pole mamii!
hii inaitwa kujichua(nafkir nipo sahihi)
well,kimsingi athari utakazopata ni kuwa utakuwa uemshatengeneza aina fulani ya hisia ambazo la ukitane na mwanaume mjuvi kweli ili ufike hiyoparadise unayofika kwa ujido mwenyewe!ukikutana na wale wa lala niweke nikimaliza ulale walahi hutaacha na mbaya zaidi unaweza kujikuta umeingia kwenye ile habari ilee ya national milling(unalijua hilo shirika ?)muulize
Mamndenyi ndo lilikuwepo enzi zake!
so kwa kujiweka mahala salama better of ukaacha!na jinsi ya kuacha ni rahisi kama kweli ni kitu kinakukera lakini kama bado unaamini uanaapa ridhiko hapo huwezi kuacha !na bahati mbaya au nzuri kwa wanawake kujichua haina madhara kimwili zaidi ya kihisia na kiakili!kwa hiyo mara nyng huwa tunatend kusema its okey!
usijisikie vibaya women do such things sometimes!