Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Huu siyo mpira kuwa unashabikia Yang/Simba... Hata timu yako ikishindwa bado unaitetea tu.
Kama wewe hujaitumia usilazimishe kwa wengine. Sasa EU atainunua rubble ndio anunie gas, au unadhani ulaya gas ikiisha wanatuma watoto wakanunue mkaa kama hapo Yombo?