Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Na vp ukiacha hako kamchezo auwez kupona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemeana na hali yako imefikia hatua ganiNa vp ukiacha hako kamchezo auwez kupona
mwanaume ndo unaamua kumwaga au lah ! ukiamua umwage baada ya dakika 2 au 20 unaweza kufanya hivyo.Ndugu elvis richard dadavua hapo tafadhali!
sikifahamu hicho kizaziKuna kizazi unachokifahamu ambacho vijana wake hawakufanya masturbation?
Leo asubuhi nimepiga nadhani cha mwisho ...nataka niache Sasa.We acha punyeto bana izo biashara za science achana nazo
Sasa mkuu ukiamisha mawazo c mkuyenge utalalamwanaume ndo unaamua kumwaga au lah ! ukiamua umwage baada ya dakika 2 au 20 unaweza kufanya hivyo.
maana yangu ni kwamba kumwaga mbegu kupo kichwani kwako, akili yako ikiwaza sana ule utamu wa sehemu za mwanamke utajikuta unawahi kumwaga.
ndo maana utakuta wanaume wengi huwa tukitaka tusimwage haraka huwa ikifikia wakati wa kumwaga tunahamisha akili na kuwaza labda mpira, kodi, bosi mtata na vingine ambavyo vitaifanya akili isiwaze utamu wa lile tendo kwa kufanya hivyo unajikuta humwagi. so please kama unataka kumwaga mapema (baada ya mwanamke kumwaga kwanza ) inakubidi akili yako uiweke kwenye utamu wa mwanamke. utazame mwili wake, angalia titi zake, sikiliza sauti yake ilivyotamu...utamwaga. !!
mwanamke pia awe ana play part yake kuhamasisha wewe kumwaga. Akunyonye chuchu za kifua na sehemu zingine zinazokuongezea hamu. So kama mwanamke wako ni zubaifu kitandani, kazi yake kulala tu ...mchane live !
sex ni kitu cha pamoja, sio cha mtu mmoja.
Mkuu hiyo kitu inatesa sana na kuiacha ni ngumuLeo asubuhi nimepiga nadhani cha mwisho ...nataka niache Sasa.
Uraibu wangu huwa kwenye porno Yani bila kuangalia porno siwezi jichua
Juzi nimeenda kwa mwanamke sikudindisha kabisa nikasingizia naumwa
Misuri au mirija...?elezea kama mtaalamu.misuli ya uume huwa inasinyaa, hata ukisimama unakuwa hautanuki sana...so huwa unapungua
misuli ya uume ndiyo inayozungumziwa na si misuli mingine ya mwili bosi.Misuri au mirija...?elezea kama mtaalamu.
Mfano anepiga push up kila sku asubuh misuli ya mikono yake huwa inatanuka au sinyaa?
Kitendo cha kujichua kiungo chochote cha mwili upelekea misuli na mirija kutanuka...
kwenye PUNYETO hakunaga cha kusema leo nafanya kwa mara ya mwisho. lazima utafanya tu tena. kuacha kuna mchakato wake na njia maalumu ya kuacha kidogo kidogo tena kwa kusimamiwa.Mkuu hiyo kitu inatesa sana na kuiacha ni ngumu
hapana kama ni uume ambao uko imara hauwezi kulala labda hayo mauume yaliyochoka na PUNYETO za kila siku...wanaume wengi huwa tunaitumia hii mbinu ya kuhamisha mawazo ili usimwage haraka. na ndo njia rahisi ya kwanza ya kujifunza kwa mwanaume yeyote yule hata awe ndo anaanza mapenzi lazima atumie njia hii kuchelewesha kumwaga.Sasa mkuu ukiamisha mawazo c mkuyenge utalala
Misuli ya uume inatofautiana nn na misuli mingine ya mwili..?misuli ya uume ndiyo inayozungumziwa na si misuli mingine ya mwili bosi.
inatofautiana..misuli ya uume ipo kama sponjiMisuli ya uume inatofautiana nn na misuli mingine ya mwili..?
Ebu kaka mimi naomba unisaidie kuachana na hili jambo maana limenitesa muda mrefu na mpaka sasa nahisi kama nyota yangu ishachafuka maana hata nikitongoza mwanamke atanikubali ila baada ya siku mbili ananikataa sasa mpaka nashindwa kuelewa tatzo ninijamani niwaambie kuacha PUNYETO kuna raha sana .Mimi mwenyewe ni mtaalmu wa masuala ya afya lakini hii kitu nilisumbuka nayo. Si kitu rahisi lakini inawezekana ukiweka nia na ukiwa na msimamizi.
ukiacha PUNYETO unakuwa na confidence ya hali ya juu sana. unaweza ukafanya chochote kile. tangu nimeacha PUNYETO naelekea mwaka wa pili sasa. hali ya uume wangu imeimarika sana yaani nahisi kama nimezaliwa upya. kuna nyakati wife huwa ananiomba kabisa mechi aisee [emoji23][emoji23] na analinda kweli yaani, hapa home kuna mdogo wake kaja kutusalimu, basi huwa anatuchunga sana. (lakini mimi sina mpango nae)
moja kati ya vitu nilivyovishuhudia baada ya kuacha PUNYETO na video za ngono ni kuongezeka kwa confidence yangu. zamani nilikuwa sina kabisa mazoea na wanawake. nilikuwa nahisi kama vile wanafahamu nini nilichokuwa nafanya nyuma ya pazia. lakini baada tu ya kuacha na kuanza kutibu uume wangu. Baraka zilifunguka. nikapata mwanamke ambaye sikutegemea kama nitakuja kumpata na sasa hivi ni mke wangu w ndoa.
Sasa hivi nimekuwa mtu wa kujichunga sana na wanawake. maana naona wengi kama wanajileta sana na sitaki kuharibu ndoa yangu ni changa sana ,ndo kwanza mwaka na nusu.
ACHENI PUNYETO NDUGU ZANGU, INAWAWEKA MBALI NA USO WA MUNGU.
...MWENYE SIKIO NA ASIKIE, NIKO TAYARI KUWASAIDIA KWA YEYOTE ATAKAEHITAJI MSAADA WA KARIBU AHSANTENI
njoo inbox kaka....uwe na open mind lakini.Ebu kaka mimi naomba unisaidie kuachana na hili jambo maana limenitesa muda mrefu na mpaka sasa nahisi kama nyota yangu ishachafuka maana hata nikitongoza mwanamke atanikubali ila baada ya siku mbili ananikataa sasa mpaka nashindwa kuelewa tatzo nini
Swali ni kwamba..M.b.oo inajuaje kama huo ni Mkono na sio papuchi?misuli ya uume ni hiyo inaitwa corpora cavernosa pamoja na corpus spongiosum
hii ukiwa unafanya PUNYETO inalegea kadri siku zinavyozidi kwenda. sio mirija jamani dah [emoji4][emoji4]View attachment 1993565
itumie nafasi hii kuuliza maswali ya msingi na yakusaidia.Swali ni kwamba..M.b.oo inajuaje kama huo ni Mkono na sio papuchi?