kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
tuna mashoga wengi mitaani kuliko unavyofikiri, kama ingekuwa si kuona aibu wangejitangza kibao,.halafu si mashoga wote wenye tabia za kishoga, wengi ni maofisa kabisa wanaoheshimika, ukiwakuta wameulamba utasema du brazamen si ndo huyu
Hizo dhahania tu.unamjua hata mmoja aliyepata hilo tatizo? Vijana wa kiume hasa wa mashuleni ESP. Boys schools wametest hii kitu either kwa kufuata mkumbo au kwa sababu binafsi.wangapi wamesoma shule hizo?? Hakuna ukweli hapo.hata kama kuna watu wanaisema maybe ni threatening technique ila sio kweli....kisayansi haijathibitishwa maana haibadili vichocheo mwilini.ungeniambia kuhusu kiepe yai labda at least point zake nzito ila kwa hili hakuna uthibitisho