Putin aagiza mataifa hasimu kununua gesi kwa pesa ya Urusi (rubble)

Putin aagiza mataifa hasimu kununua gesi kwa pesa ya Urusi (rubble)

Overall 40%, within EU kuna member states zina 90% dependence ya gas toka Russia. Msikilize Germany chancellor akuambie wao wanihitaji au hawaihitaji, go educate yourself uliyejaza viazi tumboni.
How many EU Wana hiyo 90% gas dependency kwa Russia?
 
As if gas ipo Russia tu
Bro jiulize..kwanini wajeruman wakomae na gas ya Russia... pale tayari kuna miundo mbinu ya mabillion ya dollar ilishajengwa inapeleka gas ulaya. Pia gas ya mrusi ni affordable na nyingi mno. Imagine Qatar aliombwa asaidie kusupply gas bara europe kama mbadala wa russia kawaambia hawezi hilo. Ana mikataba na nchi nyingine pia gas yake haitatosheleza kama ile ya Urusi. Tafakari bro.
 
Putin ameshachanganyikiwa baada ya uvamizi kupambana na resistance kali. Leo kuna habari kuwa wanajeshi wa Urusi wameanza kurudishwa nyuma na kupoteza baadhi ya maeneo waliyokuwa wameyatwaa. Ukraine wamepewa silaha nyingi sana na nchi za Magharibi na wanapata usaidizi wa utaalam. Kiufupi Urusi wanakutana na silaha ambazo hawakuzitarajia. Vifaru na magari ya dereya aliyokuwaanategemea kama maim weapons kuingia Ukraine yanabomolewa kama yametengenezwa na karatasi.
unafikiri urusi ni tanzania ee,tatizo unalishwa habari za upande mmoja.
 
Putin Rais anaemiliki mkanda mweusi wa Judo mchezo wa kuvunja viungo vya mwili na kuchomoa moyo,mbavu,bandama na ini la mwanadamu chini ya sekunde tatu kwa mikono.
Kwy ugomvi wa bunduki ivyo uwezi tumia judo zako
 
Putin ameshachanganyikiwa baada ya uvamizi kupambana na resistance kali. Leo kuna habari kuwa wanajeshi wa Urusi wameanza kurudishwa nyuma na kupoteza baadhi ya maeneo waliyokuwa wameyatwaa. Ukraine wamepewa silaha nyingi sana na nchi za Magharibi na wanapata usaidizi wa utaalam. Kiufupi Urusi wanakutana na silaha ambazo hawakuzitarajia. Vifaru na magari ya dereya aliyokuwaanategemea kama maim weapons kuingia Ukraine yanabomolewa kama yametengenezwa na karatasi.
Leo pia Uk itatangaza msaada mpya wa mitambo 6,000 na pesa ya kumwaga kuwalipa wanajeshi na wapiganaji wa Ukraine
 
Uk
Screenshot_20220324-115709_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom