BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Maneno haya haya nakumbuka yalikuwa yanasemwa kipindi cha Saddam Hussain!! Mbabe, atwanyoosha Marekani, mwisho wa siku akazimika kama mshumaa!
Nani alikua nyuma ya mmarekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno haya haya nakumbuka yalikuwa yanasemwa kipindi cha Saddam Hussain!! Mbabe, atwanyoosha Marekani, mwisho wa siku akazimika kama mshumaa!
Niliiona kwenye msiba wa dokta ShikaAtamuuzia mke wake sasa. Ruble ulikwishaiona wapi maishani mwako?
Na Lilian Mtono | saa (0) nyumaRais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya Urus kukamilisha utaratibu wa kupokea mauzo ya gas kupitia rubble
Kwahiyo kuanzia wiki moja toka Leo nchi za ulaya zitaanza kukimbizana huku na kule kusaka rubble
=====
Putin Wants ‘Hostile’ States to Pay for Russia Gas in Rubles
Sign up here to get the latest updates on the Russian invasion of Ukraine. You can also follow us on Telegram here.
Russia will demand that “unfriendly” countries pay for natural gas in rubles, President Vladimir Putin said Wednesday, causing European futures to jump.
“I have taken a decision to switch to ruble payments for our natural gas supplies to the so-called hostile states,” Putin said at a meeting with government officials, according to a transcript published on the Kremlin website. “Stop using the compromised currencies in such transactions.”
Benchmark European gas prices rose as much as 21% in Amsterdam amid concerns that Russia’s requirement could exacerbate the energy supply crunch on the continent. The ruble strengthened.
State gas exporter Gazprom PJSC’s press office declined to comment on whether its long-term supply agreements allow a switch to ruble payments.
Within a Week
Putin ordered Russia’s central bank to develop a mechanism enabling such payments within a week, according to the transcript. Earlier in March, Russia’s government announced a list of 48 states deemed hostile. They included the U.S., Japan, all European Union members, Switzerland and Norway. As a result, the bulk of Russian gas exports now go to “unfriendly” nations.
Some 58% of Gazprom’s gross gas sales abroad were in euros as of the third quarter of last year, according to the producer’s most recent bond prospectus. Another 39% were in U.S. dollars.
“At the same time, I want to emphasize that Russia will definitely continue to supply natural gas in line with the volumes and prices and pricing mechanisms set forth in the existing contracts,” Putin said.
In the first 15 days of March, Gazprom exported an average of 500 million cubic meters per day to countries outside the former Soviet Union, including those in the EU, China and Turkey. Of the total, flows toward Europe averaged 384 million cubic meters per day, the producer’s data showed.
Putin also said it makes no sense to export goods to the U.S. or EU in dollars or euros
How do i keep such foooolished wordsHahahaha
Putin anataka kufa huku akiwa na historia ya Mwanzilishi Vita vya 3 vya dunia
Keep my words
Putin ameshachanganyikiwa baada ya uvamizi kupambana na resistance kali. Leo kuna habari kuwa wanajeshi wa Urusi wameanza kurudishwa nyuma na kupoteza baadhi ya maeneo waliyokuwa wameyatwaa. Ukraine wamepewa silaha nyingi sana na nchi za Magharibi na wanapata usaidizi wa utaalam. Kiufupi Urusi wanakutana na silaha ambazo hawakuzitarajia. Vifaru na magari ya dereya aliyokuwaanategemea kama maim weapons kuingia Ukraine yanabomolewa kama yametengenezwa na karatasi.
Unajua kuna akina mama humu ni mbumbumbu sana yaani kichwa wanatumia kusuka tu zaidi ya hapo hakuna kingine hivyo usibishane nao wanadhani ulaya ni kama huku ambako mtu akiishiwa gesi anashusha kuni kutoka darini na maisha yanaendeleaNdo utajua kumbe hujui Kama hujui!!
Sasa hv wenye shida na gas na mafuta,wanakimbizana bank kuu ya urusi kuzipata hizo rubble,akiwemo muweka vikwazo marekani!! Hutaki kapigwe na baridi au endesha baiskeli.
Kwa kule ulaya kuhusu masuala ya gesi na mafuta Putin kawashika korodani na ndio maana sanction ya marufuku ya uuzwaji wa gesi na mafuta ya Urusi ulikuwa mjadala hot na kuna giants walikuwa wanakataa hilo suala mfano Germany anategemea mafuta na gesi ya urusi kwa asilimia 40 imagine na ujerumani ndio taifa lenye nguvu zaidi na utajiri pale Ulaya so hapa ndipo mahali pekee Putin anaweza kuagiza mataifa mengine hasa ya UlayaPutin Hana uwezo ku-'agiza' mataifa mengine zaidi ya hap maboya wenzake
Hahahaha
Putin anataka kufa huku akiwa na historia ya Mwanzilishi Vita vya 3 vya dunia
Keep my words
Jaribu kujadili hoja iliyoko mezani, who do you think is going to win this battle? Russia kasema wanunue kwa russian rubles, wewe unaonaje hapo?Putin ameshachanganyikiwa baada ya uvamizi kupambana na resistance kali. Leo kuna habari kuwa wanajeshi wa Urusi wameanza kurudishwa nyuma na kupoteza baadhi ya maeneo waliyokuwa wameyatwaa. Ukraine wamepewa silaha nyingi sana na nchi za Magharibi na wanapata usaidizi wa utaalam. Kiufupi Urusi wanakutana na silaha ambazo hawakuzitarajia. Vifaru na magari ya dereya aliyokuwaanategemea kama maim weapons kuingia Ukraine yanabomolewa kama yametengenezwa na karatasi.
Kwa hiyo watanunuaje gas na mafuta kama yeye Putin kasema ni kwa rubles tu? Unadhani anayeweweseka hapo ni unfriendly nations au ni huyo mrusi?Putin Hana uwezo ku-'agiza' mataifa mengine zaidi ya hap maboya wenzake
As if gas ipo Russia tuJaribu kujadili hoja iliyoko mezani, who do you think is going to win this battle? Russia kasema wanunue kwa russian rubles, wewe unaonaje hapo?
Vita ya 3 inakujaje kwasababu ipi?Hahahaha
Putin anataka kufa huku akiwa na historia ya Mwanzilishi Vita vya 3 vya dunia
Keep my words
Propaganda hizo za Magharibi Urusi ana hypersonic missiles anaweza kupiga toka Baharini pia kutokea Urusi juzi juzi tu alitest mitambo barrack nzima iliteketea pamoja na askari wa kukodi walikuwa wanapata mafunzo hapo. Kwa hiyo anaweza kuwadungua kwa mbali tu.Putin ameshachanganyikiwa baada ya uvamizi kupambana na resistance kali. Leo kuna habari kuwa wanajeshi wa Urusi wameanza kurudishwa nyuma na kupoteza baadhi ya maeneo waliyokuwa wameyatwaa. Ukraine wamepewa silaha nyingi sana na nchi za Magharibi na wanapata usaidizi wa utaalam. Kiufupi Urusi wanakutana na silaha ambazo hawakuzitarajia. Vifaru na magari ya dereya aliyokuwaanategemea kama maim weapons kuingia Ukraine yanabomolewa kama yametengenezwa na karatasi.
Wenye shida na nishat watajua pakuioneaAtamuuzia mke wake sasa. Ruble ulikwishaiona wapi maishani mwako?
Baada ya week mbili uje utuulize tena MKUUKwa hiyo watanunuaje gas na mafuta kama yeye Putin kasema ni kwa rubles tu? Unadhani anayeweweseka hapo ni unfriendly nations au ni huyo mrusi?
Haipo RUSSIA tu ila chakushangaza hawakwenda huko kwengine badala yake wanaagiza tokea hapo hapo RUSSOAs if gas ipo Russia tu
Oops! Supply ya gas kwa EU unadhani ni asilimia ngapi, go educate yourself mkuu.As if gas ipo Russia tu
Only 40% na Wana alternative pia. We mmatumbi umebaki na gesi ya maharage tumboniOops! Supply ya gas kwa EU unadhani ni asilimia ngapi, go educate yourself mkuu.
Overall 40%, within EU kuna member states zina 90% dependence ya gas toka Russia. Msikilize Germany chancellor akuambie wao wanihitaji au hawaihitaji, go educate yourself uliyejaza viazi tumboni.Only 40% na Wana alternative pia. We mmatumbi umebaki na gesi ya maharage tumboni