Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
Punyeto inasaidia sana.

Nilikuwa mbovu kitanda, lakini baada ya kumshirikisha rafiki yangu " nyeto" shoo zimekuwa ni next level.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kupiga punyeto kwa kuangalia porn kuna madhara zaidi. Hii ni kwa sababu za kisaikolojia zaidi kama ifuatavyo:

1. Kwenye porno si uhalisia ni fantasy. Wale wanawake wa kwenye porno wapo trained kufanya ngono kwa mtindo ambao kwa maisha halisi ngono haifanyiki. Mfano kuna category mbali mbali. Kuna hii inaitwa incest imeshik hatamu sana, kunacategory ya Anal sex, kuna threesome, kuna teen, milf, double penetration na kadhalika. Hii hupelekea mtu kutofurahia kuangalia normal porn na kufuata category inayomsisimua zaidi ili apige punyeto.

Kwa hiyo siku mtu akikutana na mwanamke atakosa yale matamanio yanayompa nguvu za kusimamisha uume vema ili ufanye mapenzi na mwanamke kwa sababu ubongo umeshazoea yale yanayoonekana kwenye porno. Mtu amezoea kuangalia porno na kule wanawake wanajua kujitega, kuvua nguo taratibu, blowjob, yaani wamefunzwa kuteka akili ya watazamaji. Halafu unakuta mpenzi wako siyo mjuzi sana, amevua nguo amekutengea lazima utajikuta mkongojo hausimam kabisa.

2. Addiction ya porno inahatarisha afya ya akili. Huku kwetu Tanzania watu wengi hawafuatilii au hawajatambua umuhimu wa afya ya akili. Kwa hiyo unavyokuwa unaangalia porno na kupiga punyeto kuna athari nyingi kwenye afya ya akili, kama vile uoga (anxiety) sonona (depression), stress. Kwa hiyo siku ukikutana na demu unaweza shangaa unapata anxiety ya ajabu, ukaperform performance mbovu sana mpaka ukajishangaa.

Vilevile kuna ile hali ya hatia (guilty conscience) baada ya kupiga nyeto ile ndiyo mbaya sana. Bora utafute mwanamke wa kukupa pussy na siyo kuangalia porno na kupiga nyeto.
Na kama umeshapata madhara ya porn ni kipi ufanye ili kurudi katika uhalisia wako
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
Ulikua na hofu nae mkuu...wenzio tukiwa na hofu kama hyo tunapiga kwanza k vant uoga wote unasepa..sasa hyo show yake hapo. ...lazima aseme kinawaka moto
 
Mimi mbona napiga nyeto fresh kabisa kutwa mara moja na nikipata demu namgegeda fresh kabisa

Wewe unapiga nyeto kwa siku,wiki,mwezi mara ngapi?
 
Madogo mna zingua sana, kila mkivurunda huko lawama zote kwa chama ( CHAPUTA).
Hahahaa mkuu pata kinywaji chochote upendacho nitalipa.. Haiwezekani mtu utoe boko halafu lawama CHAPUTA wakati kuna mdau wa CHAPUTA kasema tangu yupo la 7 anawakilisha ila anapiga show za kibabe km kawa
 
Sikufichi mkuu, mimi tangu darasa la 5 nawakilisha chama ila hawa madogo sijui wana tatizo gani [emoji28]
 
Niliwahi jaribu nyeto nikiwa high school nikauna haipandi,
nikafata pisi domitory kwao nikamaliza nyege zangu

Sijawahi jaribu tena ila hipo siku nitapiga tuu maana mada za nyeto zimekuwa nyingi.
 
Back
Top Bottom