Putin keshachagua kumtoa kafara Prigozhin pale alipotangaza kuwa wanajeshi wote wakujitolea na kulipwa lazima wasajiliwe kuwa wanajeshi kamili wa MoDHatari,hapa mkuu wa majeshi yupo against Prigo .Mkuu wa ulinzi na Prigo wote ni marafiki wa Putin.Sasa hapa Putin atasimama na nani?
Labda hiyo ndio iwe nafasi ya majeshi ya Ukraine kuingia Urusi kupitia Rostov.BREAKING:
Prigozhin releases a new statement saying that Russia is corrupt because of Putin and that:
“we will destroy everything around us, we are all ready to die - all 25 thousand, and then another 25 thousand, because the Russian people must be liberated”
Wamemchoka 😁😁 ,Kamatia huyo choko PutinRais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
Hivi vikundi vya kijeshi binafsi, marekan wanavyo vingi, ila wao wamehakikisha PENTAGON imedhibiti.Putin keshachagua kumtoa kafara Prigozhin pale alipotangaza kuwa wanajeshi wote wakujitolea na kulipwa lazima wasajiliwe kuwa wanajeshi kamili wa MoD
Mrusi wa Bonyokwa unajifarijiLabda kambi ya buza huku ila st.petersburg kwema zaidi ya umofia
Mkuu vita ni biashara...huenda Prig kapewa dau ndefu na nato.PMC !!!! .
Jamaa amekua shetan, baada ya kujiiinuaaa na kujiona yuko juu zaidi ya Jeshi.
Hatotoboa !!
Hakutaka wasogelee jwtz hata nukta moja! Hata ushirikiano alikuwa anaogopa.Nakazia tena na tena " achaneni kabisa na binadamu Marehemu JkNyerere aliyemuita Mwamerika!!!!" Ni kiumbe hatari mno ila wajinga hawajui
Mmarekani wa kwamtogole weigner wa Tandale umepokea wito huo?Wagner Wameita majeshi yao yote yaliyotawanyika nchi mbalimbali duniani, Putin kayakanyaga
Dunia ya Leo huwezi kufanya alichofanya Putin na ukashindaTayari Wagner wameteka kambi kusini mwa urusi na commender kukimbia. Mkuu wa wagner kasema safari ya kumarch hadi moscow imeanza. CIA ni hatariiii.
Ha ha ha wamekimbia kabisa hii international forum.Mmarekani wa kwamtogole weigner wa Tandale umepokea wito huo?
Academia ndio Contractor pekee MarekaniHivi vikundi vya kijeshi binafsi, marekan wanavyo vingi, ila wao wamehakikisha PENTAGON imedhibiti.
Huyu Muasi wa Urusi, hakupaswa kuachwa kujiinua sana.
Sasa Wamekuja kushtuka baadae, ndo wakamtaka awe chini ya Jeshi .
Ila atakipata tu , Sahizi NATO najua wataanza kuingiza silaha Rostov kupitia Ukraine
Ila kwa sasa wapo hapo Lugalo, NDCHakutaka wasogelee jwtz hata nukta moja! Hata ushirikiano alikuwa anaogopa.
Naomba Mungu uasi huu ndani ya Urussi uendelee hadi ufike kwenye kila Kijiji na mtaa ndani ya miji ya Urussi ili kukomesha utawala wa Kishetani na wa kidikteta nchini Urussi kwenyewe, nchi washirika wake kama Belarussi pamoja na nchi zingine zote duniani zenye tawala za kidikteta kama Urussi.Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
Hahahaaa... mtutafsirie anachosema dikteta mjinga asiye na akili.
Hii pia inaeza kuwa sehem ya counter attackKwanza counter attack ya ukraine inaendeleaje huko
Ukraine wa kumchezea michezo mpk ya kuteka kambi yako ? PUTIN hana rafiki ila Putin ana akili sana kucheza na dunia ila kwenye hili sina imani kbsIla huyu jamaa sio wa kumuamini na mwenzake Putin unaweza Kuta Kuna chezo linachezwa hapo dhidi ya Ukraine na ndugu zake.
Hahaaa unamuachia Yericko sio ?Tumeona propaganda za Magharibi zinavyojitahidi lakini tunawaambia Urusi hamuiwezi. Hamuiwezi kabisa. Tena mkae kwa kutulia. Mtachapwa sana. Ndo mjue hilo ni Taifa kubwa na China.
Mataifa ya Magharibi nayachukia sana. Tena sana. Hayafai kabisa kuwepo Duniani. Yericko Nyerere njoo uendelee mimi nina hasira sana.
Siamin kama Ayotollah sio mpango wa hao hao USAHuyo mwamerika aliye shindwa kuuangusha utawala wa Ayatullah miaka zaidi ya 40 ndo aje kuipindua serikali ya Urusi.
Huyo jamaa atadhibitiwa tu kama walivyo dhibitiwa wahuni walio anzisha uasi mwezi mmoja uliyo pita.