Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Heshima kwenu
wadau.mchezo niliunza mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha
nilishindwa....nilivyooa nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo
takriban miez 2..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha
tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?
Mkuu wewe unatakiwa kuingia kwenye ginisi buku ofu rekodi. maana mimi enzi nikiwa kwenye piki nilikuwa napiga nyeto kutwa mara3. lakini wewe umezidi kutwa mara5????? hii kali
 
Mwenzako mmoja alikuwa anapiga master bation au nyeto na huku anaangalia video ya ngono ghafla amekufa na mkono upo ktk nyuchi na huyo akifufuliwa atafufuliwa akiwa anapiga nyeto shauri yakonawwww

mkuu wewe ni muongo, hakuna madhara yoyote yakupiga punyeto zaidi zaidi kuna faida ya kupiga punyeto, mkuu endelea na punyeto yako wala usiogope vitisho ila ukikua utaacha:bange:
 
Haaaaaaahaaaaaaaaaa,kisije kikampolonyoka bureeee....

"Nlikuwepo":bolt:
 
Pole sana, punyeto ni dhambi. Na kama ilivyo kawaida ya dhambi inakuwa addictive, ndio maana mtu anafanya halafu bbadaye anaanza kujilaumu. Dawa pekee na kushinda dhambi zote ni Yesu Kristo pekee. Mwamini Bwana Yesu, tubu dhambi zako zote kwa kumaanisha kuziacha, na umkabidhi Bwana Yesu maisha yako atakuwezesha. Kama uko Dar karibu Victory Christian Centre Tabernacle (VCCT) Mbezi Beach
 
mkuu hebu tuweke wazi, kupiga 5 kwa siku unazipangilia vipiii? :A S 114:

Kwa hali ya kawaida umeoa inamaanisha una shughuli za kufanya, sasa hua unafanya kamchezo kako ukiwa mzigoni au unazikong'ota ukirudi home zote kabla hujaenda kulala? :confused2:
 
Big up mkuu!karibu ulimwengu wa aids free,hiyo utaumia sana ,ushauri ukilala lala kifudifudi lazima uote zile ndoto zetu nakitu out,au nunua doll (umbo la pelvic)kwa usalama wako lifiche katika dari wakati wife wako akija maana utalizua,angalizo masturbation unaweza pata depression yahatari,kutojiamini,total dependecy kwenye hiyo kitu,guility kufanya hilo tendo na kwa mungu pia,atrophy ya kiungo chako cha uzazi,mke wako akijuawa ndoa kwisha,,swali why did you get married?
 
When to say when
How much is too much masturbation (and sex for that matter)? That depends but it's suggested men keep their ejaculation frequency down to 2-3 times a week. However, sexual activity can be experienced more often if men learn how to orgasm without ejaculation. Doing so can actually store bioenergy into your system and make your penis
firmer, your erections last longer, and your ejaculate volume bigger.


Over masturbation participants experience problems with concentration and memory. This is a dangerous side effect of over masturbation and signals that the brain is being over drained of acetycholine. Over masturbation drains motor neurons and neuro-muscular endings of acetycholine, which is eventually replaced. Over masturbation can lead to absentmindedness, memory loss, lack of concentration, and eye floaters. To fight these symptoms, the chemical levels in your body needs to be balanced.

Sijaelewa
 
2008 ulikuwa boarding school,lets assume ulikuwa form 6.
5 years later yani 2013 una miaka 28. Haraka haraka ulimaliza form 6 ukiwa na 23.
Duh yan umeanza punyeto na miaka hiyo? By the way why ulichelewa shule hivyo?
Kajipange uje tena
 
kweli wewe ni baba matatizo. acha huo mchezo sio vizuri.
 
Aje aje aisee mwana hauko peke yako tupo wengi na umfanya uamuzi wa busara kuuliza imeonyesha kweli unaitaji msaada sasa iko ivi mimi binafsi nilikua na tatizo hilo tena afadhali wewe tangu 2008 mimi tangu 2006_2012 na sasa nina umri wa miaka 23 yani tunafanana so imenigusa sana so kwa upande wangu mimi nimekua katika mazingira yakuto kufanya mapenzi kwa miaka kama ishirini ivi mpaka sasa nina mama yeyoo ila mwanzo nilikua napiga nyeto every where jembe kwa siku mara tatu nne hivi ila kadri ninavyo kua nikawa hiyo hali inanikera na kutokana mimi ni muslm nikapata sikia kua kwa kupiga nyeto naua viumbe kadhaa hivi na siku ya hukumu mimba zitatunga mikononi mwangu na kupata uchungu wa mimba nikawa naogopa sana nikajitaidi kupunguza lakini kikaja kichochezi kipya nikawa natazama picha za ngono kitu kilicho nifanya kuongeza kasi lakini nikasikia ukifanya punyeto utapata kansa hapo nikaishiwa nguvu na kupunguza kiasi lakini kilicho nifanya niache ni kwanza hofu ya mungu cancer na kuacha kuwatch sex hivyo jembe...
 
epuka kukaa mazingira ya upweke,soma vitau fanya mazoezi
jiulize ukipiga unapata faida gani?
acha kuangalia picha za ngono, unajiharibu ndugu,haia faida
jenga pia hofu ya Mungu..
vitano kwa siku hilo ni pepo kali sana linakuandama..
unatumia sabuni? wanasema zinasababisha cancer kwani unapojichua povu linaingia ndani kwenye mirija
kama hii ni kweli au sio kweli chukua chalenge hii ikupe hofu unapowaza kupiga nyetoutaogopa utaacha.

Hivo vitau bongo hatuna mwagizie toka ulaya umsaidie
 
Duu, wee balaa. Sasa mkeo anajua, au unamficha? Hicho kimoja unachokipiga akiwa hajasafiri, unajificha chooni au?
 
Back
Top Bottom