojia yako, then uje kuandaa mchakato wa kuacha kuangalia punyeto kisha ndipo tuutibu uume ili kuurudisha kwenye hali yake ya mwanzo. Nikuambie tu, haitakuwa rahisi. ila it is possible
Nimeshaach tena ukiangalia na kwa sasa zile website zimefungiw yaan raha mustarehe Nina mda cjaangalia kabsa labda nione kwenye movie na kwanza huw napeleka mbele
 
uoni hafifu sana sana husababishwa na ukosefu wa vitamins mwilini au magonjwa makubwa kama kisukari na shinikizo la juu la damu. Kwa punyeto hakuna details zinazo support hayo unayoyasema
Ni kweli mkuu kuhusu uoni hafifu me huwa sioni mbali mpak nikaze macho
 
Hello ntumie njia gani ili nisiwe na hisia na mwanamke?? Yaan nahtaji hata nkiona mwanamke akiwa uchi nisipate hisia yyte ile. Sababu n kwamba sihitaji kuzalisha mwanamke yyte ndani ya miaka kadhaa hii
hicho unachokiuliza hakiwezekani...umuone mwanamke akiwa uchi na ushindwe kusisimka ? kama huna mpango wa kuzalisha kwanini ufikie hatua ya kumuona akiwa uchi ? kaa mbali na wanawake kama hutaki kuzaa nao
 
Upatikanaji wa hilo tunda halisi duniani umekuwa mgumu kwa vikwazo vikuu viwili.

Mosi, papuchi nzuri na yenye mvuto imekuwa gharama sana.

Pili, kula mbususu na nylon nayo ni sawa tuu na kupiga nyeto
Duh! Sasa mkuu si bora kula mbususu kwa hilo nylon tu kulinda afya Sasa tutafanyaje na ukitaka vya juu lazima ugharamike.
Hii kweli ukiona tu tu nyeto unadindisha[emoji23]
Haha!
 
Duh! Sasa mkuu si bora kula mbususu kwa hilo nylon tu kulinda afya Sasa tutafanyaje na ukitaka vya juu lazima ugharamike.

Haha!
Sasa kama wala mbususu kwa nylon sii bora ujipigie nyeto yaishe...raha ya mbususu ni skin to skin bwana....bora nife lakini nimekufa na utamu orijino nimeupata kuliko kutumia mihelea kula mbususu kwenye nylon
 
Dah! Mkuu ushavurugwa wewe sawa kila mmoja na maamuzi yake.
 
Punyeto ina madhara tena makubwaa hatarii,yanii mpaka sasa kitu aisimami sabbu ya nyeto
 
tatizo ni saikolojia yako mkuu...inawezekana unafanya nae sex kuonesha uanaume tu, ili akuone kama na wewe unajiweza. Tengeneza hisia na huyo mwanamke wako, tengeneza hisia na huyo mwanamke, tena ikiwezekana awe anakuandaa na wewe. Wanawake ni watundu sana kuna vitu vyao huwa wanafanya wakati wa tendo vinaweza vikakufanya ukakojoa mapema sana bila hata wewe kutaka.
Ndugu elvis richard dadavua hapo tafadhali!
 
Back
Top Bottom