PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
funga kula siku tatu
maombi tu, bila kulisoma neno la mungu, ni kazi bure kwa ndg huyu, ni roho ya jini maaba inatenda kazi ndani yake, amwite yesu kwa uaminifu kwani yesu ndio kiboko ya majini na mapepo yote,awe anasoma neno la mungu na kuudhuria semina mbali mbali za watumishi wa mungu,atakua kiroo na kushinda majaribu yote,