Mbaya zaidi unapigana na mtu anayekwambia anataka akudhoofishe.Kuchoka ni lazima miaka 3 huko vitani sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi unapigana na mtu anayekwambia anataka akudhoofishe.Kuchoka ni lazima miaka 3 huko vitani sio mchezo
Russia alisema yeyote atakayeingilia SMO yake dhidi ya Ukraine basi atapokea jibu kali sana la kijeshi kutoka Russia.Sio kwamba haruhusiwi, wanaogopa maamuzi Russia itakayochukua kwa aliyetoa hizo silaha na Ukraine yenyewe.
NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?Askari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..
Ukraine inasaidiwa kila kitu hadi magari ya ambulance...
Msaada anaopewa Ukraine hata NATO hawaamini kama Russia angeweza ku withstand na Ukraine lakini ndio hivyo jamaa yumo anatembeza kichapo na Ukraine ni kilio tu...
Mbona mkuu unatumia nguvu kubwa kumuelimisha mjinga!? Mjinga haponi askari wote wa Kursk wamezingirwa toka wajisalimishe au wafyekwe jitu linapayuka tu😀Uchumi wa Russia umeporomaka kiasi gani? Je, raia wake wameathirikaje hadi sasa ikilinganishwa na nchi ya Ukreni na zingine za Ulaya?
Kwa nini Donald Trump naye anatamani sana amalize vita hata kesho asubuhi, kama siyo kwamba dola na rasilimali zao zinateketea bure?
Unapoandika taarifa, jaribu kuwa mkweli. Ukiongopa, unajidanganya wewe mwenyewe tu.
Yupo sahihi, mataifa kama UK, France, German, Japan n.k ni hatari ktk mapigano. Vita sio Tech tu, kuna muda unahitaji watu wa kupigana.Huo mfano wa marekani ebu badilisha.
Kwahiyo Ukraine anapambana mwenyewe? Akili za konyagi hizi,Ukraine Bila west asingehimili hata wiki kwenye vitaaana nchi 32, mbona wapumbavu hawaishi
Ukraine inapambana na Urusi, Iran na north KoreaKwa
Kwahiyo Ukraine anapambana mwenyewe? Akili za konyagi hizi,Ukraine Bila west asingehimili hata wiki kwenye vitaaa
Una hoja gani we kobazi?Mkizidiwa hoja mnaanza matusi...
Kama huna hoja za kupinga hoja ninazotoa kaa kimya...
Unapigana na mchawiMbaya zaidi unapigana na mtu anayekwambia anataka akudhoofishe.
Ukubwa wa Taifa sio ukubwa na uwezo mkubwa wa kivita, russia miaka 3 vita ya Ukraine amefeli kumaliza malengo yake kule ukraine, sasa anakodi majeshi ya North Korea kuwapeleka vitaniUsiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Hawakutegemea kama mgogoro kwa rafiki yao Israel utatokea.NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa muda wa miaka 5. Vita kwa sasa ina miaka 2 unaenda wa 3, unasemaje NATO haikuamini kama Russia hadi sasa angeendelea kupambana dhidi ya Ukraine wakati wao walishatenga ile bajeti?
Taifa kubwa kuwa na kiongozi mpumbavu kama Putin ni hasara kubwa. By the way , hana wapinzani wa kimkosoa kwani anawaua na Uongozi wake ni wa kiimla. Hana wasiwasi wowote wa Kupoteza Madaraka Leo au kesho.Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Au wewe ni waovyo sana ndo maana unamuona kuwa ni wa ovyo.huyo ni kiongozi wa dunia.Putin kiongozi wa hovyo sana
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Kichaa Putin amesaidia kupora sehemu ya Ukraine "Crimea". Ni kama Zanzibar isaidie watu wenye asili yake waliojazana Kigamboni kudai Kuwa Kigamboni ni sehemu ya Zanzibar.Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.Umedanganya. Russia amekuwa exposed sasa anasaidiwa mpaka na Korea na Irani. NATO WANATAKA VITA IENDELEE RUSSIA IDHOOFIKE ZAID.PUTIN MPAKA ALIKUWA ANA KODI WANAJESHI NA ALIPONEA KUPINDULIWA NA WAGNER. AU WEWE UNASUBIRI USIMULIWE NA SHEIKH KITINKU?View attachment 3135099
Na wewe ukaamini propaganda za NATO?Wagner wenyewe wapo chini yakeAnajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
Kwa hiyo kwa kuwa mwanao hapo nyumbani unamgharamia kwa Kila kitu, haiwezekani siku Moja akakaidi amri zako!? Au uasi kwenye majeshi huwa haupo!? Jiongeze kidogo. Unajua Lukashenko wa Russia aliingilia kutuliza mambo!? Sometimes tusiandike aandike kijinga TU humu ndani, ushabiki uchwara au maandazi maandazi hauna mpango.Na wewe ukaamini propaganda za NATO?Wagner wenyewe wapo chini yake
Huyo dogo hajui kitu. Anasimuliwa tu na Sheikh mmoja anaitwa Kitinku anamsikiliza.Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.
Huyo dogo hajui kitu. Anasimuliwa tu na Sheikh mmoja anaitwa Kitinku anamsikiliza.Anajisahaulisha huyo kuwa Putin alikimbia Kremlin jamaa wa Wagner walipokuwa njiani kuingia Moscow.