GOOD MORNING to every member of JF who will read this...
Kuna PUNYETO ama kujichua au vijana wanaita KUJITAFUNA MWENYEWE.. Halafu pia kuna TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE...
Lengo la mtu kufanya hivi vitu nafikiri lengo kuu huwa ni kumaliza tamaa za ngono tu. Lakini kinachonichanganya ni kwamba NIKIWA NAPIGA PUNYETO hamu yake haiishi kabisa, nitapiga leo, na kesho na keshokutwa na kila siku napiga na hamu haiishi kabisa.
Lakini nikiwa nafanya TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE naweza fanya siku mbili mfululizo au tatu baada ya hapo hamu zinaisha kabisa najiskia mwepesi naweza nalala na mwanamke mpaka asubuhi hata nisimfanye chochote, kwa kifupi naweza kaa hata siku mbili au tatu ndo nipate tena hamu ya kumchakata dem, ila nikisha gusa tu nyeto ndo basi hamu haiishi nakuwa napiga kila siku.
Sasa swali langu la msingi, kwanini ukiwa unapiga nyeto hamu inakuwa haiishi kirahisi kiasi kwamba waweza piga kila siku ila ukifanya tendo la ngono lenyewe kabisa kwa siku labda 2 au 3 mfululizo basi unaridhika kabisa waweza kaa siku 4 au 5 ndo unapata hamu ya kufanya tena ? Ila nyeto unatamani tu upige kila siku an why?
Uhusiano wa nyeto na tendo halisi ukoje an !
Nawasilisha.