Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kama wewe hujaitumia usilazimishe kwa wengine. Sasa EU atainunua rubble ndio anunie gas, au unadhani ulaya gas ikiisha wanatuma watoto wakanunue mkaa kama hapo Yombo?
unaongea usichokijua..
Kupata kituko hiki andika neno MASHUDU kwenda no.1675Ushabiki wa kitoto acha. Kadanganye huko kijiweni. Ruble iko kama shilingi (dafu). Inapatikana Russia tu. Unaweza kusema kuwa EU atanunua korosho kwa shilingi. Atazitoa wapi hizo shilingi? Tumia kichwa chako.
Ndio yabidi itafutwe sasaAtamuuzia mke wake sasa. Ruble ulikwishaiona wapi maishani mwako?
Ndio yabidi itafutwe sasa
Nyinyi sio RUSSIA na RUSSIA haiwezi kua nyinyiOkay. Ngoja na sisi tuwaambie wanunue korosho kwa madafu ili walazimike kutafuta madafu. Haya mambo ni rahisi sana.
Nyinyi sio RUSSIA na RUSSIA haiwezi kua nyinyi
wao wanaweza kuishi mpaka wanakufa bila korosho ila hawawezi kuishi 24hrs bila ya Nishati
RUSSIA sio ZIMBABWE
wala sio ushabiki nimekwambia ukweli unadhani GER waache kununua Gesi wanunua korosho?Okay, shabiki.
Atatumia dhahabu kuthamanisha thamani ya rubleUshabiki wa kitoto acha. Kadanganye huko kijiweni. Ruble iko kama shilingi (dafu). Inapatikana Russia tu. Unaweza kusema kuwa EU atanunua korosho kwa shilingi. Atazitoa wapi hizo shilingi? Tumia kichwa chako.
Atatumia dhahabu kuthamanisha thamani ya ruble
Ipo sasa ile ya Mtwara hata iliyoishi hatupajuiWaje tza wachukue gasi bure
RUSSIA sio ZIMBABWEHuyu mzee sijui anategemea nguzo ipi inayompa kiburi!!! Mwisho muda utaamua wenyewe!!!
Source: Sky news.
Ukraine war: Putin demands payment in roubles for Russian gas supplies or contracts will be 'halted'
Thursday 31 March 2022 14:32, UK
Tayari wameshaanza[emoji298]️ Paris and Berlin will not accept Russia’s conditions on payment for gas supplies in rubles - French Ministry of Finance
[emoji298]️ European gas futures soar to $1450 per 1,000 cubic meters after Putin’s statement on ruble payments
Subscribe to RT t.me/rtnews