Punyeto ni nini na nini madhara yake?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] una style mpya unayo naona,,,uliyo vumbua ww ni ipi hiyo tupite nayo?
We unapiga je punyeto mbona mwenzako nina 20 years experience na bado kazi napiga vizuri tu. Control akili yako.... Maana hapo ukienda kupiga mkono itasimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na achaneni na hizi punyeto za kubana dudu mkononi mnaua misuli

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la kugeuza puchu kama manzi[emoji28]!

Piga puli kama nyege breaker sio unaigeuza demu unapiga puli 3*3 asubuhi mchana na jioni!
Hii ndio hoja ya msingi, mkuu wewe ni legendary kabisa katika hii tasnia[emoji23][emoji23] puchu ni kwa ajili ya kupunguza kiherehere tu na sio kuigeuza mbususu. Ona sasa mambo yalivyo mharibikia.

Ila watu wanapata wadada wa ajabu, mtu kashindwa siku moja eti mara hasira, sijui usinisindikize.. WTF!
 
Huyo demu hajawahi kumpenda jamaa ila jamaa huenda hajui na kumletea mbususu ni kwamba amemletea kwa sababu amemuonea huruma tu😅 af jamaa pia kashindwa interview tu!
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
[emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii mimi ikinikuta mwezi wa sita mwaka huu ila sema inshu haikuwa punyeto nilikuwa ninamatatzo flani hivi kwenye mnazi, nashukuru nilimkonvice akarudi tena.

Punyeto sio sababu sema mindset yako ndo haipo kwenye sex huenda ungejaribu kupuchurika ingesimama kwa nguvu.
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
Pole Sana Katibu Mkuu wa CHAPUTA!
 
Ilikuwa hofu tu sijui kama nyeto ikawa ndo sababuu..na hata kama ndo sababu labda ulikuwa unapigia kweny grenda ya kutolea kutu...sidhan kama sabuni ingekuletea dhahama zote hizo
Oya nyeto cyo mchongo, amin anacho kuambia
 
Haina shida maumivu ni kutokana na kukauka kwa ute. Hivyo friction inakuwa kubwa, kunawaka moto ila kama una kilainishi mambo inakuwa swadakta.
Mkuu colgate unaipakia kwa wapi?au ktk neck pale
 
Aka kamchezo kakishetan sana mm ninamiez 5 cjagusa kbs Ila Jana nimekaa kimasihara nikaw naangalia wanawake wa insta wakikata mauno na vyupi vyao nikajikuta nimepiga tatu chap chap mungu anisaidie kijana wa watu tu Leo nisije piga maana kuna kitu kinanishaur piga mbili za mwisho Leo usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama asubuhi uume unasimama( morning glory)basi huna tatizo, bali ni hofu yako tuu...

Piga nyeto once per week haina madhara...

Hakuna mwanamme ambaye hajistui hata mara moja...kwa mwaka...

Mimi angalau mara moja kwa mwezi lazima nijisisimue hata kama pisi ipo... na gemu ni poa tuu lazima kilio kisikike upande wa pili!

Kujichezea uume kwa mwanamme huanzia tumboni. Mtoto wa kiume hucheza na uume wake tumboni na unaweza kutofautisha jinsia ya mtoto by ultrasound kwa kuangalia mikono yake ipo wapi...

Mara nyingi mikono ya mtoto wa kiume huwa inachezea uume wake na hii inakuwa driven na hormone ya kiume ya testosterone.

Hapo unahitaji Mwanamke muelewa kama MZIGUA hapo juu ambaye utamsisimua nae akusisimue na Mwanamke ambaye anamvuto siyo wa kuokota tuu unataka mashine isimame...

Wakati mwingine uzuri wa Mrembo wako na jinsi gani unahisia nae inachangia unapiga vipi hiyo show.
 
Back
Top Bottom