Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Ni mjinga tu anayedhani Russia inaweza kuvunjika kipande kipande.
 
Usaha ushatumbuka, Rostov ishaanguka na hii ni Site ya kijeshi, raia wa mji huu wametangaziwa wakae in doors Wagner anasema hakubali mpaka atinge Moscow
Wagner walishajua wana wiki 1 tu kujisalimisha maana kabla ya Tarehe 1 walitakiwa wote wawe chini ya MoD

Inasemekana pia Wagner wamekuwa wakihusika na kuvujisha kambi za Russia kwa Ukraine
 
Wagner walishajua wana wiki 1 tu kujisalimisha maana kabla ya Tarehe 1 walitakiwa wote wawe chini ya MoD

Inasemekana pia Wagner wamekuwa wakihusika na kuvujisha kambi za Russia kwa Ukraine
Mkuu Wagner Aljazeera leo asubuhi wanadai wanajeshi wao walipigwa mabomu ni jeshi la Urusi ndio kisa kimeanzia hapo, sasa kiongozi wao Pregozine amesema hakubali atalipiza kisasi ndiyo hayo mashambulizi ya Rostove site ya kijeshi wameiteka na amesema hadi apelekewe viongozi wa kijeshi wa Moscow otherwise ni mashambulizi dhidi yao hadi Moscow, kule kwetu wanasema Mtu apigwa ngombewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…