Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Sio kwamba haruhusiwi, wanaogopa maamuzi Russia itakayochukua kwa aliyetoa hizo silaha na Ukraine yenyewe.
Russia alisema yeyote atakayeingilia SMO yake dhidi ya Ukraine basi atapokea jibu kali sana la kijeshi kutoka Russia.

Leo hii ulaya yote inaisaidia Ukraine na wanasaidia waziwazi bila kificho, ni kitu gani Russia amefanya?
 
Askari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..
Ukraine inasaidiwa kila kitu hadi magari ya ambulance...

Msaada anaopewa Ukraine hata NATO hawaamini kama Russia angeweza ku withstand na Ukraine lakini ndio hivyo jamaa yumo anatembeza kichapo na Ukraine ni kilio tu...
NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?
 
Uchumi wa Russia umeporomaka kiasi gani? Je, raia wake wameathirikaje hadi sasa ikilinganishwa na nchi ya Ukreni na zingine za Ulaya?

Kwa nini Donald Trump naye anatamani sana amalize vita hata kesho asubuhi, kama siyo kwamba dola na rasilimali zao zinateketea bure?

Unapoandika taarifa, jaribu kuwa mkweli. Ukiongopa, unajidanganya wewe mwenyewe tu.
Mbona mkuu unatumia nguvu kubwa kumuelimisha mjinga!? Mjinga haponi askari wote wa Kursk wamezingirwa toka wajisalimishe au wafyekwe jitu linapayuka tu😀
 
Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Ukubwa wa Taifa sio ukubwa na uwezo mkubwa wa kivita, russia miaka 3 vita ya Ukraine amefeli kumaliza malengo yake kule ukraine, sasa anakodi majeshi ya North Korea kuwapeleka vitani
 
NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?
Hawakutegemea kama mgogoro kwa rafiki yao Israel utatokea.
 
Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Taifa kubwa kuwa na kiongozi mpumbavu kama Putin ni hasara kubwa. By the way , hana wapinzani wa kimkosoa kwani anawaua na Uongozi wake ni wa kiimla. Hana wasiwasi wowote wa Kupoteza Madaraka Leo au kesho.
 
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Kichaa Putin amesaidia kupora sehemu ya Ukraine "Crimea". Ni kama Zanzibar isaidie watu wenye asili yake waliojazana Kigamboni kudai Kuwa Kigamboni ni sehemu ya Zanzibar.
 
Umedanganya. Russia amekuwa exposed sasa anasaidiwa mpaka na Korea na Irani. NATO WANATAKA VITA IENDELEE RUSSIA IDHOOFIKE ZAID.PUTIN MPAKA ALIKUWA ANA KODI WANAJESHI NA ALIPONEA KUPINDULIWA NA WAGNER. AU WEWE UNASUBIRI USIMULIWE NA SHEIKH KITINKU?View attachment 3135099
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
 
Na wewe ukaamini propaganda za NATO?Wagner wenyewe wapo chini yake
Kwa hiyo kwa kuwa mwanao hapo nyumbani unamgharamia kwa Kila kitu, haiwezekani siku Moja akakaidi amri zako!? Au uasi kwenye majeshi huwa haupo!? Jiongeze kidogo. Unajua Lukashenko wa Russia aliingilia kutuliza mambo!? Sometimes tusiandike aandike kijinga TU humu ndani, ushabiki uchwara au maandazi maandazi hauna mpango.
 
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
Huyo dogo hajui kitu. Anasimuliwa tu na Sheikh mmoja anaitwa Kitinku anamsikiliza.
 
Back
Top Bottom