Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

18 June 2022
Kyiv, Ukraine 🇺🇦

AI-generated ENG translation of Mr. Zelensky's speech at the EU leaders meeting in Kyiv 16 June 2022

Granting Ukraine the status of a candidate for membership in the European Union can significantly strengthen freedom in Europe and become an important successful decision on its historical path. This was stated by President of Ukraine Volodymyr Zelenskyy during a conversation with media representatives following a meeting with the Presidents of France and Romania, as well as the Prime Minister of Italy and the Chancellor of Germany in Kyiv.

1655574787699.png

"Russia wants to show that the European Union is allegedly incapable of being effective and that European values cannot protect freedom. We can and therefore must break this scenario jointly and prove to them that Europe will continue to be free, democratic and, I emphasize once again, this is important - united," said the President of Ukraine.

According to him, the main manifestation of the common strong position of Europe can now be the support for Ukraine's integration into the EU.

"The very course of European history has proved the correctness of the European Union's positive response to Ukraine's aspirations. The status of a candidate for membership in the European Union for Ukraine can historically strengthen freedom in Europe and become one of the key European decisions of the first third of the XXI century," said Volodymyr Zelenskyy.

The President stressed that Ukraine is ready to carry out the necessary work to gain full membership in the European Union.

"Ukrainians have already earned the right to take this path and receive candidate status. We have all seen polls that confirm that the majority in all European countries and on the European continent in general supports Ukraine's European integration. We have historically the highest level of support for European integration among the Ukrainian people as well," he said.

For his part, President of the French Republic Emmanuel Macron noted that Ukraine is part of the European family, and the leaders of the four countries support granting Ukraine the status of a candidate for EU membership.

He expressed hope that the decision to be taken at next week's European Council session would be unanimous. According to him, this status is tied to the roadmap, so Ukraine’s European path is just beginning.

German Chancellor Olaf Scholz stressed that the status of a candidate for EU membership is an important milestone on Ukraine's European path, and assured that he would stand for the given decision at a meeting of the European Council.

He added that in order to join the European Union, candidates must meet certain criteria of a democratic and legal state.

Romanian President Klaus Iohannis stressed that the European Union must create effective tools for rebuilding Ukraine.

"It is our duty to act. It is our responsibility not to miss this opportunity to help our Ukrainian friends gain a new future," said the President of Romania.

Italian Prime Minister Mario Draghi added that the EU demonstrates unity today and reaffirms readiness with its allies to help Ukraine. He also assured of the support for our country's European aspirations.

"Italy wants to see Ukraine as part of the European Union. This means it will unequivocally support Ukraine in its candidate status and in the future accession to the EU. This is a path that requires profound reforms," said Mario Draghi
Source : https://www.president.gov.ua/en/new...tusu-kandidata-v-chleni-yes-mozhe-stati-75849
 
[emoji298]️Over 50 Ukrainian generals & officers reported killed in #Russia/n missile strike that hit the compound where the commanders gathered for a meeting. #Moscow seems to be getting down to its promise to start targeting "decision-making centers"
 
19 August 2022
Kherson, Ukraine

Ngome yaliyojichimbia majeshi ya uvamizi ya Urusi nchini Ukraine yashambuliwa vikali

The Russian fortifications on the left bank of the Ingulets river, in the south of Ukraine, were destroyed as a result of the offensive actions of the Armed Forces of Ukraine. The Ukrainian army is gradually clearing the territory of the Kherson region from the occupiers. Another village was liberated from Russian troops. Ukrainian tanks and artillery destroyed the positions of the RFiya. Special forces from the "Carlson" air reconnaissance adjusted the fire. The special forces did a good reconnaissance, and Ukrainian artillery and armor destroyed the positions and equipment of the Rashists on the Ingulets river

JULY 2022
15,000 Russian soldiers killed in the Ukraine war, according to the CIA and MI6

The average war since 1816 has claimed about 50 battlefield deaths daily. Russia's war in Ukraine is much bloodier. According to statements made in recent days by CIA director Bill Burns, MI6 chief Richard Moore and Estonian foreign intelligence service chief Mikk Marran, some 15,000 Russians have been killed since February 24, an average of more than 100 a day. Ukrainian officials say their own casualty rate has recently been similar and sometimes much higher. "My prediction is that the war will exceed the lethality of other major non-world European wars, such as the Franco-Prussian war of 1870-1871," says Paul Poast of the University of Chicago.
 
30 August 2022
Kharkiv, Ukraine

AMIRI JESHI WA UKRAINE AFIKA MJI WA KHARKIV ULIO MSTARI WA MBELE WA VITA KUMNGOA MVAMIZI

The Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny presented the battle flag to the 127th separate brigade of the Territorial Defense of the city of Kharkiv

Amiri jeshi wa majeshi ya Ukraine jenerali Valery Zaluzhny akikabidhi bendera kwa brigade maalum namba 127th iliyokomboa na kupewa dhamana kubwa kuendelea kuulinda mji wa Kharkiv ambao ni mji wa kimkakati wa viwanda vingi dhini ya mashambulizi ya mvamizi Russia.

Je jenerali jenerali Valery Zaluzhny ni nani ? Ni kizazi kipya cha maofisa ambao hawajawahi kulitumikia jeshi la muungano wa Kisovieti nchi za kishoshalilisti yaani USSR.

jenerali Valery Zaluzhny mwenye umri wa miaka 49 amekuwa mwiba mkali kwa Russia akiongoza mapambano yaliyomudu miezi zaidi ya sita dhidi ya Russia kitu ambacho wengi duniani ikiwemo Russia yenye haijutegemea nchi ndogo kama Ukraine ingesimama kidete kuzuia Russia kuiteka nchi yote ya Ukraine lakini pia imeishangaza dunia kwa kuweza kuanza kuyafurusha majeshi ya Russia mpaka mwisho kutimiza jukumu lake ya kuyatupilia mbali majeshi ya mvamivi nje kabisa ya mipaka ya Ukraine.

Jenerali Valery Zaluzhny ni veterani wa mapambano na operesheni za kivita maana ameshiriki moja kwa moja ktk operesheni mbalimbali za kivita na mapambano toka mwaka 2014 katika sehemu za majimbo ya mashariki ya Ukraine ambayo yanakaliwa na Russia.

Chini ya uongozi wake amiri jeshi mkuu jenerali Valery Zaluzhny ameyaongoza makamanda, maofisa na askari wapiganaji shupavu wa Ukraine kuyapa kipigo kikali majeshi ya Russia yalipoamua mwezi February 2022 kutanua uvamivi wake ili kukalia maeneo zaidi ya Ukraine kama ya Kharkiv, Odessa na Mykolaiv.

Jeshi la Ukraine chini ya amiri jeshi jenerali Valery Zaluzhny limefanikiwa kulidhoofisha jeshi la Russia katika vita kwa jeshi la Ukraine kutumia mkakati wa wao kuamua wapi, saa na eneo gani pambano lifanyike hivyo kulishinda mbinu jeshi la Russia lililo na zana nyingi pia kali za vita.

Jenerali Valery Zaluzhny pamoja kamandi kuu ya Ukraine inayoongoza vita wametumia vizuri somo la medani za kivita na historia - war studies and military history linalosomwa sana kipengele cha medani za jenerali Kutuzov wa Russia wakati wa uvamizi wa Napoleonic wa mwaka 1812 kwa kuchagua wapi, saa, lini, mazingira na msimu wa hali ya hewa kama kigezo bora cha kupambana na adui mwenye nguvu kubwa ya kijeshi.

Uvamizi wa Napoleonic wa mwaka 1812
 
Hali ilivyo mstari wa mbele yachambuliwa kwa kina

Colonel Markus Reisner gives an update on the situation in Eastern Ukraine

Shukrani sana kwa ufafanuzi [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Miezi sita na wiki mbili , morali ya askari wa Ukraine ipo juu huku askari wa mvamizi toka Russia morali yake ikiwa chini maana hawaamini katika wanachopigania toka walipoanza vita mwezi February 2022 wakidanganywa kuwa vita hii ingekuwa fupi na kumalizika kwa Ukraine kukubali kukaliwa na Russia. Sasa utiwa mgongo wa jeshi la mvamizi umevunjika na hivyo wanaanza kukanyagana huku wakikimbia ovyo bila formation yoyote ingawa taarifa ya msemaji mkuu wa jeshi la Russia akiwatangazia wananchi wa Russia kuwa hawatimki bali wanarudi nyuma toka baadhi ya maeneo ili kujiimarisha kabla ya kuanza tena mashambulizi kujibu kasi ya askari wa Ukraine waliokuja nayo kuanzia mwezi huu wa September 2022
10 September 2022
Kherson region
Ukraine

Liberation of Ukraine. Kherson region. Vysokopillia

The Armed Forces of Ukraine have liberated Vysokopillia, Kherson region. This broke the backbone of the Russian troops’ defense. The Ruscists were fleeing from here under the powerful blows of the Ukrainian Armed Forces. The Ukrainian flag is flying now over the center of the village. Vysokopillia has been mostly destroyed. The invaders looted most of the houses. Everything they managed to steal – they took with them, the rest was just ruined. Locals say, the Russians did nothing but loot and terrorize Ukrainians. It was when Ukrainian soldiers came, that locals could finally breathe freely. The residents of Vysokopillia met the Ukrainian soldiers with tears in their eyes - from the joy of liberation and from what they had to go through during several months of occupation.
 
13 September 2022
Slabunivka, Ukraine

TOKA MSTARI WA MBELE, AMBAPO MVAMIZI ANAENDELEA KUPATA KIPIGO KIKALI

Askari wa Ukraine waliopo mstari wa mbele ktk vita vya kukomboa nchi yao na kumtupa adui nje ya mipaka ya Ukraine, wakionesha vifaru vya jeshi la Russia vilivyokamatwa aina ya T-72 na vile vilivyotunguliwa na makombora ya Ukraine

Tank battle near Slabunivka: shot down Ukrainian T-72 and 3 captured Russian T-72
 
14 September 2022

SIKU YA 203 TOKA UVAMIZI, MKUU WA UTAMBUZI AELEZEA HALI HALISI ILIVYOBADILIKA

Kwa jicho la Colonel Markus Reisner PhD wa jeshi la Austria anatuletea picha halisi ya hali ilivyo leo ikiwa ni siku ya 203 tangu Russia iivamie Ukraine na mapambano makali yakiendelea katika uwanja wa vita.

Colonel Markus Reisner PhD leo atakazia maelezo yake katika mada nne yaani Jiografia ya uwanja wa vita, idadi ya askari, kasi ya kustukiza na ukusanyaji wa taarifa za kiintelejensia.

Jeshi la Ukraine limeweza kukusanya askari na vifaa mashariki kule Kharkiv na kusini Kherson ili kumpiga adui yaani jeshi la Russia. Mbinu ni kupiga shambulizi kali katika ya majeshi ya Russia ili ligawanyike katika sehemu mbili hivyo kulidhoofisha jeshi la Russia kwa kuyazingira makundi hayo mawili na kuvunja uti wa mgongo hivyo kuzidiwa nguvu.

Jeshi la Russia linamchanganyiko wa idadi kubwa la mgambo walioshurutishwa kwa lazima bila mafunzo ya kutosha. Huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa ni waliopata mafunzo ya kutosha na wenye ari kubwa ya ushindi kuikomboa nchi yao.

Mbinu za Operation Cobra ya mwaka 1944 iliyotumika ktk wakati wa vita ya dunia ndiyo inayotumika na kulipiga jeshi la Russia mwaka huu 2022, operesheni Cobra hutumika ktk mafunzo ya mbinu za kivita ktk vyuo vyote vya kijeshi vya vita.

Operesheni Cobra iliweza kuyangoa majeshi ya Hitler kutoka France mwaka 1944 na kuyafanya majeshi ya Germany kurudi nyuma kwa kasi kubwa hivyo kujikuta wakijichanganya na hivyo vikosi vingi vikajikuta vimevunjwa katika makundi madogo dhaifu huku mengine yakipoteza njia na muelekeo hivyo kupata kipigo kikali na kuwa mwanzo wa majeshi ya Germany kushindwa vita upande wa mstari wa mbele wa magharibi. Hiki ndicho anachokumbana nacho Russia ktk vita ya Russia Ukraine 2022.

Operation Cobra aimed to smash the German line and enable an Allied breakout from Normandy. Operation Cobra was a resounding success for the Allied forces on their path to liberating France in the summer of 1944, and one of the key turning-points in the history of the Second World War.
1663148509555.png

Map of the famous Operation Cobra 1944 : Read : more source
 
30 August 2022
Kharkiv, Ukraine

AMIRI JESHI WA UKRAINE AFIKA MJI WA KHARKIV ULIO MSTARI WA MBELE WA VITA KUMNGOA MVAMIZI

The Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny presented the battle flag to the 127th separate brigade of the Territorial Defense of the city of Kharkiv

Amiri jeshi wa majeshi ya Ukraine jenerali Valery Zaluzhny akikabidhi bendera kwa brigade maalum namba 127th iliyokomboa na kupewa dhamana kubwa kuendelea kuulinda mji wa Kharkiv ambao ni mji wa kimkakati wa viwanda vingi dhini ya mashambulizi ya mvamizi Russia.

Je jenerali jenerali Valery Zaluzhny ni nani ? Ni kizazi kipya cha maofisa ambao hawajawahi kulitumikia jeshi la muungano wa Kisovieti nchi za kishoshalilisti yaani USSR.

jenerali Valery Zaluzhny mwenye umri wa miaka 49 amekuwa mwiba mkali kwa Russia akiongoza mapambano yaliyomudu miezi zaidi ya sita dhidi ya Russia kitu ambacho wengi duniani ikiwemo Russia yenye haijutegemea nchi ndogo kama Ukraine ingesimama kidete kuzuia Russia kuiteka nchi yote ya Ukraine lakini pia imeishangaza dunia kwa kuweza kuanza kuyafurusha majeshi ya Russia mpaka mwisho kutimiza jukumu lake ya kuyatupilia mbali majeshi ya mvamivi nje kabisa ya mipaka ya Ukraine.

Jenerali Valery Zaluzhny ni veterani wa mapambano na operesheni za kivita maana ameshiriki moja kwa moja ktk operesheni mbalimbali za kivita na mapambano toka mwaka 2014 katika sehemu za majimbo ya mashariki ya Ukraine ambayo yanakaliwa na Russia.

Chini ya uongozi wake amiri jeshi mkuu jenerali Valery Zaluzhny ameyaongoza makamanda, maofisa na askari wapiganaji shupavu wa Ukraine kuyapa kipigo kikali majeshi ya Russia yalipoamua mwezi February 2022 kutanua uvamivi wake ili kukalia maeneo zaidi ya Ukraine kama ya Kharkiv, Odessa na Mykolaiv.

Jeshi la Ukraine chini ya amiri jeshi jenerali Valery Zaluzhny limefanikiwa kulidhoofisha jeshi la Russia katika vita kwa jeshi la Ukraine kutumia mkakati wa wao kuamua wapi, saa na eneo gani pambano lifanyike hivyo kulishinda mbinu jeshi la Russia lililo na zana nyingi pia kali za vita.

Jenerali Valery Zaluzhny pamoja kamandi kuu ya Ukraine inayoongoza vita wametumia vizuri somo la medani za kivita na historia - war studies and military history linalosomwa sana kipengele cha medani za jenerali Kutuzov wa Russia wakati wa uvamizi wa Napoleonic wa mwaka 1812 kwa kuchagua wapi, saa, lini, mazingira na msimu wa hali ya hewa kama kigezo bora cha kupambana na adui mwenye nguvu kubwa ya kijeshi.

Uvamizi wa Napoleonic wa mwaka 1812

Band Coy wao huwa ni shumbwela tuu hahah!
 
14 September 2022
Izuim Ukraine

RAIS ZELENSKY ATEMBELEA ENEO AMBALO MAJESHI YA UKRAINE LIMEWEZA KULIKOMBOA TOKA UVAMIZI WA RUSSIA

Rais Volodymyr Zelensky afika ktk mji wa Izium ambao umekombolewa baada ya majeshi ya Russia kupigwa vibaya ktk vita inayoendelea toka mwezi February 2022 kufuatia uvamizi. Mji wa Izium upo katika eneo la mashariki ya Ukraine ktk mkoa wa Kharkiv (Kharkiv oblast) pembeni ya mto Donets
 
Minsk, Belarus

Rais Alexander Lukashenko wa Belarus swahiba mtiifu wa goliati Vladimir Putin

Taifa hili la Belarus linalopakana na mipaka mirefu ya nchi za Russia na Ukraine. Mji mkuu wa Minsk wenye wakaazi zaidi ya milioni mbili ndiyo makao makuu ya nchi hii ya Belarus.

Taifa hili la Belarus likikuwa miongoni mwa nchi zilizokuwa katika USSR yaani Umoja wa Jamhuri ya Kisovieti ya (nchi) Kisoshalisti. Hivyo mjini Minsk utaona mabaki ya iliyokuwa USSR zikiwemo sanamu, maandishi katika majengo na mpangilio wa mipango mijini inayofanana kwa karibu katika nchi zote zilizokuwa ktk umoja wa Jamhuri ya USSR.

Rais Alexander Lukashenko wa Belarus anatabulika kama dictator wa mwisho aliyesalia katika bara la ulaya. Utawala wake wa mkono wa chuma haukuacha kuwaumiza viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wapinzani wake sambamba na hata marafiki zake wa karibu waliojaribu kutoa mawazo mbadala.

Belarus ni nchi pekee inayoendelea kutumia KGB jina la shirika la ujasusi la iliyokuwa USSR na chini ya utawala huu wa Alexander Lukashenko, KGB imewapa leseni isiyo na kikomo askari wa KGB kuwafuatilia na kuwakamata raia kwa ajili ya mahojiano.

Rais Alexander Lukashenko swahiba mkuu wa Rais Putin wa Russia tangu kuanza uvamizi wa Ukraine tarehe 24 February 2022 , ametoa kibali zana na majeshi ya Russia kutumia ardhi ya Belarus kwa operesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine.

Rais Alexander Lukashenko amekuwa rais kwa miaka 28 huku swahiba yake Vladimir Putin naye amegonga miaka 26 katika uongozi . Watawala hawa wawili ni mapacha wa kisiasa na wanategemeana sana ki geopolitiki.
 
19 September 2022

Lviv, Ukraine

Farewell to Heroes Igor Kasyanov, Bohdan Senishyn and Maksym Shpennyk, who died in the fight against the Russian invaders

20 September 2022
Kupiansk, Kharkiv Oblast
Ukraine

LIVE : Mji wa Kupiansk umegeuka kuwa mstari wa mbele uwanja wa vita

Mapambano makali kuelekea mpaka wa Ukraine na Russia yanaendelea.

Kutokana na mji wa Kupiansk kuwa ndani kabisa ya mkoa wa Kharkiv jirani ya mpaka wa Ukraine na Russia umejikuta ukishuhudi mapambano makali ya baina ya majeshi ya Ukraine na Russia.

Waandishi wa chombo Hromadske waliweza kuwasili tarehe 15 September 2022 pamoja na brigade ya namba 92 ya Kharkiv ya jeshi la Ukraine na kushuhudia anga ikitawaliwa ngurumo za makombora na silaha kubwa kubwa kama magurunedi ya mizinga ya masafa, mizinga ya vifaru na ile ya magari ya deraya zinaruka angani na kupiga chochote kilichopo ardhini pia drones nazo zikisaka maeneo ya kufanya mashambulizi.

Na huku majeshi ya Ukraine yakijipenyeza kwa operesheni ya kivita kuelekea mto Oskol unaotenganisha miji ya Kupiansk na ule wa ngambo ya pili wa Kupiansk-Vuzlovyi wenye stesheni ya garimoshi wenye mtandao mkubwa wa reli unaotegemewa na jeshi la Russia kwa ajili ya kupokea logistics za zana na askari kujiongezea nguvu ya kupigana na majeshi ya Ukraine yanayowajia kwa ushujaa mkubwa, morali ya juu pia ustadi mkubwa wa kupigana vita na kuwaduwaza askari vamizi wa Russia .

Mji huo ulikuwa na watumishi 900 ktk hospitali kabla ya uvamizi lakini sasa hospitali hiyo imebakia na wafanyakazi 20. Kuwasili kwa askari wakombozi wa Ukraine kumewapati wakaazi wa mji huo uhuru baada ya kukaliwa kwa miezi 6 na majeshi ya Russia. Kutokana na mapambano makali hakuna huduma muhimu kama maji ya bomba, umeme na huduma za afya, hivyo kwa sasa wakaazi hao hasa kina mama, watoto na wazee wamepata wasaa wa kuelekea magharibi yaani ndani ya Ukraine kuwa mbali na uwanja wa mapambano ya kumtimua mvamizi.

Mji wa Kupiansk ulikuwa mji wa kwanza kukaliwa na majeshi ya uvamizi ya Russia tarehe 27 February 2022 baada ya Russia kuanza kampeni ya uvamizi mapema tarehe 24 February 2022.

Video : Zana za Kisasa Alizozitelekeza Russia wakitimua mbio kujiokoa
Rare Russian command and observation vehicle 1B1003 of the artillery control complex 1B198 Cannonada . Source : Butusov Plus

20 Sept 2022
How the city of Kupiansk found itself on the front line. hromadske's exclusive

The city of Kupiansk in the Kharkiv region was occupied by Russian troops on February 27, 2022.

Due to the city's proximity to the border, the Russians occupied it almost without fighting. After 6 months of occupation, Ukrainian troops entered Kupiansk on the morning of September 10. The city was liberated by the 92nd Kharkiv Brigade.

But unlike the liberated Balakliia and Izium and many other settlements, which, due to the speed of the counter-offensive of the Ukrainian army, found themselves in the rear and finally heard silence, Kupiansk, on the contrary, have appeared on the front line.

hromadske visited the city on September 15. At that moment, the left bank of the Oskol river, which separates Kupiansk and Kupiansk-Vuzlovyi train stations, was under the control of Russian forces, and the right bank was under the control of Ukrainian forces.

Because of this, artillery duels, tank battles, Grad rockets, cluster bombs were clearly heard. And all this continuously flew over the heads of the residents of Kupyansk.

People hurriedly left the city, some stayed and asked the military for bread. That day 10 people were wounded in the city, two of them were children. In the local hospital, which have worked during the occupation, left 20 employees. Instead of 900 - before the war. In the hospital, which rescues the wounded, there is no electricity, no water, no communication, no special transport to evacuate all patients to a safer place.

The situation in Kupiansk that day was catastrophic. On September 16, the day after the hromadske crew was in the city, Kupiansk-Vuzlovyi on the left bank of the Oskol river was liberated by the Kraken unit. But the shelling of the left and right banks haven’t stopped
Source : hromadske
 
Hali ilivyo mstari wa mbele yachambuliwa kwa kina

Colonel Markus Reisner gives an update on the situation in Eastern Ukraine

Mwezi September 2022 hali mstari wa mbele

Kherson Oblast
Ukraine 🇺🇦

Drone aina ya Bayraktar zinavyombaini mvamizi, kisha kupelekea kipigo cha uhakika

Kwa kutumia mfumo huu wa kisasa unaojumuisha utambuzi (intelligence) wa papo kwa hapo (real time intelligence) na bila kuchelewa kitumia mchanganyiko wa zana kufanya shambulizi la uhakika lililonyooka kwa mjivuni-mvamizi, Ukraine imeweza kumpiga ngumi ya puani dubu (bear) huyu ambaye amepata wenge la kuona nyota nyota kwani vita siyo lelemama kama alivyozania alipolianzisha.

Mvamizi aliyekuwa akivuma kwa miongo kadhaa kwa mahesabu miaka inayotimu 75, akawa mithili ya dubu mkubwa ambaye ana ukali wa kutisha sasa hadhi yake inaanza kutiliwa mashaka makubwa na walimwengu.

Armed Forces of Ukraine intensify offensive attacks in the Kherson Region. To support the assault troops, Mobility Artillery Rocket Systems are used. These powerful weapons, so called “ground transportation Bayraktar”, roam in the Ukrainian steppes.

Fighters from Technical Air Intelligence Unit “Karlson” made a “Little Grad” and several single installation systems. The Air Intelligence Unit directs quadcopters at the enemy’s locations, and destroys the manpower and strongholds of the invaders. The Armed Forces of Ukraine are liberating the Kherson region
 
22 September 2022

MISSION ZA VIKOSI MAALUM VYA UKRAINE VYACHAMBULIWA KWA KINA

Mwandishi wa vitabu na producer wa filamu askari Luteni mstaafu Chuck P Farrer wa navy seal team 6 kikosi cha operation maalum aliyewahi kushiriki katika misheni za kijeshi 150 katika mahojiano maalum anaelezea anavyoiona vita hii inavyokwenda.

Chuck P Farrer anazungumzia operation za vikosi maalum vya Ukraine vinavyojipenyeza nyuma ya vikosi vya Russia na kukusanya taarifa za kiintelejensia vinavyosaidia operation za Ukraine kuwa vipigo hatari sana vya uhakika na kuwachangaya askari wa Russia.

Taarifa za vikosi hivi maalum vinasaidia kuelekeza mashambulio ya mizinga ya masafa marefu, makombora ya ndege za kivita, drones hata ktk sehemu hatari kama vituo vya nuklia vilivyokaliwa na Russia pia logistic vya majeshi ya Russia na convoy za magari ya kijeshi yaliyosheheni silaha za milipuko kushambuliwa kwa kustukizwa kila convoy za wa Russia zinapotaka kuelekea mstari wa mbele kuwapelekea silaha, zana na vyakula wanajeshi wa Russia.

Uwezo huu mkubwa wa vikosi maalum vya Ukraine vinawafanya askari wa Russia wakijikuta wanapungukiwa na vifaa muhimu vya kujihami, kushinda njaa na kuwa hawana uwezo wa kusimamia majukumu yao waliyotumwa na maafisa wao wa jeshi la Russia hatimaye morali kushuka hivyo kuanza kutimka kukimbia toka uwanja wa vita .

Naye mtaalamu wa historia ya Russia, mwandishi wa habari na vitabu Bw. Yuri Georgievich Felshtinsky vitabu vyake Blowing Up Ukraine, The Return Of Russia Terror anatumia kurunzi ya historia kuangazia mwenendo wa hali ya jeshi la Russia kutepeta baada ya kipigo na Putin kuagiza raia 300,000 wajiunge (mobilisation) kwa lazima kuongeza idadi ya wanajeshi wa Russia.

Mwanahistoria Bw. Yuri Georgievich Felshtinsky anasisitiza kuwa kuongeza ukubwa na idadi ya wanajeshi kwa lazima ni mwanzo tu maana itabidi angalau askari 1,000,000 ndiyo hitaji halisi jipya, zana za ziada kwani jeshi linaupungufu wa zana pamoja na tishio la Putin kutumia silaha hatari za maangazi ... ktk vita yake na Ukraine...

Yuri Georgievich Felshtinsky anakumbushia kuwa hali hii ya kuwaita raia wa umri kati ya miaka 18 hadi 65 wajitokeze kujiunga na jeshi la Russia lilifanyika mwaka vita kuu ya kwanza 1914, vita kuu ya pili ya dunia 1941 na leo hii mwaka 2022 ni kiashiria kuwa mambo ni magumu kwa utawala wa Vladimir Putin na vikaragosi wake kujaribu kusalia madarakani .

Tatizo na changamoto huu mwaka 2022 Russia haina washirika kama ilivyokuwa vita vya 1914 na 1941 dhidi ya Germany kwani sasa mwaka 2022 Russia haina mshirika ipo mkiwa..... kwa kukadiria itachukua miezi mingine 6 kutoka sasa September 2022 kwa Putin kuelewa kuwa fupa hili la kivita limemshinda anahitimisha maoni yake mwanahistoria Bw. Yuri Georgievich Felshtinsky.
https://www.hoover.org › research
The Guns Of August - Hoover Institution

12 Aug 2020 — ... The Guns of August, a book about the negotiations among the Great Powers that led to the outbreak of World War I in August 1914
https://www.newyorker.com › the-bi...
The Big One | The New Yorker

23 Aug 2004 — The last military history of comparable intelligence and ambition, ... made famous by Barbara Tuchman in “The Guns of

23 September 2022​

Ukraine Offensive: Special Forces behind Russian lines. Putin is losing | Rock Rachon | TVP World

Putin's decision to mobilize is a direct consequence of Russia's defeats in the conflict with Ukraine. The Ukrainian counteroffensive is breaking Kremlin's narrative about the success of the „special military operation”. We discuss the tactics of Ukrainian SOF in the territories occupied by Russia with former Navy SEAL team SIX commander Chuck Pfarrer. Yuri Felshtinsky believes that Russia has already lost the war, now it's just a matter of how much damage it will do before it ends hostilities
Source : TVP World
 
23 September 2022

Colonel Markus Reisner anaelezea jinsi propaganda inavyotumika ktk vita ya Ukraine na Russia

Kanali Markus Reisner PhD , wa jeshi la Austria ambaye ni mkuu wa kitego cha utafiti na maendeleo wa chuo cha kijeshi cha Theresan Military academy anaendelea kutupitisha anachoona katika mbinu mbalimbali za medani za kutafuta ushindi ktk uwanja wa vita.

Kanali Markus Reisner PhD kwa ndani vita inayoendekea Ukraine na pia mapambano yaliyojificha mahususi kushawishi mioyo na akili zetu .

Mfano mwanzo mwa uvamizi vitego vya ujasusi / utambuzi jeshi la Russia GRU, pia usalama wa taifa FSB, wizara ya mambo ya nje MFA, wasemaji rasmi wa jeshi la Russia mara moja kufuatia uvamizi tarehe 24 February 2022.

Taasisi hizo na wizara za Russia ziliendesha kampeni kali za propaganda kuteka mioyo na akili pia kujaribu kuua morali za askari wa Ukraine kuwa vita tayari wameshinda wao Russia.

Russia Walifanya hivyo kwa kuingilia na kusambaza meseji za simu, vipeperishu, matangazo feki ya Mawasiliano ya kijeshi, mitandao, tekevisheni n.k za kuwaua morali askari ya Ukraine kuwa hatima yao imekwisha malizwa na Russia.

Na kilichobaki ni kufagia mabaki ya askari wachache wa Ukraine wanaoendesha kampeni ndogo kuwadindia wa Russia.

Pia Russia siku za mwanzo za uvamizi waliweza pia kuteka mioyo na akili za dunia yote kuwa wameshamaliza mchezo na kilichobaki ni kuutwaa mjini mkuu wa Ukraine wa Kiev na kupachika utawala wa vibaraka wanaounga mkono Russia.

Russia wakaingia na gia ya kuwa nchi za Arabuni na Afrika zitakufa njaa, wakaingiza hofu ya gesi kukatwa majira ya miezi ya February, March, April miezi yenye baridi bara ulaya hivyo kwa kiasi fulani dunia iliingia katika msongo mkubwa wa mawazo wakitegemea maandamano yatatokea kutokana na ukosefu wa nafaka na ughali wa nishati za gesi n.k

Russia walitegemea 'kuichosha' dunia na hasa Ukraine kwa mbinu ya the war of attrition yaani Ukraine waishiwe zana, silaha, morali na uwezo wa kupambana lakini imekuwa kinyume.

Majeshi shupavu ya Ukraine yaliweza kutegua mitego hii kwa kufanya mashambulizi walivyotaka Ujraine kwenye sehemu walizochagua, msimu walioutaka na kutumia teknolojia ya drones kwa mafanikio makubwa na kufanya zana za Russia kama vifaru, gari za deraya kutotoa matokeo chanya ya kuketa ushindi kwa Russia.

Sasa kwa vile vita haikuwa fupi zipo dalili zinaonesha Russia yenyewe kukumbwa na the war of attrition kwa kupungukiwa nguvu kazi hivyo kulazimisha raia wajiandikishe kwa nguvu bila hiyari kwa kisingizio cha uzalendo.

Majeshi ya Russia kudai kurudisha nyuma vikosi vyake kimkakati lakini ukweli ni kichapo, morali kuwa chini, ukosefu wa uwezo wa kuwapelekea wapiganaji wake chakula, dizeli, silaha, zana, vipuri au ku repair vifaru, magari ya deraya, malori ya logistic, ndege n.k

Cognitive Warfare - The Fight for your Heart and Mind

Colonel Markus Reisner explains how both Russia and Ukraine are trying to use propaganda to influence the minds of western populations. He shows that in addition to the traditional domains of war, the cyber domain and the information domain are playing an increasingly important role today.

Source : Österreichs Bundesheer
 
Finland's President Sauli Niinistö, who has a longstanding relationship with Russian President Vladimir Putin, joins CNN's Fareed Zakaria to discuss what he has learned about Putin over the years, and what is next for his war in Ukraine

Source : CNN
 
Back
Top Bottom