Pomboo
Senior Member
- Jun 8, 2010
- 152
- 45
Kama mkristo funga na kuomba siku tatu itaishaMimi ni mvulana mwenye miaka 25, kwa kweli nimeanza kupga punyeto zaidi ya miaka mitano nyuma, inafikia huamua kuacha punyeto lkn haifik hata mwezi narudia, nimejaribu kutumia njia mbali mbal kama mazoez nimeshindwa. Naomba ushauri wa namna gani ya kuondoa hili tatizo?