Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Sio kwamba haruhusiwi, wanaogopa maamuzi Russia itakayochukua kwa aliyetoa hizo silaha na Ukraine yenyewe.
Russia alisema yeyote atakayeingilia SMO yake dhidi ya Ukraine basi atapokea jibu kali sana la kijeshi kutoka Russia.

Leo hii ulaya yote inaisaidia Ukraine na wanasaidia waziwazi bila kificho, ni kitu gani Russia amefanya?
 
NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?
 
Mbona mkuu unatumia nguvu kubwa kumuelimisha mjinga!? Mjinga haponi askari wote wa Kursk wamezingirwa toka wajisalimishe au wafyekwe jitu linapayuka tu😀
 
Huo mfano wa marekani ebu badilisha.
Yupo sahihi, mataifa kama UK, France, German, Japan n.k ni hatari ktk mapigano. Vita sio Tech tu, kuna muda unahitaji watu wa kupigana.
 
Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Ukubwa wa Taifa sio ukubwa na uwezo mkubwa wa kivita, russia miaka 3 vita ya Ukraine amefeli kumaliza malengo yake kule ukraine, sasa anakodi majeshi ya North Korea kuwapeleka vitani
 
NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?
Hawakutegemea kama mgogoro kwa rafiki yao Israel utatokea.
 
Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Taifa kubwa kuwa na kiongozi mpumbavu kama Putin ni hasara kubwa. By the way , hana wapinzani wa kimkosoa kwani anawaua na Uongozi wake ni wa kiimla. Hana wasiwasi wowote wa Kupoteza Madaraka Leo au kesho.
 
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Kichaa Putin amesaidia kupora sehemu ya Ukraine "Crimea". Ni kama Zanzibar isaidie watu wenye asili yake waliojazana Kigamboni kudai Kuwa Kigamboni ni sehemu ya Zanzibar.
 
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
 
Na wewe ukaamini propaganda za NATO?Wagner wenyewe wapo chini yake
Kwa hiyo kwa kuwa mwanao hapo nyumbani unamgharamia kwa Kila kitu, haiwezekani siku Moja akakaidi amri zako!? Au uasi kwenye majeshi huwa haupo!? Jiongeze kidogo. Unajua Lukashenko wa Russia aliingilia kutuliza mambo!? Sometimes tusiandike aandike kijinga TU humu ndani, ushabiki uchwara au maandazi maandazi hauna mpango.
 
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
Huyo dogo hajui kitu. Anasimuliwa tu na Sheikh mmoja anaitwa Kitinku anamsikiliza.
 
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
Huyo dogo hajui kitu. Anasimuliwa tu na Sheikh mmoja anaitwa Kitinku anamsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…